Mwisho wa utawala wa Korea kaskazini umekaribia

Mkuu hii kitu imenikumbusha mbali sana. Nikiwa darasa la 2 kuna jamaa tukisoma naye. Alikuwa na kakake wa darasa la 4 ila mgomvi ajabu. Akikosa mtu wa kumtembezea mkong'oto alikuwa anamtuma mdogowe aanzishe vita na yeyote.
Dah! Siku ya siku, mdogo mtu ambaye tulikuwa tunamwogopa, si kalianzisha na jamaa wa darasa la nne kwa kakake?
Kumbe jamaa ni kidumemtu lakini mkimyaa. Dah! Kaka mtu si katokeza kama kawa? Akidhani kuwa leo kapata wa kunolea ngumi zake??
Nakwambia, jamaa alichapwa za haraka haraka za uso, chiniiiiii. Akaamka kwa aibu na kujifanya aliteleza mkono ukateguka. Mpaka tunamaliza shule, wale wawili mdogo na mkubwa wakawa wanadhalilishwa shule nzima.
N. Korea imekuwa ikitamani sana kupigana na Marekani. Ila, inasukumwa na nchi flan ya hapo hapo karibu. Inataka kujificha nyuma yake ili iipige Marekani. Tusubiri, huenda ukawa mwisho wa Marekani.
Mwisho wa Marekani labda ndotoni
 
Huyu kijana jeuri yeye kama yeye pia akiguswa tuu Ana ujeuri wa pili... yaani Moscow hawawezi kuangalia akiguswa kitanuka!
 
huwa anafanya,akitest makombora yake,wanakimbia kwenda UN kumshitaki na wanamweka vikwazo.
Juzi karusha satelite wakapeleka majungu UN akawekewa vikwazo.
mkuu ile draft ya sanctions ilipelekwa security council kupigiwa kula na kati walioidraft alikuwa mchina,waliopiga kura ni pamoja na china na russia ambao ni rafiki zake,sasa mkuu majungu yanatoka wapi hapa maana vitu vngne ni vigum kuvielewa
 
Huyu kijana jeuri yeye kama yeye pia akiguswa tuu Ana ujeuri wa pili... yaani Moscow hawawezi kuangalia akiguswa kitanuka!
 
Mwisho wa Marekani labda ndotoni

Mkuu, yaweza kuwa ni ndoto lakini kwa ufahamisho wako ni kwamba; Urusi wamegundua bomu ambalo likifyatuliwa, laweza kuangamiza mitambo ya umeme kwa sekunde. Marekani hana upinzani. Saa yeyote Urusi yaweza lilipua. Hakuna chochote kitafanyika marekani. Ni mawazo tu
 
balaza la usalama la umoja wa mataifa=USA,na kama ndivyo USA alisha ingilia kati ,la sivyo sijui utakuwa unazungumzia baraza gani??
baraza la usalama NI pamoja na members wa tano wa kudumu AMBAO NI,russia,china,britain,france na USA,UNAPOSEMA BARAZALA USALAMA =USA unamaanisha hata china na russia ni vibaraka wa USA?
 
"i see an "arrow" from there(north korea) and it will affect the whole world"(namnukuu tb joshua
Kwa hayo maneno ya unabii aliyotoa mkesha wa mwaka mpya mwaka huu huoni kuna kitu?
Since northkorea ni taifa la kibabe na lina silaha ambazo mataifa mengi yanaziogopa na pia rais wake dictator Anaamua anavyotaka yeyey hata mabaraza ya usalama yakijitoa kumshauri hashauriki..So akisema ndio ujue shambulizi linafuata tu.Na unadhani marekani ikishambuliwa itatulia tu!!?? ni vita! na itasambaa kwa most of d countries pande za asia na amerika kutokana na assistance watakazopata kila
Mmoja na ubaya wa silaha za nyuklia pia utaongeza athari and possibly it will b the 3world war!! na hiyo itaaffect dunia nzima kiuchumi,kiustawi etc..
kama ni kweli ni unabii kutoka kwenye bible kwamba ni nyakati za mwisho basi yatimie!
Na ukweli tb joshua anaonyeshwa na mungu,hadanganyi.Alishatoa nabii nyingi sana ikiwemo syria,aliwashauri wasijiingize kwenye vita kwani uamuzi utaleta matokeo mabaya,wengi wasio na hatia watakimbilia nchi za ulaya,pia utaathir nchi jirani zinazoizunguka syria...But syria wakaamua walichoona kinafaa na matokeo yameonekana.
So kama tb joshua angeonyeshwa pia wafanye nini ili huyu kim jong asiingie kwenye vita angesema but ukweli hii vita kuna kila dalili haina budi kuja mengineyo yatimie!
Mkuu mchango wako ungekuwa mzr kama ungeishia tu kuwa maoni na uelewa wako,ila umehatibu sana uliposema tb joshua na blablaa kibao oooo sijui alisema nn.

Mkuu hyo jamaa ni Muongo balaa, kwanza unajua historia yake vizr? Unajua utume alipewa na nan? Unajua kwa nn alianzisha kanisa lake? Unajua asili ya hyo superpower aliyo nayo?

Unamawazo mazuri ila hyo jamaa ni hatari kuliko vita, ni mwongo kama lusifa, tena anawadanganya yamkini hata wateule wa Mungu,

Mkuu soma kanuni za nabii, anavyopatikana, dalili zake, na wito wake, vinginevyo mmmmmh..
 
Mkuu, yaweza kuwa ni ndoto lakini kwa ufahamisho wako ni kwamba; Urusi wamegundua bomu ambalo likifyatuliwa, laweza kuangamiza mitambo ya umeme kwa sekunde. Marekani hana upinzani. Saa yeyote Urusi yaweza lilipua. Hakuna chochote kitafanyika marekani. Ni mawazo tu
hahahaaa amegundua lini mkuu?sasa ailipue US kwan wana ugomvi?
 
baraza la usalama NI pamoja na members wa tano wa kudumu AMBAO NI,russia,china,britain,france na USA,UNAPOSEMA BARAZALA USALAMA =USA unamaanisha hata china na russia ni vibaraka wa USA?
na manisha ushauri wao huwa ausikilizi rejea swala la libya
 
mkuu ile draft ya sanctions ilipelekwa security council kupigiwa kula na kati walioidraft alikuwa mchina,waliopiga kura ni pamoja na china na russia ambao ni rafiki zake,sasa mkuu majungu yanatoka wapi hapa maana vitu vngne ni vigum kuvielewa
tatizo lilipo ni marekani kung'ang'ania mbinu za kuleta regime change korea ya kaskazini.

Korea ya kusini wanachokoza mno,utasikia wanapakia vipeperushi kwenye parachuti na kudodoshea korea ya kaskazini kuchochea maasi,mara wanafunga masipika makubwa sana na wanaanza kuwahutubia wananchi wa korea eti uzuri wa democrasia,ha ha ha,marekani huwa hakomi,kaharibu syria,libya etc bado yupo tu.
Ila korea atawatoa kamasi hata bila msaada wa china
 
Mkuu mchango wako ungekuwa mzr kama ungeishia tu kuwa maoni na uelewa wako,ila umehatibu sana uliposema tb joshua na blablaa kibao oooo sijui alisema nn.

Mkuu hyo jamaa ni Muongo balaa, kwanza unajua historia yake vizr? Unajua utume alipewa na nan? Unajua kwa nn alianzisha kanisa lake? Unajua asili ya hyo superpower aliyo nayo?

Unamawazo mazuri ila hyo jamaa ni hatari kuliko vita, ni mwongo kama lusifa, tena anawadanganya yamkini hata wateule wa Mungu,

Mkuu soma kanuni za nabii, anavyopatikana, dalili zake, na wito wake, vinginevyo mmmmmh..
can u tell me historia yake kwa ufupi?na nisaidie pia majibu ya hayo maswali ulouliza?PLZ
 
Mkuu hii kitu imenikumbusha mbali sana. Nikiwa darasa la 2 kuna jamaa tukisoma naye. Alikuwa na kakake wa darasa la 4 ila mgomvi ajabu. Akikosa mtu wa kumtembezea mkong'oto alikuwa anamtuma mdogowe aanzishe vita na yeyote.
Dah! Siku ya siku, mdogo mtu ambaye tulikuwa tunamwogopa, si kalianzisha na jamaa wa darasa la nne kwa kakake?
Kumbe jamaa ni kidumemtu lakini mkimyaa. Dah! Kaka mtu si katokeza kama kawa? Akidhani kuwa leo kapata wa kunolea ngumi zake??
Nakwambia, jamaa alichapwa za haraka haraka za uso, chiniiiiii. Akaamka kwa aibu na kujifanya aliteleza mkono ukateguka. Mpaka tunamaliza shule, wale wawili mdogo na mkubwa wakawa wanadhalilishwa shule nzima.
N. Korea imekuwa ikitamani sana kupigana na Marekani. Ila, inasukumwa na nchi flan ya hapo hapo karibu. Inataka kujificha nyuma yake ili iipige Marekani. Tusubiri, huenda ukawa mwisho wa Marekani.
HUYO anaemtuma kama kweli anataka vita na US angeanzisha kule south east china sea maana US kila cku anapeleka destroyers kwe visiwa ambavyo mwenzie amevijenga
 
hilo kombora linaitwa EMP(ElectroMagnetic Pulse),kila upande marekan,china wanayo.
Mara nyingine EMP inakuwa achieved unapolipua bomu la nyuklia juu ya mji,yaani angani,yale mawimbi yataharibu chochote kinachotumia umeme,iwe magari,ndege,mitambo,redio,saa,vifaru etc
 
na manisha ushauri wao huwa ausikilizi rejea swala la libya
mkuu jaribu kukumbuka vizuri swala la libya baraza la usalama la umoja wa mataifa lilipiga kura kukubali au kukataa nato kuweka no fly zone pale libya.kilichotokea russia na china wali abstain kupiga ndo mana kula za ndio zkashnda,lakini kama russia angepiga kula ya no hohio moja ingezuia libya kupigwa kwasababu russia ina veto katika UNSC,kama kweli china na russia walikua na nia ya libya kutowekewa no fly zone wangepia kira ya no wao wanaveto pale kula zao mbili zingezuia kula hata za dunia nzima kwa nguvu yao ya veto mkuu
 
Mkuu, yaweza kuwa ni ndoto lakini kwa ufahamisho wako ni kwamba; Urusi wamegundua bomu ambalo likifyatuliwa, laweza kuangamiza mitambo ya umeme kwa sekunde. Marekani hana upinzani. Saa yeyote Urusi yaweza lilipua. Hakuna chochote kitafanyika marekani. Ni mawazo tu
Hahahaha....enhe hlo bomu laitwaje
 
Back
Top Bottom