GE2025 Mwita Mwikwabe Waitara, mwisho wa enzi

GE2025 Mwita Mwikwabe Waitara, mwisho wa enzi

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Saddest party of the story" yeye ndiye aliyekuwa anawasiliana na Makonda kuhusu movements za Lissu "
Waitara and Makonda if the story is true, May you never know peace and may God never let it go unpunished!!
Na eventually akazawadiwa u Naibu Waziri na JPM
 
Wewe ni hawara wa Waitara? Haya kanyoe mavuzi ujipake mafuta usubiri mlevi aje akuingilie
Hivi kwanini watu mnaofirwa huwa mnakuwa na matusi sana?!!!! Tena matusi yenu lazima yahusishe habari zenu za kufirwa?!!!!! Hii inashangaza. Kwahiyo unauza kabisa au una mtu maalumu anayekufirimba? Nimeuliza tu lakini Mimi sio mnunuzi wa hiyo bidhaa Yako chafu.
 
Na hapo ana 250M, lakini anaona Giza mbele, kwa kutorudi bungeni, Ila kijana kutoka chuo, aside hata na ka laki, anaambiwa aende veta akajifunze kutengeneza keki,ajiajiri
PM,Waitara na wengine wote ambao wamaumaliza mwendo wa ubunge
Ni wakati mzuri sana kwao wa kutufundisha vijana namna ya kujiajiri na kwenda veta
Tena waweke kando hela zao,tuone namna gani wanatumia mbinu za kwenda veta bila pesa .
 
View attachment 3403234
Analia baada ya kukatwa jina na Kamati ya Siasa ya Wilaya. Hii ndiyo dalili kwamba hahitajiki tena baada ya kutumika kumsaliti Tundu Lissu mwaka 2017.

Mwitta Mwikabe Waitra hafai kwa lolote. Hana msimamo na ana tamaa ya madaraka. Ni msaliti Huyu Mwita Waitara alipata kuteuliwa kuwa Naibu Waziri kwenye Serikali ya Jiwe kama shukrani za Jiwe kwa kumsaliti Tundu Lissu. Akiwa Bungeni mnamo tarehe 7/ Septemba/ 2017 yeye ndiye alikuwa anawasiliana na Makonda kuhusu movement za Lissu toka Bungeni kwenda nyumbani kwake.

..Waitara analia kwasababu hana mahala pengine pa kutimiza haki yake ya kugombea.

..kungekuwa na tume huru, na vyama vingekuwa na haki sawa, Waitara angeweza kugombea kupitia chama kingine.

..wagombea huru wangekuwa wanaruhusiwa, Waitara angeweza kutimiza ndoto yake kama mgombea huru.
 
1000014389.jpg
 
Kama alikuwa mbwa mtiifu Kwa bwana wake, a.k.a Chawa,bado Kuna teuzi nyingi anaweza wekwa huko.Wakati anasubiri miaka 5 ipite.Sidhani kama mfumo utamtema kabisa🤔
 
Thos tells you more Bout the people of that area KANDA MSSLUM than anything else. Hata aliyemshinda - HECHE - is worse. Ni mental stability ila dikutegemea. We expecteduch from him but what did he really do?Without much pomp and ceremony, without doing anything really notable, he made things untenable for himself and everyone else. Alikuwepokuwepo tu.
a
 
Hivi kwanini watu mnaofirwa huwa mnakuwa na matusi sana?!!!! Tena matusi yenu lazima yahusishe habari zenu za kufirwa?!!!!! Hii inashangaza. Kwahiyo unauza kabisa au una mtu maalumu anayekufirimba? Nimeuliza tu lakini Mimi sio mnunuzi wa hiyo bidhaa Yako chafu.
Wewe si mke wa Waitara kabisa!!
 
Huyu mwita huyu ipo siku tu hii laana haiwezi muacha salama.
Historia yake ni yenye mashaka mengi. Unapewa ubunge unawasaliti watu???
Sasa kuko wapi? Yupo wapi magufuli, bashiru na polepole??
Akaunge JUHUDI CHATO PALE KABURINI
Kuna watu waliuliwa na kufungwa wakimpigania mwisho akaja kuwasaliti, fala kabisa avune laana ya milele
 
Back
Top Bottom