Mwisho wa Chenge umefika rasmi

asante kwa picha mkuu .

Ronaldo, unafuatilia hadi siasa za bongo.

Kweli ufisadi wa Tanzania umefikia viwango vya Kimataifa.

Kwa taarifa tu,usifikirie huyu chenge ndio mwizi maarufu,yupo mwingine,azungumziwi sana sababu alikuws anaumwa,ndo amerudi juma mosi jioni.

Huyo ni mwizi wa kutupwa,anaiba kama hana akili nzuri,ni mwizi haujapata kuona.

Anaitwa,Jakaya Mrisho Kikwete.

We unakuja lini bongo sasa?
 
Ha! Ha! Haaaa !!!!
 
we bwana weeee,unamaanisha Profesa??????
 
Hizi hadithi zenu za kusoma Havard, sijui msomi wa hali ya juu zinakera sana...Chenge ni mwizi,fisadi wa kiwango cha juu,asiye na huruma hata kwa familia yake mwenyewe na ndiyo maana amefanya mambo mengi ambayo yameliingiza taifa na nchi kwenye korongo la milele! Kuna watu wenye vyeti kutoka 'Data Star College' Cha wapi sijui ila wakipewa nafasi wanaweza kusimama kwenye ethics kuliko hii mijizi ya Havard!
 
rosemarie hilo ni dua la kuku kamwe halimpati mwewe..Chenge ni mtaalamu aliyebobea kwenye sheria na siasa hivyo ukimwona wa kazi gani duniani wanasema watampata lini....Usimwonee gere kwa kupata fedha hizo unachotakiwa kujiridhisha ni kama kweli fedha hizo hakustahili kulipwa au amekwiba....vinginevyo hata sala yako leo ilikuwa unamwomba shetani kwani Mungu hapokei dua za wenye husuda...

Kama unanufaika na huu mfumo nakupa big up.ila Kama huna unalopata wewe Ni kenge maji.
 
huyo ni fisadi hangoki
Alivyo jeuri si mlisikia alipokwa anazomewa bungeni wakati akimsaidia madame speaker kumpatia ''formulation'' nzuri ya maneno ya kuandika azimio kwa mkulu ,alisema wala hizo kelele hazimsumbui na alisikika waziwazi kwenye TV,jama ana ngozi ngumu kama ya kiboko mzee
 
Chenge ashawapiga chenga tangu awali walileta mizengwe kupindisha ufisadi wa pinda wakaishia kupinda pinda kumlinda pinda asisulubiwe keeblnye ncha ya upinde.
 
Chenge ni hatari,ngoja nikamtoe huko Bariadi,simwogopi wala nini pamoja na uchawi wake
 
lancanshire kenge maji humtambua kenge maji mwenzake..bila shaka wewe ni kenge maji ndio maana umenitambua hivyo.. Sinufaiki sihitaji big up yako isipokuwa nakuona una gundu la maamuma tu...
Kama unanufaika na huu mfumo nakupa big up.ila Kama huna unalopata wewe Ni kenge maji.
 
Watanzania wenzangu,

kila lenye mwanzo halikosi kuwa na mwisho,Chenge ambaye kwa sasa ni Mbunge na Mwenyeketi wa kamati ya Uandishi wa Katiba mpya mwisho wake hakika hakika unakaribia kuliko jinsi tunavyoamini
huyu mtu amekuwa kwenye system kwa miaka mingi na tukumbuke ni mmoja wa wasomi wachache wa taifa letu waliosoma
harvard university

yaliyotokea mwisho wa week hii ndiyo chanzo cha kumalizika kabisa kwa fisadi huyu msomi ambaye katu hakuelimika na elimu yake

Chenge amen'golewa na nguvu ya maskini walewale aliokuwa akiwadharau siku zote,maazimio ya bunge yakisimamiwa na viongozi wetu tuliowatuma Bungeni yamesababisha kummaliza rasmi fisadi nguli Chenge,kwa taarifa tu ni kwamba Chenge ndiyo ametolewa rasmi kwenye system hii mbovu ambayo ni wajibu wetu watanzania wote kuitengeneza upya,fedha zote alizopata baada ya kuwasaidia wazungu ili watutapeli kwenye manunuzi ya rada zimefikia mwisho wake rasmi,fedha zote alizopata kwenye Escrow zinafikia mwisho wake,Kamwe Chenge hatarudi kwenye system hii milele na milele na kamwe hawezi kushinda ubunge tena na atakuwa mitaani na wana system wenzake watamgeuka na ATAVUNA ALICHOPANDA!

kilichobaki sasa hivi kwa Watanzania ni kuendelea kupambana kwa kutumia viongozi wetu na huku tukiwaombea na kuchangia vyama vyetu kwa nguvu zote ili tuweze kuendelea kuivunja system kidogo kidogo kwani system imeharibika mno kiasi kwamba tukisema ni ku offload once tutasababisha vita ya maangamizi kwenye taifa letu,

nimetoka kanisani na tumemshukuru Mungu kwa hapa tulipofika soo far,

MUNGU IBARIKI TANZANIA NA VIONGOZI WAAMINIFU,AMEN!

Sasa pesa za kupigia kampeni za mwakani akatoe wapi? Polisi? Mnafikiri T-shirts na vikofia vinatoka wapi?
 
Kubwa la maadui, fisadi papaa aka A.Chenge...mie nilijua huyu atakaa kwenye system mpaka kuuzeeka kumbe Mwenyezi Mungu ni mkuu katoa maonyoo mchana kweupe...

Bado wale wengine waliochukua zile cash za stanbic unaweza kuta yupo mkuu wa kaya hapo chachaaa
 
Kubwa la maadui, fisadi papaa aka A.Chenge...mie nilijua huyu atakaa kwenye system mpaka kuuzeeka kumbe Mwenyezi Mungu ni mkuu katoa maonyoo mchana kweupe...

Bado wale wengine waliochukua zile cash za stanbic unaweza kuta yupo mkuu wa kaya kwenye list hapo chachaaa
 
Mtafutie ushahidi wenye mashiko umburute kortini na usimamie kesi hiyo ili hukumu itoke kwa haki

we jamaa ni kiboko ! Humuamini pdg rugemalira ? PAC je ? Mkombozi bank nayo ? Au ndio ile mahaba niue ? Ushahidi wa kumfunga jela chenge umejaa tele , subiri muda ufike atapelekwa hata kwa wheel chair !
 
Back
Top Bottom