Mwitikio wa Baraza, wale waliotemwa na Mengineyo

Mwitikio wa Baraza, wale waliotemwa na Mengineyo

    1. Idara ya Vijana tumeihamisha kutoka Wizara ya Kazi na kuihamishia Wizara ya Habari kwa sababu kuu 2.
      1. Kwanza inashabihiana na michezo na utamaduni.
      2. Tunataka Wizara ya Kazi ipate muda wa kutosha wa kushughulikia masuala ya ajira na wafanyakazi ambayo sasa yamepanuka.
Kuna mtu anaweza kunisaidia, what exactly is involved katika "Idara ya Vijana"? To me it does not make sense kuwa inashabihiana na Michezo na Utamaduni wakati > 80% ya Vijana wako vijijini.
 
  1. Shughuli za Uwezeshaji wa Wananchi zilizokuwa Wizara ya Fedha na Wizara ya Kazi zitahamishiwa Ofisi ya Waziri Mkuu.

Uwezesheji kwa maoni yangu ingepewa kipaumbele kikubwa sana. Kuiweka chini ya PM ambaye ana majukumu luluki it may not bring impact. Hata hivyo kwa kuwa imewekewa waziri wake, let us wait and see.
 
  1. Katika Ofisi ya Rais tunairudisha shughuli ya mahusiano na jamii hivyo tunaongeza Waziri wa Nchi ambaye pia atashughulikia shughuli zilizopanuka za Tume ya Mipango, MKURABITA na TASAF.

Hii habari yote ya Uwezeshaji; Mkurabita, TASAF nk zingekuwa chini ya waziri moja kwani zinashabihiana.
 
lakini tukirudi ktk uhalisia sura nyingi ni afi hapo angalau inaleta matumaini
 
Kwa hiyo mavumbi, makorongo, na shida zitapungua? Mimi mwenzenu kwa kweli sioni kabisa kazi wafanyayo hawa watu.
 
  1. Katika Ofisi ya Waziri Mkuu Wizara ya TAMISEMI tumeongeza Naibu Waziri wa kushughulikia masuala ya Elimu.

Hapa TAMISEMI pana issue kubwa tatu: Elimu; Afya; Kilimo . . . . Inahitaji kazi ya ziada. Kuna habari zilizotolewa huko nyuma zinaoonyesha kuwa kupitia Kilimo kwanza kuna mabillioni ya pesa ya Pembejeo yanatafunwa.
 
hahahahaha Mkoa wa dar na mbumbumb u kulikoni???au kiboko ya wasomi ni mbumbumbu???kazi ipoo
 
JK has never been and will never be serious. Bila katiba mpya tutahamisha na kurudisha sana tu.
 
kikwete amesoma alama za nyakati ame ya tosa mafisadi Lowasa,Chenge,Rostam ,aibu tupu. Ila amefanya kosa kumrudisha mama wa mipasho Sophia
 
lakini tukirudi ktk uhalisia sura nyingi ni afi hapo angalau inaleta matumaini

Mkuu, nikipata maelezo ya kina kwa nini Sofia Simba amerudishwa katika cabinet, then nitaamini unachosema.

Somebody help me out there!
 
Kwa hiyo mavumbi, makorongo, na shida zitapungua? Mimi mwenzenu kwa kweli sioni kabisa kazi wafanyayo hawa watu.

Mkuu, karibu miezi mitatu hawa wakulu walikuwa kwenye mchakato wa uchaguzi na mambo yalikwenda. Bora tu Makatibu Wakuu, wangeongoza Wizara.
 
kikwete amesoma alama za nyakati ame ya tosa mafisadi Lowasa,Chenge,Rostam ,aibu tupu. Ila amefanya kosa kumrudisha mama wa mipasho Sophia

Let us wait and see mkuu. Nguvu ziko kwenye chama na si serikalini.
 
Superman,

Call a spade a spade JK amekuna kichwa na kweli ametoka na baraza safi kwa kiasi fulani, itampunguzia presure za chadema kwa kiasi fulani!!!!
 
Mkuu, karibu miezi mitatu hawa wakulu walikuwa kwenye mchakato wa uchaguzi na mambo yalikwenda. Bora tu Makatibu Wakuu, wangeongoza Wizara.

You have nailed it. Mengi katika re-structuring ni nafasi zisizo na lazima!!!

Dawa ni katiba mpya tu. Katiba inyotaja serikali na positions; period. Hii ni sawa na kutwanga maji kwenye kinu!!! Lala salama ya JK hii.:A S-alert1:
 
Hivi hakuna mtumwingine mpaka Kawambwa na Wassira wawe mawaziri? Kawambwa ame-prove failure pale miundo mbinu sasa ndo mnampa elimu..........shenzi kabisa
 
Rais anacheka na mafisadi unafikiri kuna wa kuwajibika hapo?wote ni chapa usingizi na kula miallowance tu basi
 
Back
Top Bottom