Nyakageni
JF-Expert Member
- Feb 1, 2011
- 15,044
- 5,114
Kumekucha
choo cha kike
Kumekucha
mkuu vp issue ya Rwakatare imeishia wapi? Nasikia ww ni mmojawapo wa kikosi cha kimafia cha cdm kilicho kuwa kinapanga mkakati huo.
Hayu atakuwa ameshindwa kufuata amri za Padri Slaa
KATIBU wa Baraza la Vijana wa Chadema (BAVICHA) wilaya ya Rombo, Abdul Issa amekihama chama hicho na kujiunga na Chama Cha Mapinduzi.(CCM)
Hatua hiyo imefikiwa baada ya Katibu huyo kudai kuchoshwa na ubabaishaji ndani ya CHADEMA na kikubwa ni UBAGUZI uliokithiri na kufitiniana., alilalamikia ahadi zisizotekelezwa alizopewa na CHADEMA pamoja na mbunge wa jimbo hilo.
Katibu huyo alirudisha kadi ya CHADEMA yenye namba 0406788 mbele ya Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana (UVCCM) wilaya ya Rombo Ndugu Beatrice Shirima, ambae alikuwa akifanya ziara za kushukuru na kuimarisha jumuiya wilayani humo.
Hivi wewe si ndiye yule uliwapeleka watu kufanya mkutano kwenye pub ya pombe mwezi wa Ramadhani? kuna mtu aliwahi kukuuliza una maslahi gani kwenda kukodi ukumbi kwa mkenya London UK na je maslahi yako ni yepi? vipi bado umeajiliwa na Mpemba au umeshapata mtaji?Sawa nyie wenye akili kubwa ya kushindwa hata kuhoji matumizi ya hela za chama.
KATIBU wa Baraza la Vijana wa Chadema (BAVICHA) wilaya ya Rombo, Abdul Issa amekihama chama hicho na kujiunga na Chama Cha Mapinduzi.(CCM)
Hatua hiyo imefikiwa baada ya Katibu huyo kudai kuchoshwa na ubabaishaji ndani ya CHADEMA na kikubwa ni UBAGUZI uliokithiri na kufitiniana., alilalamikia ahadi zisizotekelezwa alizopewa na CHADEMA pamoja na mbunge wa jimbo hilo.
Katibu huyo alirudisha kadi ya CHADEMA yenye namba 0406788 mbele ya Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana (UVCCM) wilaya ya Rombo Ndugu Beatrice Shirima, ambae alikuwa akifanya ziara za kushukuru na kuimarisha jumuiya wilayani humo.
Msaliti anapopewa sifa ya upambanaji namba moja wa wasaliti!!!
Only in chadema, chama cha kilaghai...
Hayu atakuwa ameshindwa kufuata amri za Padri Slaa
Hayu atakuwa ameshindwa kufuata amri za Padri Slaa
mkuu yani unampa umaarufu m2 ambaye hata umaarufu hana muwe mnaangalia hata vya kupost hmu kuna hoja nyingi sana za msingi kama vile ni namna gani twiga mwenye shingo ndefu kuliko fastjet lakini alipandishwa mpaka ughaibuni huku akiwa mzimaKATIBU wa Baraza la Vijana wa Chadema (BAVICHA) wilaya ya Rombo, Abdul Issa amekihama chama hicho na kujiunga na Chama Cha Mapinduzi.(CCM)
Hatua hiyo imefikiwa baada ya Katibu huyo kudai kuchoshwa na ubabaishaji ndani ya CHADEMA na kikubwa ni UBAGUZI uliokithiri na kufitiniana., alilalamikia ahadi zisizotekelezwa alizopewa na CHADEMA pamoja na mbunge wa jimbo hilo.
Katibu huyo alirudisha kadi ya CHADEMA yenye namba 0406788 mbele ya Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana (UVCCM) wilaya ya Rombo Ndugu Beatrice Shirima, ambae alikuwa akifanya ziara za kushukuru na kuimarisha jumuiya wilayani humo.
Mwache akaungane na wachumia tumbo wenzie
Sawa nyie wenye akili kubwa ya kushindwa hata kuhoji matumizi ya hela za chama.
Msaliti anapopewa sifa ya upambanaji namba moja wa wasaliti!!!
Only in chadema, chama cha kilaghai...
Watu wa jimbo la Rombo hawajawahi kuvumilia wala Rushwa.Ni jambo la Ovyo kwa kijana huyo aliyeshtukiwa akitumika kugawa fedha zilizotolewa na diwani aliyehama CHADEMA kulinda maslahi yake kibiashara na kumtumia kijana huyo kuivuruga CHADEMA.Mkatati vwa CCM jimbo la Rombo unajaribu kuelekeza nguvu ndani ya CHADEMA ili kupata siri na mikakati hiyo.CHADEMA hakuingiliki,ukigundulika tu imekula kwako
Bahati nzuri wananchi wa Rombo wanajua kumuwajibisha mtu kabla hata ya tarataibu za Chama.Rushwa ni mwiko kule.Hata Mramba alitenga bajeti kubwa kwa ajili ya barabara ya Rombo akidhani atawafumba Macho.Walimwambia Mwanetu umennde mko uveeli haki ya mondu lakini enda safo(Kijana wetu umeleta barabara ambayo ilikua haki yetu ya muda mrefu ila nenda tu hatukutaki)