Nigrastratatract nerve
JF-Expert Member
- Sep 4, 2019
- 1,399
- 3,918
Ni Habari njema watanzania ni kikao cha wajuvi wa mambo kilikaaa sirini toka Magufuli afariki Dunia ikawa kwamba Samia ni nahodha tu anyeivusha meli upande wa pili wa pili baada ya Nahodha mkubwa kutangulia mbele za haki
Isingewezekana Samia kuendelea kuwa Rais wa JMT Kwa sababu yeye ni miongoni mwa wanaodhaniwa kuwa kwenye kundi linalobeba watu fulani hivyo basi akiendelea kutawala Kuna mgawanyiko mkubwa Sana utatokea kwenye chama na nchi ambao utakuja kukipasua chama na nchi vipande vipande
kwa nini Mwinyi?
Mwinyi aliandaliwa mapema sna kulingna na kariba yake ya kutokuwa na kundi kwa sababu yeye ni mtu makini anayetenda haki na anaaminika Sana na ni mtulivu wa kiwango cha Hali ya juu hivyo basi Rais mwinyi atakuwa kiunganishi mkubwa wa nchi, chama na serikali.