Kimbunga
Platinum Member
- Oct 4, 2007
- 14,952
- 10,037
Priva,
Precisely my point.On time,swift and accurate.Tusonge mbele!Rombo for Change!
Mkuu Ben naona unapiga jalamba! Thirty kama yupo hayupo; mguu nje mguu ndani!
Priva,
Precisely my point.On time,swift and accurate.Tusonge mbele!Rombo for Change!
hana cheo chochote huyo bavicha hatuna katibu mwenye jina hilohana jipya huyo/ ahadi gani aliahidiwa ? au aliahidiwa kupanda cheo
Mshamba wewe hakuna chama kisicho na mmiliki na CDM mmiliki wake ni wanaCDM wote. Wewe una nafasi ya kusikilizwa na nani mbururaaaaaaaaaaaaaaaaaa mweusi.Tunamkaribisha CCM kwa mikono miwili. CCM ni chama kisichokuwa na ubabaishaji kwa sababu ya kuwa na mgawanyo wa madaraka na utawala wa sheria. Ndani ya CCM kila mtu ana nafasi sawa ya kusikilizwa.
Chama Cha Mapinduzi (CCM) hakina mmiliki wake. CHADEMA kina mmiliki wake.
Kidumu Chama Cha Mapinduzi.
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums