Kaka tusaidie kuipa heshima pombe. Huyu ana lake jambo ambalo halihusiani na pombe please😀 😀 😀 😀 😀 😀 😀 😀 tumacho tumekuwa tudogo sababu ya ulevi
Video ni ya kitambo kweli, lakini habari ya kukatwa na Kamati ya Siasa ya Wilaya ni very current
Huyu ni mwalomu mzuri wa mathematicsSawa Sawa. Atulie Sasa Ajiajiri Yeye Mwenyewe
Ya zamani sana hiiView attachment 3403234
Analia baada ya kukatwa jina na Kamati ya Siasa ya Wilaya. Hii ndiyo dalili kwamba hahitajiki tena baada ya kutumika kumsaliti Tundu Lissu mwaka 2017.
Mwitta Mwikabe Waitra hafai kwa lolote. Hana msimamo na ana tamaa ya madaraka. Ni msaliti Huyu Mwita Waitara alipata kuteuliwa kuwa Naibu Waziri kwenye Serikali ya Jiwe kama shukrani za Jiwe kwa kumsaliti Tundu Lissu. Akiwa Bungeni mnamo tarehe 7/ Septemba/ 2017 yeye ndiye alikuwa anawasiliana na Makonda kuhusu movement za Lissu toka Bungeni kwenda nyumbani kwake.
Aende Akafundishe SasaHuyu ni mwalomu mzuri wa mathematics
Nywele zote zimenyonyoka sababu ya kunywa mapombe,View attachment 3403234
Analia baada ya kukatwa jina na Kamati ya Siasa ya Wilaya. Hii ndiyo dalili kwamba hahitajiki tena baada ya kutumika kumsaliti Tundu Lissu mwaka 2017.
Mwitta Mwikabe Waitra hafai kwa lolote. Hana msimamo na ana tamaa ya madaraka. Ni msaliti Huyu Mwita Waitara alipata kuteuliwa kuwa Naibu Waziri kwenye Serikali ya Jiwe kama shukrani za Jiwe kwa kumsaliti Tundu Lissu. Akiwa Bungeni mnamo tarehe 7/ Septemba/ 2017 yeye ndiye alikuwa anawasiliana na Makonda kuhusu movement za Lissu toka Bungeni kwenda nyumbani kwake.
Ameokoka kiislamu! Yupo GSM silent Ocean godown sokotoTungi km tungi naona breweries zinamwangalia kwa jicho la kutangaza kimea kipya, hivi yule liquid aliishia wapi chapombe?
Ungeweka disclaimerVideo ni ya kitambo kweli, lakini habari ya kukatwa na Kamati ya Siasa ya Wilaya ni very current
Arudi akafundishe sekondariThis is so deep...kweli ubunge umeenda
😂😂😂😀 😀 😀 😀 😀 😀 😀 😀 tumacho tumekuwa tudogo sababu ya ulevi