GE2025 Mwita Mwikwabe Waitara, mwisho wa enzi

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
View attachment 3403234
Analia baada ya kukatwa jina na Kamati ya Siasa ya Wilaya. Hii ndiyo dalili kwamba hahitajiki tena baada ya kutumika kumsaliti Tundu Lissu mwaka 2017.

Mwitta Mwikabe Waitra hafai kwa lolote. Hana msimamo na ana tamaa ya madaraka. Ni msaliti Huyu Mwita Waitara alipata kuteuliwa kuwa Naibu Waziri kwenye Serikali ya Jiwe kama shukrani za Jiwe kwa kumsaliti Tundu Lissu. Akiwa Bungeni mnamo tarehe 7/ Septemba/ 2017 yeye ndiye alikuwa anawasiliana na Makonda kuhusu movement za Lissu toka Bungeni kwenda nyumbani kwake.
Na hapo ana 250M, lakini anaona Giza mbele, kwa kutorudi bungeni, Ila kijana kutoka chuo, aside hata na ka laki, anaambiwa aende veta akajifunze kutengeneza keki,ajiajiri
 
Kuna mwananchi mmoja wa Ukonga alimkuta Bar anakunywa. Mwananchi akalalamika kuhusu ubovu wa barabara. Mwitta akamjibu "Barabara zitakusaidia nini wewe? We kunywa pombe hapa uondoke"
Na huo ndio ukomo wa uelewa wake.
 
View attachment 3403234
Analia baada ya kukatwa jina na Kamati ya Siasa ya Wilaya. Hii ndiyo dalili kwamba hahitajiki tena baada ya kutumika kumsaliti Tundu Lissu mwaka 2017.

Mwitta Mwikabe Waitra hafai kwa lolote. Hana msimamo na ana tamaa ya madaraka. Ni msaliti Huyu Mwita Waitara alipata kuteuliwa kuwa Naibu Waziri kwenye Serikali ya Jiwe kama shukrani za Jiwe kwa kumsaliti Tundu Lissu. Akiwa Bungeni mnamo tarehe 7/ Septemba/ 2017 yeye ndiye alikuwa anawasiliana na Makonda kuhusu movement za Lissu toka Bungeni kwenda nyumbani kwake.
Kulia kama kafiwa na Mama
 
Hahahahaaaaa!
Mleta mada (nyumbu) anafikiri atafanana na waitara kwa namna yoyote ile........we subiri uone kama atachoka kama nyie nyumbu.
 
Mwanaume wa Kikurya analia kwa ajili ya CCM? Mwita Waitara ameonesha CCM inapendwa kweri kweri!
 
Mbali ya unafiki wake, hiyo sura imefura sababu ya utumiaji uliopitiliza wa pombe.

Nenda Moshi Bar Ukonga ukaulizie, alikuwa analewa mpaka kujikojolea. Huyo kunywa mpaka kuzima ni kawaida.
Eeeh!! Kumbe,moshi bar kuleee ndani ndani au sio,hiyo bar ya muda mrefu sasa
 
View attachment 3403234
Analia baada ya kukatwa jina na Kamati ya Siasa ya Wilaya. Hii ndiyo dalili kwamba hahitajiki tena baada ya kutumika kumsaliti Tundu Lissu mwaka 2017.

Mwitta Mwikabe Waitra hafai kwa lolote. Hana msimamo na ana tamaa ya madaraka. Ni msaliti Huyu Mwita Waitara alipata kuteuliwa kuwa Naibu Waziri kwenye Serikali ya Jiwe kama shukrani za Jiwe kwa kumsaliti Tundu Lissu. Akiwa Bungeni mnamo tarehe 7/ Septemba/ 2017 yeye ndiye alikuwa anawasiliana na Makonda kuhusu movement za Lissu toka Bungeni kwenda nyumbani kwake.
Huyu tulishamuonya Mapema sana kwamba Shetani hana Rafiki, akatupuuza.

Atavuna alichopanda
 
View attachment 3403234
Analia baada ya kukatwa jina na Kamati ya Siasa ya Wilaya. Hii ndiyo dalili kwamba hahitajiki tena baada ya kutumika kumsaliti Tundu Lissu mwaka 2017.

Mwitta Mwikabe Waitra hafai kwa lolote. Hana msimamo na ana tamaa ya madaraka. Ni msaliti Huyu Mwita Waitara alipata kuteuliwa kuwa Naibu Waziri kwenye Serikali ya Jiwe kama shukrani za Jiwe kwa kumsaliti Tundu Lissu. Akiwa Bungeni mnamo tarehe 7/ Septemba/ 2017 yeye ndiye alikuwa anawasiliana na Makonda kuhusu movement za Lissu toka Bungeni kwenda nyumbani kwake.
NO REFORMS, NO ELECTION.
 
Saddest part of the story" yeye ndiye aliyekuwa anawasiliana na Makonda kuhusu movements za Lissu "
Waitara and Makonda if the story is true, May you never know peace and may God never let it go unpunished!!
 
Lile ni pumbavu lingine 😋, linasifia mtu kuliko kumsifia mama yake na baba yake waliomzaa, sasa aanze kusifia upya ili tuelewe kama alikuwa anasifia Toka moyoni ama lilikuwa linafki🤔
 
Hahahahaaaaa!
Mleta mada (nyumbu) anafikiri atafanana na waitara kwa namna yoyote ile........we subiri uone kama atachoka kama nyie nyumbu.
Wewe ni hawara wa Waitara? Haya kanyoe mavuzi ujipake mafuta usubiri mlevi aje akuingilie
 
Back
Top Bottom