Mwita 25 BANNED-alistahili kwakweli

Mwita 25 BANNED-alistahili kwakweli

Status
Not open for further replies.
Atafufuka tena si muda mrefu. Ingawa atazaliwa upya kwa jina lingine.

ahaaaa ile alosema bwanaharusi sijui nini nii
aliniudhi saana
Ok ni sawa kuwa pro CCM na pro CDM , walakini ya Mwita25 ni kuattack personalities, kuna picha moja alicomment vibaya sana about general physique of that person, kwa mwanaume rijali...I think tht was too low!

Lakini mbona aki-pm mtu huwa anaandika pointi sana. Labda wamemfungia kwasababu ni anti-chadema lakini mimi sioni tatizo lake
Kama ubongo wako unafanya kazi sawa na wake, kamwe huwezi kuona tatizo lake.

pole mwita wenzio tunakuwa na ID mbili mbili,moja ikiwa banned unatwanga na nyengine....

Lakini mbona aki-pm mtu huwa anaandika pointi sana. Labda wamemfungia kwasababu ni anti-chadema lakini mimi sioni tatizo lake
kumbe aki pm mtu anaandika vitu vya maana basi angeendelea hvo hadi jukwaani................sio coz ni anti chadema ka kijana kalikua kana dharau sana na kujikuta ndo ka legendary ka jukwaa

^ Arghhhh! 🙁 Yaana humu ndani mtu akila ban tu, basi mijitu mingine inajidai inamjua na ilikuwa haipendi posts zake, sasa kwanini hamkumwambia kabla hajapigwa ban? Mnashangilia mtu akipigwa ban ehh? Hii JF ni kwa watu wa aina zote wenye mawazo ya aina zote. Sio kila mchangiaji lazima aunge mkono hoja za wana JF wengine. Ni mtazamo tu.
hapo kwenye red una uhakika au unaongea 2?ana maskio ya punda lakini hakuwa msikivu aikua anadharau sana huyu kijana ki2 ambacho sio kizuri kwa mwenzio

kama unajua ni jukwaa la chadema, wewe unafuata nini huku??

unataka watu wakatoe posa?
Narudia tena!!
Hii kitu ni ya chadema!! Hata colour ya wall yake ina whte, red na blue..ambazo zote ni colour za CDM!

we unag=fanyaje humu????????

mbona mimi si cdm?
My concern ni upendeleo wa wazi waz unaofanywa na mods! Ukiongelea mabaya CDM unakula ban! But hata uitukabe vp CCM..hamna anayekugusa

Narudia tena!!
Hii kitu ni ya chadema!! Hata colour ya wall yake ina whte, red na blue..ambazo zote ni colour za CDM!
Kama ni chadema wewe unafanya nini hapa chapa malapa mwana izaaa wewe....

My concern ni upendeleo wa wazi waz unaofanywa na mods! Ukiongelea mabaya CDM unakula ban! But hata uitukabe vp CCM..hamna anayekugusa
Tupe mfano mama acha kulialia....

Kama ni chadema wewe unafanya nini hapa chapa malapa mwana izaaa wewe....
Kuchapa malapa ndio nini?
Mtajaribu sana kuipinga CCM but mwesho wake mtakua mnaumia wenyewe!!

Mwita25, kama una Multiple ID's naomba uni-PM

Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom