Mwisho wa utawala wa Korea kaskazini umekaribia

Mwisho wa utawala wa Korea kaskazini umekaribia

Matokeo ya kuongozwa na kichaa...muda wowote kama hamuuelewani..anaamuru unyongwe...cheka role model ambaye ni rais mnyoo wake
 
Hahaha si uongo jamaa hua ana saundi full kujifanya expert kwenye mambo ya kijeshi, yuko na jamaa ake mwingine aki comment nta kutag uone ujuaji wao mkuu
poa poa we nitag tu nimjue muongo mwenzie
 
Mkuu, yaweza kuwa ni ndoto lakini kwa ufahamisho wako ni kwamba; Urusi wamegundua bomu ambalo likifyatuliwa, laweza kuangamiza mitambo ya umeme kwa sekunde. Marekani hana upinzani. Saa yeyote Urusi yaweza lilipua. Hakuna chochote kitafanyika marekani. Ni mawazo tu
Katika watu wenye mipango ya chini chini..mmarekani anaongoza..usije mu underestimate hata siku moja..
Tangu ile project Manhatan sinaga imani na huyu mtu
 
Mtoa mada embu kasome kwanza historia ya Korea kaskazini. Haitakuwa mara ya kwanza marekani kuivamia Korea kaskazini alishawahi kuingia kivita 1958 kumsaidia korea kusini matokeo yk akaambulia kichapo baada ya china kuingia kuisaidia Korea kaskazini.

Marekani anajua hilo kwamba china na Korea kaskazini ni kitu kimoja na wananchi wa marekani hawataki jeshi lao liingie kivita korea kaskazini kwasbb inasemekana korea kaskazini wana makombora ya nyuklia yanayofika marekani na pia wana was was kwamba china na russia watamsaidia mkorea kask hence itakuwa vita ya 3 ya dunia.

So korea kask anajua anachokifanya hakurupuki
 
Jamani mnaosema miaka yote ni biti tu la mdomo ndio Korea kaskazini wanatoa ,msisahau pia ni utawala tofauti ndio umekua ukitoa hizo biti ,labda babu na baba yake dogo walikua na busara kidogo ,huyo mtoto anaweza asiwe kama babu au baba yake ,

Mmarekani anamkataza nwenzake asitengeneze mabomu ya nyuklia wakati yeye alionyesha dunia kwa vitendo namna ya kutumia hayo mabomu Japan ,vyovyote vile hata kama huyo dogo Marekani atafanikiwa kumdhibiti ,ni nani atakuja kumdhibiti Mmarekani ama Mchina ama Mrusi ?? Mungu alisema hatoingamiza dunia kwa moto wala maji nadhani dunia hii tutajiangamiza wenyewe
Beat ni za dogo huyu huyu wala sio za babu yake
 
mkuu jaribu kukumbuka vizuri swala la libya baraza la usalama la umoja wa mataifa lilipiga kura kukubali au kukataa nato kuweka no fly zone pale libya.kilichotokea russia na china wali abstain kupiga ndo mana kula za ndio zkashnda,lakini kama russia angepiga kula ya no hohio moja ingezuia libya kupigwa kwasababu russia ina veto katika UNSC,kama kweli china na russia walikua na nia ya libya kutowekewa no fly zone wangepia kira ya no wao wanaveto pale kula zao mbili zingezuia kula hata za dunia nzima kwa nguvu yao ya veto mkuu
Ukifuatilia sana hizo nchi zenye kura ya veto ni wamoja wahuni na wasiri sana wanakubaliana kwa hili wanapingana kwa lile
 
Huyo dogo amsubil rais wa dunia ajaye yule mgombea kichaa wa america,huyo mkorea anataaka bwana atampata ,vitisho vyake vimetosha lets vote for trump
Sasa wewe unadhani Trump anamfikia Bush kwa utata wake? Bush mwenyewe alinyoosha mikono kwenye issue za DPRK.
 
Mashoga wa marekani hawauwezi huu mziki... 1958 hawa mashoga walichapwa vibaya wakarudi kufanya ushoga kule Nevada.. Sasa aingie tena sasahivi aone nchi yake itakavyosambaratishwa na Russia, China na Korea mwenyewe.. Hii nchi ya kishoga kazi yao kuvuruga nchi za watu tu.. Mashoga wakubwa haww
 
Wananchi wa Korea kaskazini bila shaka ndani ya mioyo yao wanatamani sana kuondokana na aina hii ya utawala, kweli kwa anavyokwenda, hana siku nyingi huyu young dictator ambaye mikono yake imejaa damu.
Myth.. inawezekana wanaishi vizuri kuliko watanzania sema tu kwa sababu tumelishwa propaganda za kipumbavu hatuwezi kuliona hili. Watu wana technologia ya kutengeneza makombora, satellite, meli, silaha, mifumo yao ya computer na vitu vingi halafu unadhani kwamba wanaishi kwa matatizo kuliko watanzania ama nchi nyingine za dunia ya tatu?
 
Shua mkuu tumelishwa propaganda za kijinga sana we Mtanzania unaishi bunju alafu unasema eti wamechoshwa na utawala wa damu ni upuuzi wa ali ya juu sana
 
Myth.. inawezekana wanaishi vizuri kuliko watanzania sema tu kwa sababu tumelishwa propaganda za kipumbavu hatuwezi kuliona hili. Watu wana technologia ya kutengeneza makombora, satellite, meli, silaha, mifumo yao ya computer na vitu vingi halafu unadhani kwamba wanaishi kwa matatizo kuliko watanzania ama nchi nyingine za dunia ya tatu?
Ingekuwa hawampendi unadhani RAIA wangeshindwa kuwatoa hapo. Nilishawai eka nyuzi na video ya RT iliyochukuliwa cku kumi jamaa ni wazalendo vibaya na wanampenda kiongozi wao utadhani sijui nini!.
 
Myth.. inawezekana wanaishi vizuri kuliko watanzania sema tu kwa sababu tumelishwa propaganda za kipumbavu hatuwezi kuliona hili. Watu wana technologia ya kutengeneza makombora, satellite, meli, silaha, mifumo yao ya computer na vitu vingi halafu unadhani kwamba wanaishi kwa matatizo kuliko watanzania ama nchi nyingine za dunia ya tatu?
Kwa mwenye akili lazima ajiongeze kama ulivyosema
 
Hiv kuna mtu ashapiga attacks za kibabe kama za mmarekani?
kushinda vita sio kama weng wanavyofikiria mkuu,watu hawaangalii kuigeuza jivu nchi fulan bali watu wanaangalia kama objectives zao kwenye hiyo vita zimetimia,mfano ile vita ya north na south korea..north walivamia south ili waiunganishe wawe nchi moja so jamaa walivyointervene lengo lilikuwa ni kuidrive out north korea hivyo walivyoirudisha tu hadi kwao wakawambia jaman tuache vita tukae mezan wakafanya hvyo..vita ya afghan lengo lilkuwa kuwatoa taliban madarakan kuweka government nyngne ambao wanaendana nayo the same na iraq...angalia sana vita nyingi anazopigana marekan znaishia na mikataba ya aman coz had kufikia mda huo malengo yake yanakua yametimia sasa vita ya nn?pia hii inasaidia huyo uliempiga hata badae kuja kuwa friends wako...angalia ile vita vya yugoslavia....hakuna alietegemea leo hii serbia angesign memorandum of understanding na NATO kwa jinc walivyokua maadui..angalia japan ilipigwa nuclear na marekan leo marafiki wakubwa..angalia viietnam leo hii ni marafiki wakubwa wa USA...angalia phillipines leo hii ni marafiki wakubwa wa USA.....so watu wakiwachapa watu pia huwa wanaangalia mbele pia......hii inamtesa urusi kwa zile nchi alizozikomboa toka ujeruman kwenye WW2 ni nchi nying lakini sasa nchi hzo weng wao hawana uhusiano mzuri kabisa na russia badala yake weng wamekimbilia kujiunga na NATO
 
Mkuu nuclear ni very powerfull weapon yani inaweza achiwa kidogo tu na ikamaliza ata mikoa mitatu hapa bongo,Dogo kama ana ghara la kutosha anaweza poteza binadamu kwenye uso wa dunia
Naam busara inabidi itumike na wala si ushabiki.....
Maisha tuliyonayo yametokana na wahenga wetu kunusurika katika mabalaa kadhaaa
 
Back
Top Bottom