nimependa kwajinc ulivyo na complete picture ya what is going on in ukraine na kilichotokea georgia sina ubishi hata robo,pia ni kweli kabisa ikitokea nuclear warfare kati ya hawa jamaa wawili kutakua na mutual destruction hvyo cdhan km nuclear war inaweza tokea ila convetional war nadhan inaweza tokea tokea huko mbele.....na nikweli western media zinamdemornize putin putin lakin unajua mkuu kwann west wanafanya haya?ni kwasababu wana uwezo wa kuyafanya so wanatumia vizuri uwezo wao wa kichumi,kipolitical na kijesh walionao ili kujiongezea influence ulimwenguni...mi naamini kama russia ingekuwa ndo marekani ya leo nayo ingefanya hayahaya ambayo marekani anayafanya leo so ni swala la watu kutumia nafasi walionayo kufullfill mahitaj yao...leo tunaona china anaclaimmaeneo yake kule southeast china sea ni kwasababu ameshakua na uwezo wa kufanya hivyo..pia naamin kama marekani ingekuwa weak kijesh russia wangweza kuirudisha ALASKA yao ukizingatia umuhimu wa alaska kwa pande zote mbili....so hapa mkuu ulichonachotumia..kama una nguvu ya kijesh unatumia kupata maslahi yako..kama una nguvu ya kiuchumi unatumia kusaka maslahi..kama una nguvu kubwa ya ushawishi duniani pia unaitumia...marekani yeye ameona demokrasia inamsaidia kusev interest zake na russia nae tumeona njia zake anazotumia sema tu warussia wanaumia kwasababu marekan anaweza fanya mengi ambayo wao hawawez kwasababu amewazidi kiuchumi na pia ana allies wengi kwahio na wao lazima wapige anti american propaganda kwa wingi....binafsi naona ili russia iweze kuplay katika the same arena USA inabidi kuimprove uchumi wake maana cku hizi watu wamejikita sana kwenye economic warfare coz ukiwa na hela ndo unackilizwa...hata china yuko behind kijesh kwa russia na US ila uchumi wake ni silaha nzuri kwa sasa