GE2025 Mwita Mwikwabe Waitara, mwisho wa enzi

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Saddest part of the story" yeye ndiye aliyekuwa anawasiliana na Makonda kuhusu movements za Lissu "
Waitara and Makonda if the story is true, May you never know peace and may God never let it go unpunished!!
Screenshot_2025-07-12-23-02-12-1.png
 
Analia baada ya kukatwa jina na Kamati ya Siasa ya Wilaya. Hii ndiyo dalili kwamba hahitajiki tena baada ya kutumika kumsaliti Tundu Lissu mwaka 2017

Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Mwitta Mwikabe Waitra hafai kwa lolote. Hana msimamo na ana tamaa ya madaraka. Ni msaliti Huyu Mwita Waitara alipata kuteuliwa kuwa Naibu Waziri kwenye Serikali ya Jiwe kama shukrani za Jiwe kwa kumsaliti Tundu Lissu. Akiwa Bungeni mnamo tarehe 7/ Septemba/ 2017 yeye ndiye alikuwa anawasiliana na Makonda kuhusu movement za Lissu toka Bungeni kwenda nyumbani kwake.
Ndungu zangu wanajuaaa shiii shiiiiiiiii.
 
Kuna watu waliuliwa na kufungwa wakimpigania mwisho akaja kuwasaliti, fala kabisa avune laana ya milele
Ukonga watu walichanga pesa kwenye groups za watsap ili wamsupport kwenye kampeni. Hakuwa na kitu mwalimu yule akamwangusha mjumbe wa CC JERY SLAA . Baada ya hayo yote akaunga mkono juhudi?? Huyo JPM alipata kura 54000 za kweli Dar yote. Hapakuwa na wazir yeye akahama chama ili apewe uwazir kweli alipewa lakini leo kipo wapi???
 
Huyu mkurya ni bazazi kabisa
 
Karm

Analia baada ya kukatwa jina na Kamati ya Siasa ya Wilaya. Hii ndiyo dalili kwamba hahitajiki tena baada ya kutumika kumsaliti Tundu Lissu mwaka 2017

Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Mwitta Mwikabe Waitra hafai kwa lolote. Hana msimamo na ana tamaa ya madaraka. Ni msaliti Huyu Mwita Waitara alipata kuteuliwa kuwa Naibu Waziri kwenye Serikali ya Jiwe kama shukrani za Jiwe kwa kumsaliti Tundu Lissu. Akiwa Bungeni mnamo tarehe 7/ Septemba/ 2017 yeye ndiye alikuwa anawasiliana na Makonda kuhusu movement za Lissu toka Bungeni kwenda nyumbani kwake.
Inafanya kz
 
Back
Top Bottom