Mwisho wa Chenge umefika rasmi

Mwisho wa Chenge umefika rasmi

huyu fisadi ataendekea kula tu mpaka Afe.si ameachia ngazi ya kamati ya bajeti tu..ubunge mpaka mwisho.
usishangae akagombea tena ubunge.
 
kuwajibishwa bila kupukutishwa hela aliyoiba mi naona hakuna maana yoyote ile....
 
Ya Chenge ni mengi sana na kamwe hayataweza kusaulika katika kumbukumbu za taifa hili.
Kwa mfano sakata la kulipia Kodi kwa line za simu yeye alilishikia kidedea sana na nafikiri hata wazo lenyewe lawezekana lilitoka kwake pia.
Hakika kiumbe huyu ufalme wake ni wa hapahapa dunia tu, ila tumuombee maisha marefu sana aje kuona Tanzania huru ya bila rushwa hapo baadae.
 
na kila uchao una machweo..haitwi bolluscon anaitwa Berlusconni naye amefungwa kwa rushwa kwa kupitia vyombo vya dola na sio udaku wa kwenye mitandao ya kijamii. sasa tusimhukumu Chenge tuviachie vyombo vya dola vitachunguza na kutoa hukumu.
unamjua BOLLUSCON yuko wapi leo,kila asubuhi ina jioni
 
tuseme inshaalah maana wenye maamuzi ni mahakama na kwa sheria ya natural justice kila mtu hana hatia mpaka pale atakapothibitika kuwa na hatia...
Kuna kila dalili ya chenge kufungwa kabla mwaka huu haujaisha , cheo kimoja kimoja kinamdondoka !
 
Kung`olewa kwa Chenge ktk nyadhifa zake bungeni na kamati ya PAC kumeongezea dosari kubwa rasimu aliyoiandaa yeye na Sitta..Ukawa wamepata pointi nyingine kubwa ya kuizamisha katiba pendekezwa!!!Mkono mchafu hauwezi kuandika katiba
Kwaheri Chenge kwa heri Magamba..kalibuni mwakani kuwa chama kikuu cha upinzani!!!

Ni kweli tupu, huyu mtu mafia kweli, hata kesi yake ya kuua mpenzi wake aliyekuwa kwenye bajaj ilikuwa umafia tupu
 
Back
Top Bottom