Mwitikio wa Baraza, wale waliotemwa na Mengineyo

Mwitikio wa Baraza, wale waliotemwa na Mengineyo

Ni kweli kuteuliwa kwa Nahodha kuwa mbunge ni aidha:
a)Kumuandaa kugombea uraisi bara
b)Kupozwa kisiasa.

Mimi naegemea zaidi katika kupozwa kisiasa kwa maana kama kweli wange kuwa wana taka agombee uraisi 2015 sidhani kama ange jisumbua kugombea uraisi Zanzibar. Mimi nadhani hii ni indirect way ya "kumtunza" huko akiwa na shughuli maalumu.

Kuhusu Mzanzibar kugombea uraisi 2015 mimi nadhani huo ndiyo uta kuwa mtihani mkubwa wa CCM. Uchaguzi wa mwaka huu ushaonyesha kwamba zama za CCM kuwezi kusimamisha hata jiwe lika shindwa ume pitwa na wakati. Kwa hiyo wakimpa MZanzibar just for the sake of it bila huyo mtu kukubalika na Watanzania walio wengi wata aibika vibaya sana.

Ila wakuu mimi nina swali. Mnaonaji hili la waziri kiongozi (cheo ambacho ni kama waziri mkuu kwa upande wa visiwani) kuja kupewa uwaziri Muungano? Je hapo kapanda cheo au kashuka?
 
kwenye mgawanyo kimkoa nafikiri ilipaswa afanye hivyo kumwacha Prof. Mwakyusa na kumwingiza Mwakyembe kipenzi cha watu. ukifuatilia yupo Mwandosya pia haingewezekana kuweka mawaziri watatu mkoa mmoja. just my thinking

Hata kama ni mgawanyo wa kimkoa nadhani Mkwere kateleza kumuondoa Prof. Mwakyusa wizara ya afya ; angeweza hata kuunganisha maji na kilimo!! Prof Mwakyusa amemfanyia Mkwere kazi nzuri sana miaka mitano iliyopita!
 
Mwakyusa aliharibu wazara ya afya ubaguzi waziwazi,DR Mwele Malecela kaka yako katoswa alikuwa anakupigia debe uwe mkurugenzi wa NIMR,ukawaletea wenzio PCB
 
Wanajim walisema January Makamba atapewa wizara , kapewa wizara ipi?
 
Ni kweli kuteuliwa kwa Nahodha kuwa mbunge ni aidha:
a)Kumuandaa kugombea uraisi bara
b)Kupozwa kisiasa.

Mimi naegemea zaidi katika kupozwa kisiasa kwa maana kama kweli wange kuwa wana taka agombee uraisi 2015 sidhani kama ange jisumbua kugombea uraisi Zanzibar. Mimi nadhani hii ni indirect way ya "kumtunza" huko akiwa na shughuli maalumu.

Kuhusu Mzanzibar kugombea uraisi 2015 mimi nadhani huo ndiyo uta kuwa mtihani mkubwa wa CCM. Uchaguzi wa mwaka huu ushaonyesha kwamba zama za CCM kuwezi kusimamisha hata jiwe lika shindwa ume pitwa na wakati. Kwa hiyo wakimpa MZanzibar just for the sake of it bila huyo mtu kukubalika na Watanzania walio wengi wata aibika vibaya sana.

Ila wakuu mimi nina swali. Mnaonaji hili la waziri kiongozi (cheo ambacho ni kama waziri mkuu kwa upande wa visiwani) kuja kupewa uwaziri Muungano? Je hapo kapanda cheo au kashuka?

Mimi naona kapanda cheo manake toka kuwa waziri kiongozi wa serikali inayongoza watu kama 1m hivi kuja kuwa waziri wa mambo ya ndani kwenye wizara inayoongoza watu kama 40m naona ni promotion fulani lakini nina mashaka hapa alipo sasa benefits zinaweza kuwa chache/pungufu ya uwaziri kiongozi.
 
Katika kupitia baraza jipya, nimegudua kuwa wizara ya Ulinzi haijapewa Naibu Waziri. Hata hivyo, katika maelezo ya awali ya Rais, jambo hilo hajaligusia.
Bado najiuliza; je, ameona jambo hilo ni dogo kiasi cha kutokuhitaji maelezo au Rais amesahau kuteua Naibu Waziri wa Ulinzi?
 
Nahodha hatumtaki tz aende huko huko mji mkongwe

Ndio hivyo ameshaletwa bara shida kubwa ya CCM kuna wenye nayo (wachache) ambao ndio wafanya maamuzi yote na washika pembe ambao ndio majority na wasio na maamuzi. Kwahiyo inawezekana ndio wanamuandaa hivyo na azoee siasa za bara na kufamiana zaidi na wajumbe wa halmashauri kuu ya taifa na wale wa kamati kuu. All in all, Tanzania sio ya CCM pekee ni ya watanzania wote ambao ndio tunapaswa kuwa na maamuzi ya nani awe kiongozi wetu provided Tume ya Taifa ya uchaguzi inakuwa huru na yenye kutenda haki!!
 
Kuhusu Mzanzibar kugombea uraisi 2015 mimi nadhani huo ndiyo uta kuwa mtihani mkubwa wa CCM. Uchaguzi wa mwaka huu ushaonyesha kwamba zama za CCM kuwezi kusimamisha hata jiwe lika shindwa ume pitwa na wakati. Kwa hiyo wakimpa MZanzibar just for the sake of it bila huyo mtu kukubalika na Watanzania walio wengi wata aibika vibaya sana.B]

Hadi sasa Mtoto wa mkulima kutoka bara naona anafaa kua candidate wa 2015 labda kama atachafuliwa katika kipindi kijacho cha miaka mitano. Wengine labda watakaojitokeza kung'aa katika kipindi hiki cha miaka mitano. Otherwise Zanzibar kuweni wapole tu na nafasi za makamu wa raisi
 
Jamani Mkwere amekosewa nini na Mh John Jumanne Malecela? Mbona mama Anne Kilango sijamwona kwenye baraza ama ndo anampa ukuu wa Wilaya?

Ama kweli hata watu makini kama ninyi hamjui kwamba mama Anne Kilango ni mweupe ni uwezo wake tu wakufoka.... du!!!! nchi yetu bwana.
 
Ama kweli hata watu makini kama ninyi hamjui kwamba mama Anne Kilango ni mweupe ni uwezo wake tu wakufoka.... du!!!! nchi yetu bwana.

Kasheshe!

Unafikiri uongozi wa Tanzania wanaangalia uwezo ama kupeana kulinda maslahi. Unafikiri mama Sophia Simba na Kilango wanatofauti gani?
 
Chiligati anaandaliwa kuwa katibu mkuu wa ccm makamba out muda umempita...hadi ameanza kuota manundu usoni sijui hata amepatwa nn...
 
Ndugu wana JF nimelisikiliza baraza la mawaziri kwa umakini mkubwa hivi Nahodha na balozi Swedi kagasheki nani alipaswa kuwa waziri wa mambo yandani?
je,Sitta na mwakyembe ndo wamenyamazishwa??
je vijana walioingia wanatosha???
na huyo makongoro unaiiiiiibu tuuu, atakuwa waziri kamili lini, ona angalau Nchimbi amekuwa waziri kamili. hata hivyo tusubiri mabadiliko atamteua Maua Daftari kuwa naibu waziri tena
 
Jamani naombeni orodha ya majina ya mawaziri na manaibu wa awamu iliyopita waliopigwa chini,
 
Nimefuatilia baraza la mawaziri jipya nimegundua kitu kimoja bado JK anatoa maamuzi si kwa ridhaa yake mafisadi bado wananguvu(ingawa nae ni fisadi)Sikutegemea Ngeleja angeendelea kubaki katika wizara hiyo nyeti!Hiyo ndio wizara nyeti kuliko zote.N hii ndio injini ya uchumi wetu.Mafisadi hawako tayari kuiachia wizara hiii hapa ndipo wanapovuna.Kitu kingine sijaona katika baraza hili ni wizara gani inawajibika kwa elimu.TUMEKWISHA MUNGU IBARIKI TANZANIA
 
duu.... kwahiyo from Marcopolo sasa bodi ni Yutong
 
Back
Top Bottom