Mwisho wa utawala wa Korea kaskazini umekaribia

Mwisho wa utawala wa Korea kaskazini umekaribia

af anaanzaga kama masihara vile,hashtukizagi huwa anatangaza kwanza kwamba tunakupa 48hrs tunakuja kukuvamia so kama nawe unabomba za kutosha ujipangage kabisa,y

hawez kupigwa kirahisi ila lazima achapike,sema nchi kama china lazima wamtulize dogo maana wanajua akizingua akachapwa basi lazima nchi imezwe na south korea af sasa hii itakua ina negative impact kwa china so china atafnya awezavyo ili pensula iendelee kuwa tulivu tu mikwala iendelee ila wasianzishe vita
Ila China after ile hydrogen test alisema haitajitoa mhanga kwa NK km ilivyofanya kwenye Korea war...itatoa msaada lkn sio km walivyojiingiza mazima kwenye Korean war mpk wanajesh karibu 150,000 wa China walikufa
 
Na mmarekan alivyo mshenz kesho utasikia katuma B2 bomber yeye hatakag maneno meng
alishatuma siku nyingi kumtisha kim na hizo ndege zake.
Ule mpaka ni moja ya sehemu iliyosheni silaha kuliko mpaka wowote hapa duniani,
mji mkuu wa korea kusini upo karibu sana na mpaka huo na maelfu ya mizinga ya korea kaskazini ipo hapo ready imeulenga mji wa seoul.
Wanasema iwapo itatokea vita hiyo mizinga pekeyake ndani ya saa moja italeta madhara makubwa ndani ya mji wa seoul,
ukaribu huo pia inatoa uwezekana kwa makomando wa korea kaskazin kuweza kustorm huo mji kwa urahisi mno
lets wait mwaka huu basi!tutaona kama atafanya kweli au blah blah na mikwara tu!
umesahau korea ya kaskazini walizamisha meli ya korea ya kusini na marekani akawa mpole?

Walishambulia kisiwa cha korea ya kusini na hawakujibu zaidi ya kutishia na mazoezi yao?
 
alishatuma siku nyingi kumtisha kim na hizo ndege zake.
Ule mpaka ni moja ya sehemu iliyosheni silaha kuliko mpaka wowote hapa duniani,
mji mkuu wa korea kusini upo karibu sana na mpaka huo na maelfu ya mizinga ya korea kaskazini ipo hapo ready imeulenga mji wa seoul.
Wanasema iwapo itatokea vita hiyo mizinga pekeyake ndani ya saa moja italeta madhara makubwa ndani ya mji wa seoul,
ukaribu huo pia inatoa uwezekana kwa makomando wa korea kaskazin kuweza kustorm huo mji kwa urahisi mno
umesahau korea ya kaskazini walizamisha meli ya korea ya kusini na marekani akawa mpole?

Walishambulia kisiwa cha korea ya kusini na hawakujibu zaidi ya kutishia na mazoezi yao?
Ina maana unadhani hyo mizinga wanayo NK tyu SK hawana?!
 
watu wakiwa wanapia mabiti kama ya north korea watu ooh marekan anaogopa wewee...ikitokea mtu kashushiwa chapo ooh marekani anajifanya mbabe...maana watu walimsifia ooh saddam hussein ni mtu hatari sana marekan hawez kugusa pale..ila jamaa walivyogawa chapo yakabaki malalamiko oooh hawa marekani wanaonea sana.....sasa msifieni huyo dogo mpen kichwa awarushie hio nuclear yake kwa hao jamaa kama hawajamfanyia carpet bombing
Kweli mkuu na kwa vile huyu dogo ni memba humu basi akisoma bichwa hiilo![emoji3] [emoji12] [emoji12]
 
Wananchi wa Korea kaskazini bila shaka ndani ya mioyo yao wanatamani sana kuondokana na aina hii ya utawala, kweli kwa anavyokwenda, hana siku nyingi huyu young dictator ambaye mikono yake imejaa damu.
wananchi wapi hamna dolla duniani linaweza kupambana na wananchi,ukiona hvyo jua fika walio wengi wanapenda utawala huo
 
daah china saiz yuko busy kujenga uchumi af mtu anataka alete vita ya nuclear mlangoni c ana matatizo huyu dogo
 
WORLD ARE CRAZY / IMCHOKOZE TU HALAFU IMVAMIE....!!!
came trump come trump came trump!!!
 
Huyu chalii sijui kwanini bado ulimwengu una muangalia tu kichwa chake kilivyojaa tope siku atashambulia kwa nuclear atafutiwe njama tu angoke ata kwa assassination
unadhani N.Korea ni Tanzania unasema anzisheni sera fulani inaanzishwa hata ujiulizi ni zaidi ya miaka 40 wapo hivyo na hamna taifa lolote wala si UN wanaochukua action dhidi yake-never stop questioning
 
I said it huyu dogo hana washauri wazuri that is it! Ukiondoa Russia, China na Japan ukanda ule wooote Marekani wanapita tu kama wananawa. Kizuri zaidi ni kwamba South Korea pia atakuwemo kunogesha hii show na huyu dogo atapigwa na nchi zaidi ya kumi bila yeye kujua vipigo vingine vinatokea wapi
utasubiri mpaka dunia inaisha USA kuja kumpiga korea??-unadhani USA hapendi kumpiga jua kuna sababu zinazosababisha asimpige
 
alishatuma siku nyingi kumtisha kim na hizo ndege zake.
Ule mpaka ni moja ya sehemu iliyosheni silaha kuliko mpaka wowote hapa duniani,
mji mkuu wa korea kusini upo karibu sana na mpaka huo na maelfu ya mizinga ya korea kaskazini ipo hapo ready imeulenga mji wa seoul.
Wanasema iwapo itatokea vita hiyo mizinga pekeyake ndani ya saa moja italeta madhara makubwa ndani ya mji wa seoul,
ukaribu huo pia inatoa uwezekana kwa makomando wa korea kaskazin kuweza kustorm huo mji kwa urahisi mno
umesahau korea ya kaskazini walizamisha meli ya korea ya kusini na marekani akawa mpole?

Walishambulia kisiwa cha korea ya kusini na hawakujibu zaidi ya kutishia na mazoezi yao?
kwani uturuki walivyotungua ndge ya urusi syria russia walifanyeje???nchi kubwa kama hizi zinakuwaga na hekima huwa hazikurupuki kufanya maamuzi mkuu
 
Huyo dogo hana mshauri lakini kuna baraza la usalama la umoja wa mataifa kwa nini wasiingilie kati? vinginevyo huyu dogo atakuja iangamiza dunia nzima !
balaza la usalama la umoja wa mataifa=USA,na kama ndivyo USA alisha ingilia kati ,la sivyo sijui utakuwa unazungumzia baraza gani??
 
naye afanye kwake,mbon china anfanyaga mazoez kwe pwan ya japan ila japan hajawah lalamika?marekan anafanya mazoez kule black sea lakin russia anawamonitor tu coz hawavunji international laws,sasa yeye aawapige watu nuclear kisa wanafanya mazoez nchini kwao kweli??kweli lazima mtu ajihami ila yule kijana anaongea sana,huwez kuwa rais af unakosa staha vile,alishwah mwambia presida wa south korea ni mpumbavu na kichaa.....wale jamaa wanamatatizo mkuu
huwa anafanya,akitest makombora yake,wanakimbia kwenda UN kumshitaki na wanamweka vikwazo.
Juzi karusha satelite wakapeleka majungu UN akawekewa vikwazo.
 
Mkuu hii kitu imenikumbusha mbali sana. Nikiwa darasa la 2 kuna jamaa tukisoma naye. Alikuwa na kakake wa darasa la 4 ila mgomvi ajabu. Akikosa mtu wa kumtembezea mkong'oto alikuwa anamtuma mdogowe aanzishe vita na yeyote.
Dah! Siku ya siku, mdogo mtu ambaye tulikuwa tunamwogopa, si kalianzisha na jamaa wa darasa la nne kwa kakake?
Kumbe jamaa ni kidumemtu lakini mkimyaa. Dah! Kaka mtu si katokeza kama kawa? Akidhani kuwa leo kapata wa kunolea ngumi zake??
Nakwambia, jamaa alichapwa za haraka haraka za uso, chiniiiiii. Akaamka kwa aibu na kujifanya aliteleza mkono ukateguka. Mpaka tunamaliza shule, wale wawili mdogo na mkubwa wakawa wanadhalilishwa shule nzima.
N. Korea imekuwa ikitamani sana kupigana na Marekani. Ila, inasukumwa na nchi flan ya hapo hapo karibu. Inataka kujificha nyuma yake ili iipige Marekani. Tusubiri, huenda ukawa mwisho wa Marekani.
 
Ina maana unadhani hyo mizinga wanayo NK tyu SK hawana?!
tatizo ni location ya mji wa seoul,korea ya kusin wanazo silaha za kisasa kuzidi korea ya kaskazini.
Tatizo mji wao mkuu upo km 45 toka pale Demilitarize zone,na hapo ndo kun artilery karibu 30000 zimetarget mji mji wa seaul.
Wanadai mashambulizi hizo artilery piece ndani ya masaa mawili zinaweza kusababisha casualt ya watu milion 1 ndani ya mji wa seoul
 
Back
Top Bottom