Mwisho wa utawala wa Korea kaskazini umekaribia

Ciprofloxacin.

JF-Expert Member
Apr 15, 2015
1,583
2,702
Rais wa Korea Kaskazini, Kim Jong Un, leo hii ametishia kuzishambulia Korea kusini na marekani Kwa kutumia makombora ya nyuklia.

Endapo atafanya mashambulio hayo, ndo mwisho wa enzi wa utawala wa kiimla wa Korea kaskazini utakuwa umefika mwisho.

Maana watakutana na kichapo hatari na Kim Jong un atapinduliwa na kunyongwa na kisha utawala wa kidemokrasia utachukua nafasi.

Rais Kim Jong Un akiwa na mjomba wake Jenerari Taek aliyemuua kikatili Kwa kumweka katika chumba chenye mbwa 100 wenye njaa Kali na vichaa.
 
Attachments

  • ss06-kim-jong-un-north-korea-vf.jpg
    ss06-kim-jong-un-north-korea-vf.jpg
    41.1 KB · Views: 262
I said it huyu dogo hana washauri wazuri that is it! Ukiondoa Russia, China na Japan ukanda ule wooote Marekani wanapita tu kama wananawa. Kizuri zaidi ni kwamba South Korea pia atakuwemo kunogesha hii show na huyu dogo atapigwa na nchi zaidi ya kumi bila yeye kujua vipigo vingine vinatokea wapi
 
Atashambulia tu! kaeni tayari mda wowote akishaamua anafanya kweli!
Unabii juu yake ulishatolewa ule usiku wa mwaka mpya na tb joshua!
Na mashambulizi yake hayataaffect eneo lengwa tu bali dunia nzima!
 
Atashambulia tu! kaeni tayari mda wowote akishaamua anafanya kweli!
Unabii juu yake ulishatolewa ule usiku wa mwaka mpya na tb joshua!
Na mashambulizi yake hayataaffect eneo lengwa tu bali dunia nzima!

Mkuu nieleweshe vzr hapo
 
Atashambulia tu! kaeni tayari mda wowote akishaamua anafanya kweli!
Unabii juu yake ulishatolewa ule usiku wa mwaka mpya na tb joshua!
Na mashambulizi yake hayataaffect eneo lengwa tu bali dunia nzima!
Ufafanuzi kidogo japo na kwenye Bible kuna sehemu inagusa kuhusu kaskazin mashariki kupiga magharibi cku za mwisho
 
Rais wa Korea kaskazini, Kim Jong Un, leo hii ametishia kuzishambulia Korea kusini na marekani Kwa kutumia makombora ya nyuklia.
Endapo atafanya mashambulio hayo, ndo mwisho wa enzi wa utawala wa kiimla wa Korea kaskazini utakuwa umefika mwisho.
maana watakutana na kichapo hatari na Kim Jong un atapinduliwa na kunyongwa na kisha utawala wa kidemokrasia utachukua nafasi.

rais Kim Jong Un akiwa na mjomba wake Jenerari Taek aliyemuua kikatili Kwa kumweka katika chumba chenye mbwa 100 wenye njaa Kali na vichaa.
Usimwabudu Mmarekani......Iko siku ataangukia pua...ni muda tu.
 
Back
Top Bottom