Mwita 25 BANNED-alistahili kwakweli

Status
Not open for further replies.

Lakini mbona aki-pm mtu huwa anaandika pointi sana.lakini mimi sioni tatizo lake

uwa mnatongozana nyie uwez kusifia pm za m2.mawazo le ge le ge

^ Arghhhh!  Yaana humu ndani mtu akila ban tu, basi mijitu mingine inajidai inamjua na ilikuwa haipendi posts zake, sasa kwanini hamkumwambia kabla hajapigwa ban? Mnashangilia mtu akipigwa ban ehh? Hii JF ni kwa watu wa aina zote wenye mawazo ya aina zote. Sio kila mchangiaji lazima aunge mkono hoja za wana JF wengine. Ni mtazamo tu.

Mijitu au watu? Mimi namwambiaga...na wewe pia unavyotoka povu sana kwenye hii issue si sahihi, hata mimi hoja zangu zinapingwa na ninaambiwa, cha ajabu kipi?

Mijitu au watu? Mimi namwambiaga...na wewe pia unavyotoka povu sana kwenye hii issue si sahihi, hata mimi hoja zangu zinapingwa na ninaambiwa, cha ajabu kipi?
(hamna povu lililotoka :) ) ni vizuri kama ulikuwa unamwambia, nakupongeza kwa hilo.. Unajua bora wewe uliyekuwa muwazi kwake..ila wapo wengine walioona ni poa tu kisa mawazo yake yalikuwa hayaendani katika ncha moja ya sumaku. Ndio maana nimewaita mijitu kwa kuwa uwezo wa kufikiri mdogo, wanataka mawazo zawe sawa na wao. :)

Bora akapumzike kdg,ucku ametukana sana kwny sred ya dogo aliyemwagiwa tindikali,i hope aliyekuwa anatukanana nae pia kala ban..mod's msiwe bias

KWANINI amekuwa banned?hiv hakusoma jf rules b4 hajajiunga?.....jf members we gotta b disciplined,we dnt hav 2b banned as punishment 4 our bad posts,i think moderator awafungie moja kwa moja wanaovunja our rules....KWA WALE WAVUNJA SHERIA "GUYS BEHAVE BAC"

Bora akapumzike kdg,ucku ametukana sana kwny sred ya dogo aliyemwagiwa tindikali,i hope aliyekuwa anatukanana nae pia kala ban..mod's msiwe bias

mimi nilifuatilia, yule mwenzake anaitwa Arafat na hajapigwa ban! Hii inashangaza sana tena yeye ndiye aliyemuanza Mwita kwa kumtukania mamake

.tulimpenda ila mods wamependa zaidi
us.jpg
seo1.jpg

Kwani JF ni ya CDM?

<br /he! Wewe ni mgen humu? Mbona kila mtu anajua na wenye akili zao walishasepa tumebakia wale ambao tunapitapita na kuchagua chagua yale ambayo yanafaa_jf ilikuwa jukwaa kwel la great thinker, sasa ni place ya mialiko ya vitchen party na kuwajadili watu_dem/men akikumwaga unakuja kumuandalia zengwe na wajinga wanamjadili

mimi nilifuatilia, yule mwenzake anaitwa Arafat na hajapigwa ban! Hii inashangaza sana tena yeye ndiye aliyemuanza Mwita kwa kumtukania mamake
ulifatilia..tuwekee hayo aliyoyaandika arafat

ni msiba kwa wana SISIEM kuona kwamba waliomtuma kujibu hoja zao mitandaoni kula ban..................nadhani ataenda kwenye blog ya MS wakabadilishane upuuzi wao wenyewe.

pumzika kwa amani.

Hahaha kwel kazi sana.
Ivi kama mnataka kumjua mwita Phisical si mseme jaman.

Kwani ulkikuwa hujui?
Hili ni jukwaa la Chadema
Kumbe na wewe ni CDM... Sura kama ulianguka bafuni!

Nimekuona jana Igunga badala ya kwenda kuwaokoa wapemba wenzio...

We Malaria Sugu unathamini siasa kuliko utu wa watu...

Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom