Superman,
Call a spade a spade JK amekuna kichwa na kweli ametoka na baraza safi kwa kiasi fulani, itampunguzia presure za chadema kwa kiasi fulani!!!!
yepi mkuu, tupe habari yoyote, hapa tunaongea kwa uwazi na ukweliProf. Msola HAjaachwa Hivi hivi anayo yake alokuwa akifanya,
Bora amepumzishwa maana angetupeleka pabaya, Kwa vile watu waliamua kukaa kimya wakati wa Kampeni, lakini wangejitokeza hali ya hela ingechafuka huko kilolo
Because you hae been a hypocrite and you never know what yu stand for! Sorry I will never budge; the thinking is different; the man who stole the votes; whatever he does for me a thief is a thief!! Sorry; before I thought that we are with "super men"; this guy told me Tanzanians forget very easily; even the learned people of JF; yes we are forgetting that our country needs a change.Kuna mtu anaweza kunisaidia, what exactly is involved katika "Idara ya Vijana"? To me it does not make sense kuwa inashabihiana na Michezo na Utamaduni wakati > 80% ya Vijana wako vijijini.
kikwete amesoma alama za nyakati ame ya tosa mafisadi Lowasa,Chenge,Rostam ,aibu tupu. Ila amefanya kosa kumrudisha mama wa mipasho Sophia
Kwa maoni yangu tusitegemee lolote jipya.
Sioni lolote jipya hapa
Kwa vile hao ni "wenzetu," lazima wawe mawaziri. Wassira nimemfahamu tangu angali mdogo, jambo moja tu ninalokumbuka kumwoana kasimamia kwa ufanisi ni lile la minofu ya Sangara wakati akiwa mbunge wa NCCR-Mageuzi.Hivi hakuna mtumwingine mpaka Kawambwa na Wassira wawe mawaziri? Kawambwa ame-prove failure pale miundo mbinu sasa ndo mnampa elimu..........shenzi kabisa
Me tooI love Ms Sophia Simba!
may be, lakini kumbuka SS ni kama golden eagle; anaweza kumkamata mnyama yeyote ardhini.kurudi kwa SS ni kuakikisha habari za baraza zinawafikia RA and EL na sio utendaji wake wa kazi. au kipozeo
Inawezekana! Lakini na pia Hussein Mwinyi naye anaweza akaingizwa ugombea Urais CCM 2015,hayo ni maoni yangu!
Yap! Umenena!! Hao wote ni wanasiasa tusitegemee miujiza! Wanatuongezea gharama tu makatibu wakuu wanatosha ambao ndio watendaji wa wizara. Baraza bado ni kubwa na lina wafavour mafisadi kwasababu wapiganaji wote wa ufisadi wamezibwa midomo kama Sitta na Dr Mwakyembe. Mwakyembe ndio amezibwa kabisa kwa kuwekwa chini ya Dr Magufuli. Hata kama ni kumziba mdomo angepewa uwaziri kamiliMkuu, karibu miezi mitatu hawa wakulu walikuwa kwenye mchakato wa uchaguzi na mambo yalikwenda. Bora tu Makatibu Wakuu, wangeongoza Wizara.