Mwisho wa utawala wa Korea kaskazini umekaribia

Mwisho wa utawala wa Korea kaskazini umekaribia

I said it huyu dogo hana washauri wazuri that is it! Ukiondoa Russia, China na Japan ukanda ule wooote Marekani wanapita tu kama wananawa. Kizuri zaidi ni kwamba South Korea pia atakuwemo kunogesha hii show na huyu dogo atapigwa na nchi zaidi ya kumi bila yeye kujua vipigo vingine vinatokea wapi
Tatizo ni makombora aliyonayo...madhara ni mpaka chooni mwako na huo ndio utakuwa mwisho wa SAYARI HII.
 
Huyo dogo hana mshauri lakini kuna baraza la usalama la umoja wa mataifa kwa nini wasiingilie kati? vinginevyo huyu dogo atakuja iangamiza dunia nzima !
 
Tufafanulieni tusiojua inamaana hayo mabomu akiyalipua yanaathiri dunia nzima? Maana hata kwa Sadam walisema hivyo
 
Huyo dogo hana mshauri lakini kuna baraza la usalama la umoja wa mataifa kwa nini wasiingilie kati? vinginevyo huyu dogo atakuja iangamiza dunia nzima !
Mwambieni USA aache uchokozi. Ile military demarcation line unajua ilianza anzaje
 
Kim yupo vizuri jeshi na technology,

Mtambue demokrasia anayohubir mmarekani haina toka kwa nchi inayoendelea na iliyoendelea, utawala huu wa korea kusini ni ndani wa kuigwa mambo ya kampeni, uchaguzi na migogolo ya kisiasa hayatusaidii katika dunia ya leo.. ni kias cha kumweka anaetufaa sisi tukapiga mwendo kuyatafuta maendeleo..

Namuunga mkono kim kama ataishambulia marekani .tajitolea ku volunteer
 
Kwani hii habari ya kwamba Kim Jong Un alimweka mjomba wake kwenye chumba chenye mbwa wakali na wenye njaa na kisha kuliwa na hao mbwa ni ya kweli au ni propaganda tu za nchi za Magharibi?
 
I said it huyu dogo hana washauri wazuri that is it! Ukiondoa Russia, China na Japan ukanda ule wooote Marekani wanapita tu kama wananawa. Kizuri zaidi ni kwamba South Korea pia atakuwemo kunogesha hii show na huyu dogo atapigwa na nchi zaidi ya kumi bila yeye kujua vipigo vingine vinatokea wapi
show ikianza pale hakuna mtetezi hata huyo china hawez kumtetea....ngoja mwehu wowote wa republican ashike nchi maana hawa democratic na obama wao are very weak
 
watu wakiwa wanapia mabiti kama ya north korea watu ooh marekan anaogopa wewee...ikitokea mtu kashushiwa chapo ooh marekani anajifanya mbabe...maana watu walimsifia ooh saddam hussein ni mtu hatari sana marekan hawez kugusa pale..ila jamaa walivyogawa chapo yakabaki malalamiko oooh hawa marekani wanaonea sana.....sasa msifieni huyo dogo mpen kichwa awarushie hio nuclear yake kwa hao jamaa kama hawajamfanyia carpet bombing
 
Tufafanulieni tusiojua inamaana hayo mabomu akiyalipua yanaathiri dunia nzima? Maana hata kwa Sadam walisema hivyo
Mkuu nuclear ni very powerfull weapon yani inaweza achiwa kidogo tu na ikamaliza ata mikoa mitatu hapa bongo,Dogo kama ana ghara la kutosha anaweza poteza binadamu kwenye uso wa dunia
 
Ufafanuzi kidogo japo na kwenye Bible kuna sehemu inagusa kuhusu kaskazin mashariki kupiga magharibi cku za mwisho
hakuna,hata hitler walisahau....

Ila ule haukuwa unabii hayo mambo yalikuwa yakitokea katika zama hizo,
ni kama eti umuite mleta mada nabii iwapo kweli kim un atapinduliwa
 
Sasa anasubiri nini si akinukishe wavurugane tu! Itakua ni very expensive story ya kuja kusimulia vitukuu vyangu. Watu kila siku kutishiana hakuishi wanaleta ngumi za kitoto kuchoreana mstari afu mbabe auvuke
 
I said it huyu dogo hana washauri wazuri that is it! Ukiondoa Russia, China na Japan ukanda ule wooote Marekani wanapita tu kama wananawa. Kizuri zaidi ni kwamba South Korea pia atakuwemo kunogesha hii show na huyu dogo atapigwa na nchi zaidi ya kumi bila yeye kujua vipigo vingine vinatokea wapi
kumbe watamchangia basi sawa,wakimaliza kwa umoja wao waende na urusi.
 
Sasa anasubiri nini si akinukishe wavurugane tu! Itakua ni very expensive story ya kuja kusimulia vitukuu vyangu. Watu kila siku kutishiana hakuishi wanaleta ngumi za kitoto kuchoreana mstari afu mbabe auvuke
halafu huyu akiruka mstari na huyu anaruka,wanapishana upande.
 
Mkuu nieleweshe vzr hapo
"i see an "arrow" from there(north korea) and it will affect the whole world"(namnukuu tb joshua
Kwa hayo maneno ya unabii aliyotoa mkesha wa mwaka mpya mwaka huu huoni kuna kitu?
Since northkorea ni taifa la kibabe na lina silaha ambazo mataifa mengi yanaziogopa na pia rais wake dictator Anaamua anavyotaka yeyey hata mabaraza ya usalama yakijitoa kumshauri hashauriki..So akisema ndio ujue shambulizi linafuata tu.Na unadhani marekani ikishambuliwa itatulia tu!!?? ni vita! na itasambaa kwa most of d countries pande za asia na amerika kutokana na assistance watakazopata kila
Mmoja na ubaya wa silaha za nyuklia pia utaongeza athari and possibly it will b the 3world war!! na hiyo itaaffect dunia nzima kiuchumi,kiustawi etc..
kama ni kweli ni unabii kutoka kwenye bible kwamba ni nyakati za mwisho basi yatimie!
Na ukweli tb joshua anaonyeshwa na mungu,hadanganyi.Alishatoa nabii nyingi sana ikiwemo syria,aliwashauri wasijiingize kwenye vita kwani uamuzi utaleta matokeo mabaya,wengi wasio na hatia watakimbilia nchi za ulaya,pia utaathir nchi jirani zinazoizunguka syria...But syria wakaamua walichoona kinafaa na matokeo yameonekana.
So kama tb joshua angeonyeshwa pia wafanye nini ili huyu kim jong asiingie kwenye vita angesema but ukweli hii vita kuna kila dalili haina budi kuja mengineyo yatimie!
 
watu wakiwa wanapia mabiti kama ya north korea watu ooh marekan anaogopa wewee...ikitokea mtu kashushiwa chapo ooh marekani anajifanya mbabe...maana watu walimsifia ooh saddam hussein ni mtu hatari sana marekan hawez kugusa pale..ila jamaa walivyogawa chapo yakabaki malalamiko oooh hawa marekani wanaonea sana.....sasa msifieni huyo dogo mpen kichwa awarushie hio nuclear
yake kwa hao jamaa kama hawajamfanyia carpet bombing
akimaliza aende urusina china
 
akimaliza aende urusina china
hahahaaa kati ya hao uliowataja hakuna aliewahi kusema ana mpango wa kuwarushia makombora ya nuclear,kama yupo basi anaongea chinichini hajajitokeza hadharan km mwanaume mwenzao kim jong un
 
Kim hangekuwa na matatizo kama wangekuwa hawamchokozi,kila siku wanamfanyia mazoezi makubwa ya kijeshi mpakani.
 
Back
Top Bottom