Mwitikio wa Baraza, wale waliotemwa na Mengineyo

Nakuomba hurudi kundini,ushirikiane na wana Chadema wenzako.Kuendelea kuimba wimbo wa ccm kunakumaliza kisiasa na wenyewe awana shukrani.Umri unaruhusu na uwezo bado unao.

Kwani kaka alikuwa na matamanio ya kujumuishwa kwenye baraza la JK? acheni fitna wajameni...
 
chiligati macho yenyewe hauni utazani amekaa kwenye moshi atauweza wapi uwaziri
 
Mkulo kimeo bandari ilimshinda sembuse wizara ya fedha?, Magufuli angalau, Hawa Ghasia(Shemeji) mmh!!!!
 
Inasemekana M/Kiti wa club ya Simba fc alikuwa anasubiria kuona kama atateuliwa kwenye baraza la mawaziri la JK ndio atoe tamko la uongozi wake Simba kuwa anaachana na Simba lakini sasa baada ya kutoswa ataendelea na uongozi atajipanga kutenga muda wa club na majukumu ya ubunge, mwenye ukweli wa hili atujuze wana JF.
 
Siasa tamu na chungu!

Karibu Prof. Tibaijuka:A S-key:

Kwa heri: Prof. Kapuya :help:
Prof. Msolla:kev:
Prof. Mwakyusa:target:

Usipojua kituo chako, gari la siasa litakushusha mahali popote na katika hali yoyote. Iwe msituni, mvua inanyesha....wee utajiju.

Nataka paja mie.......
 
khee hata rage alikuwa anategemea apewe uwziri basi TZ in kazi jamani .kheee
 
Kwa kweli inabidi wengine wajifunze kuna watu wamepata umaarufu kupitia chadema kwa mfon mh zk lkn anasahau anajiona kwmaba ndio amefika siasa mbaya kaka unaweza kusahaulika kama masumbuko lamwai!!!!
 
Mawaziri waliotemwa,kwenda kukaa beki bencha bungeni hawa....

Prof.Juma Kapuye
Prof.David Mwakyusa
Prof.Peter Msolla
Mh.Chiligati
Mh.Summari
Mh.Seif Khatibu
Mh.J.Wanjancha
Mh.H Chibulunje.....

Kama kuna aliyesaulika ongezea....
Mama Magreth Sitta
Aisha Kigoda??
Mwantum Mahiza??
 
unasema tuyaache halafu unayaanzisha.

Kuna mambo mengine huwezi kuacha kama ambavyo mtu hawezi kusahau kifo cha baba/mama yake mzazi
mkuu sipendi litokee ndo maana nimeuliza! Nilitaka nimpe angalizo tuu.
 
Kwa Magufuli amekuna Wananchi. Karibu Magufuli Wizara ya Ujenzi. Anza na Mtendaji wa TANROADS, Mwizi Mkubwa sana huyu Jamaa. amepandisha bei ya Ujenzi wa barabara kwa km mara mbili ya uliyoiacha. Mshughulikie
 
Kwani kaka alikuwa na matamanio ya kujumuishwa kwenye baraza la JK? acheni fitna wajameni...

Kama hakuwa nalengo hilo ni kitu gani alichokuwa anajipendekeza kiunafki watu wa namna hii siyo wazuri kabisa ni aina ya Mbatia fulani wa NCCR ambao wanataka kuneemesha matumbo yao nani alikwambia wapinzani wote ni wazalendo wengine wako kimasilahi yao zaidi
 
Hahahah! Jamani, kaazi kweli kweli. Ni vema hawamo anyway, whatever the case, ni vema wako out. Ila tusubiri may be watapakwa mafuta kwa mgongo wa chupa.
 
Back
Top Bottom