Mwitikio wa Baraza, wale waliotemwa na Mengineyo

Mwitikio wa Baraza, wale waliotemwa na Mengineyo

Tupa nje hao jamaa.. angeondoa na ghasia pale utumishi ingekua pouwa sana.. ila nimependa Tibaijuka na Magufuli, tuone sasa km ari itakuja au ndo porojo km kw!!
 
mawaziri waliotemwa,kwenda kukaa beki bencha bungeni hawa....

Prof.juma kapuye
prof.david mwakyusa
prof.peter msolla
mh.chiligati
mh.summari
mh.seif khatibu
mh.j.wanjancha
mh.h chibulunje.....

Kama kuna aliyesaulika ongezea....
nimefurahi prof msolla alivyotoka anasema hakuna mtihani wa form 4 proff mzima, bora katoka.
 
kwelii leo nimemkubali kweli kweli kwa mara ya kwanza angalau kapunguza mzigo wa wizara, tusipinge kila kitu Mzee wa NEC(Rais Wa NEC) kajitahidi
 
Katika hali inayotia matumaini ,mkuu wa serikali kwa mujibu wa NEC, Jk ametangaza serikali mpya ambapo J.P.Magufuli amerudi ofisi yake ya zamani iliyompa umaarufu. Magufuli amerudi wizara ya Ujenzi iliyoundwa baada ya kuua Wizara ya Miundombinu. Naibu waziri Harisson Mwakyembe,naisi katibu mkuu ni Patric Rutabanzibwa. Kweli hii ni "solid ministry" Dr.Magufuli karudi penyewe,ama kweli 'kichaa kapewa rungu' sina maana nyingine ila ni kwamba kakabidhiwa "rungu" analojua kutumia kwa umahiri mkubwa. Pia prof.ANA Kajumlo Tibaijuka kapewa makazi,ni dalili nzuri. Kwa aya tu wananchi wanaona kuwa kikwete katumia familia yake ktk kampeni ili akwepe mafisadi kwenye nafasi za uwaziri,kwa ili amejitahidi, Jk sasa atakuwa peke yake kwenye serikali kuu kati ya list ya mafisadi "list of shame" ni maendeleo mazuri. Kwa wizara zingine sina neno kwa sasa maana ni sura mpya ila kama kawaida jk anaweza kuunda tena baraza jipya baada ya miaka2 kama kawaida yake. Mzee sita kapewa Afrika mashariki ,kapozwa ila mama 6 kawekwa pembeni. Binafsi simkubali JK ila kwa baraza ili Nampongeza. Na mwisho namshauri amuondoe makongoro Mahanga maana wananchi hatuna imani naye. JK mkoa wa dsm sasa uweke mkuu wa mkoa msomi,mpaka sasa ilikuwa ikipokezana kutoka kwa darasa la7 mpaka fomu4. Weka msomi apange mji huu. Ni ayo tu,tunasubiri katiba mpya na tume huru!
Kwa kutupatia Katiba na tume huru ya uchaguzi Kikwete atakua ameacha legacy kama alivyofanya Karume,pia naona akina Makamba ana Co yao kama kwa heri vile.
 
wapi mjela jela Rage.... michezo amekosa.... kweli mtaji wa maskini watoto... katoka jela atafuta uwaziri.... lea watoto bwanaaaa
 
hahhahahah Mfianchi nimependa hapo kwa red... Nikiwa Muongo nisiwe na ugonjwa wa kusahau... huu ujumbe inabidi apewe KIkwete na zile ahadi zake 1000 za kampeni
 
Prof. Msola HAjaachwa Hivi hivi anayo yake alokuwa akifanya,

Bora amepumzishwa maana angetupeleka pabaya, Kwa vile watu waliamua kukaa kimya wakati wa Kampeni, lakini wangejitokeza hali ya hela ingechafuka huko kilolo
 
Wana JF hata mimi simkubali JK lakini kwa baraza la mawaziri hili I am impressed na kidogo ameonyesha kuwajibika. Nadhani katika post moja nilielezea juu ya Dr Magufuli kuwa alitengeneza barabara nyingi zaidi ya laivyofanya Mramba na Shukuru na kumaliza wizi pale TANROADS. Sasa Dr fanya mambo kisomi mwondoe huyo mwizi ana kibri Mrema maana mwenzio alimwogopa labda walikuwa wanakula naye!! Kwa hili nakupongeza JK ila katiba ni mpya nayo ni lazima
 
Jamani Mkwere amekosewa nini na Mh John Jumanne Malecela? Mbona mama Anne Kilango sijamwona kwenye baraza ama ndo anampa ukuu wa Wilaya?
 
Katika hali inayotia matumaini ,mkuu wa serikali kwa mujibu wa NEC, Jk ametangaza serikali mpya ambapo J.P.Magufuli amerudi ofisi yake ya zamani iliyompa umaarufu. Magufuli amerudi wizara ya Ujenzi iliyoundwa baada ya kuua Wizara ya Miundombinu. Naibu waziri Harisson Mwakyembe,naisi katibu mkuu ni Patric Rutabanzibwa. Kweli hii ni "solid ministry" Dr.Magufuli karudi penyewe,ama kweli 'kichaa kapewa rungu' sina maana nyingine ila ni kwamba kakabidhiwa "rungu" analojua kutumia kwa umahiri mkubwa. Pia prof.ANA Kajumlo Tibaijuka kapewa makazi,ni dalili nzuri. Kwa aya tu wananchi wanaona kuwa kikwete katumia familia yake ktk kampeni ili akwepe mafisadi kwenye nafasi za uwaziri,kwa ili amejitahidi, Jk sasa atakuwa peke yake kwenye serikali kuu kati ya list ya mafisadi "list of shame" ni maendeleo mazuri. Kwa wizara zingine sina neno kwa sasa maana ni sura mpya ila kama kawaida jk anaweza kuunda tena baraza jipya baada ya miaka2 kama kawaida yake. Mzee sita kapewa Afrika mashariki ,kapozwa ila mama 6 kawekwa pembeni. Binafsi simkubali JK ila kwa baraza ili Nampongeza. Na mwisho namshauri amuondoe makongoro Mahanga maana wananchi hatuna imani naye. JK mkoa wa dsm sasa uweke mkuu wa mkoa msomi,mpaka sasa ilikuwa ikipokezana kutoka kwa darasa la7 mpaka fomu4. Weka msomi apange mji huu. Ni ayo tu,tunasubiri katiba mpya na tume huru!
Nimependa sana kwa kumweka Pombe na Mwakyembe kwenye wizara moja ili waanze na TANROADS...........Ila masikini Sitta.....Sidhani kama atazungumza tena............
 
Wana JF hata mimi simkubali JK lakini kwa baraza la mawaziri hili I am impressed na kidogo ameonyesha kuwajibika. Nadhani katika post moja nilielezea juu ya Dr Magufuli kuwa alitengeneza barabara nyingi zaidi ya laivyofanya Mramba na Shukuru na kumaliza wizi pale TANROADS. Sasa Dr fanya mambo kisomi mwondoe huyo mwizi ana kibri Mrema maana mwenzio alimwogopa labda walikuwa wanakula naye!! Kwa hili nakupongeza JK ila katiba ni mpya nayo ni lazima

sawa kaka,kwa ili mkwere kalamba credit kiasi fulani.
 
HILI BARAZA KULINGANA NA HOTUBA YA BUNGENI MBONA KUBWA SANA INA MAANA HALINA TOFAUTI NA LA MWAKA 2005, KAMA MAWAZIRI 29 NAIBU 29 INAMAANA TOTAL 58, Je wale 60 KUNA TOFAUTI KWELI, HII TANZANIA KWELI. HAWA WOTE GARI MPYA, NYUMBA, BUDGET ZAO TU, UJE MAKATIBU WA WIZARA 29 ZINGINE NI MPYA HII YA UJENZI HAIKUWEPO.

KWELIIIIIIIIIIIIIIIIII, TZ TUTAUMIA SANA.
wewe ulitaka liweje?
 
Mbona ni 26 vs 21 ie mawazili na manaibu respectively
 
Kabaraza kadogo tu hako, je ningemuweka na mwanangu Rizimoja na mshikaji wangu Februari na wale waliokuwa wakininadi usiku na mchana kupitia ile redio yao ungesemaje?
 
Hakuna lipya hapa, bado nalia na ukubwa wa baraza la mawaziri. Hawa mawaziri ofisi ya Rais, makamu wa Rais na waziri mkuu wana fanya nini? Wizara ya maji kazi yake nini? Ushirikiano wa Afrika Mashariki inafanya nini? Kwa kifupi wizara nyingi zingewezwa kuunganishwa na kupunguza wizara kumi, ni mzigo kwa wapiga kura.
 
Back
Top Bottom