Mwitikio wa Baraza, wale waliotemwa na Mengineyo

Remember now we are close to 45 million, still among the poorest 10 countries in thw world, in the 21st century na tunahitaji maendeleo ya haraka. Size ya baraza hili kwa mtizamo wangu ni fair ila kitu muhimu tunategemea wafanye kazi proportional na walivyo au zaidi ya hapo.
 
Hakuna lipya hapa, bado nalia na ukubwa wa baraza la mawaziri. Hawa mawaziri ofisi ya Rais, makamu wa Rais na waziri mkuu wana fanya nini? Wizara ya maji kazi yake nini? Ushirikiano wa Afrika Mashariki inafanya nini? Kwa kifupi wizara nyingi zingewezwa kuunganishwa na kupunguza wizara kumi, ni mzigo kwa wapiga kura.
 
Mchanganyiko ni mzuri, uteuzi umetulia na sioni dalili ya uchafu zaidi naona yuko very focused na kukabidhi ccm nchi 2015 which is very smart move.
  1. amechungulia maeneo walioponea chupuchupu kuyapoteza
  2. amepanga timu anayoifahamu yeye na pengine pinda na bilall
  3. waliopona ni wanamtandao wanaomuheshimu tu.
  4. amejiandaa kupata mrithi anayemtaka
  5. anajiandaa ku overhaul ccm nako.
mungu ampe nguvu ya kuishi ktk njozi hizi ninazoziota mimi na wengine, changamoto kwa mawaziri wapya ,msaidieni muungwana amalizie salama na msitusahau huko majimboni especially ng'ambo ya mto kilombero, ccm na chadema nanyi msiwaache wabunge wenu wakilala kwa kuwasubiria 2015 mjipange kufanya kazi bega kwa bega nao ili kuepukana na minyukano isiyo na tija kipindi cha kura ya maoni.
Mungu ibariki tanzania.
 
mbona ni 26 vs 21 ie mawazili na manaibu respectively

wewe nawe unahesabu au umepewa taarifa kwenye simu? Kama umeipata nakala ya hilo baraza umepata wapi hesabu ya mawaziri 26? Hebu hesabu vizuri usisumbue akili za watu bure? Jumla wako vigogo 50!! Wapi na wapi jk bwana pumba tu hakuna jipya hapo! Wa-tz tumekwisha na tuliyataka wenyewe!!
 
In total wazili na manaibu ni 47 unless kama unamuiclude JK,MAKAMU NA PM
 
In total wazili na manaibu ni 47 unless kama unamuiclude JK,MAKAMU NA PM

Mawaziri 29 na manaibu 21. Tisa kujumlisha moja ni kumi, unaandika sifuri unakwenda na moja. Mbili kuongeza mbili, nne na ile moja tano. Hivyo, 29+21 =50.

Njoo tuisheni mdogo wangu.
 
Mbona JK kaacha visiki hivi vya mpingo???Hasa Mwakyusa yule aliekua wizara ya afya

kwenye mgawanyo kimkoa nafikiri ilipaswa afanye hivyo kumwacha Prof. Mwakyusa na kumwingiza Mwakyembe kipenzi cha watu. ukifuatilia yupo Mwandosya pia haingewezekana kuweka mawaziri watatu mkoa mmoja. just my thinking
 
watu bwana...nyie mnataka kikwete kale wapi?...mnataka marafiki zake km kawambwa na shemeji zake km ghasia wakale wapi?....angewaweka wapi hawa wote?.....m,wacheni afurahie urais aliousotea kwa muda mrefu na kwa malengo ,maalumu
 
Mbona JK kaacha visiki hivi vya mpingo???Hasa Mwakyusa yule aliekua wizara ya afya

Mwakyusa alikuwa amewekwa ili kumnyamazisha asiseme kuhusu kile cha ukweli kilichojiri kwenye kifo cha Mwl Nyerere kule London mwaka 1999. Si alikuwa personal doctor wake?

But don't ever quote me please -- all this is hearsay!!!!!!!
 
JK alisema anataka mawaziri waadilifu, wanyenyekevu na walio tayari kusikiliza wananchi. Waliotemwa wapo kundi gani?
 
wanawza kuwepo kwenye kundi moja wapo au yoote
si waadilifu au siwanyenyekevu au hawasikilizi wananchi au yoote.
 
Yataka muda ili kufanya kazi yenye umakini na kuepuka kukurupuka kama wafanyavyo viongozi wa chama kikuu cha upinzani.
Dah!! Yaani kila nikisoma comments zako huwa nagundua umuhimu wa shule. Pole sana kaka, kama baba wawa mvivu wa kufikiri hivyo basi nawapa pole sana wanao.
 
Back
Top Bottom