Tunamkaribisha CCM kwa mikono miwili. CCM ni chama kisichokuwa na ubabaishaji kwa sababu ya kuwa na mgawanyo wa madaraka na utawala wa sheria. Ndani ya CCM kila mtu ana nafasi sawa ya kusikilizwa.
Chama Cha Mapinduzi (CCM) hakina mmiliki wake. CHADEMA kina mmiliki wake.
Kidumu Chama Cha Mapinduzi.
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
kumbe alipewa ahadi siyo? na huko alikoenda anaamini vipi kwamba ahadi alizopewa pia zinaweza tekekelezeka. sh...i zake.
Kumekucha
Mi namdai meli mpya ya Mwanza to Bukoba, Train/Barabara toka Arusha to Musoma.
Mkuu usimwage povu kiivyo kimsingi mchizi kashindwa kutekeleza Amri za Padri Slaa za kuua watu
KATIBU wa Baraza la Vijana wa Chadema (BAVICHA) wilaya ya Rombo, Abdul Issa amekihama chama hicho na kujiunga na Chama Cha Mapinduzi.(CCM)
Hatua hiyo imefikiwa baada ya Katibu huyo kudai kuchoshwa na ubabaishaji ndani ya CHADEMA na kikubwa ni UBAGUZI uliokithiri na kufitiniana., alilalamikia ahadi zisizotekelezwa alizopewa na CHADEMA pamoja na mbunge wa jimbo hilo.
Katibu huyo alirudisha kadi ya CHADEMA yenye namba 0406788 mbele ya Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana (UVCCM) wilaya ya Rombo Ndugu Beatrice Shirima, ambae alikuwa akifanya ziara za kushukuru na kuimarisha jumuiya wilayani humo.
Hayu atakuwa ameshindwa kufuata amri za Padri Slaa
Karibu mzalendo wa kweli
Wewe unajua mengi sana kijana......Watu wa jimbo la Rombo hawajawahi kuvumilia wala Rushwa.Ni jambo la Ovyo kwa kijana huyo aliyeshtukiwa akitumika kugawa fedha zilizotolewa na diwani aliyehama CHADEMA kulinda maslahi yake kibiashara na kumtumia kijana huyo kuivuruga CHADEMA.Mkatati vwa CCM jimbo la Rombo unajaribu kuelekeza nguvu ndani ya CHADEMA ili kupata siri na mikakati hiyo.CHADEMA hakuingiliki,ukigundulika tu imekula kwako
Bahati nzuri wananchi wa Rombo wanajua kumuwajibisha mtu kabla hata ya tarataibu za Chama.Rushwa ni mwiko kule.Hata Mramba alitenga bajeti kubwa kwa ajili ya barabara ya Rombo akidhani atawafumba Macho.Walimwambia Mwanetu umennde mko uveeli haki ya mondu lakini enda safo(Kijana wetu umeleta barabara ambayo ilikua haki yetu ya muda mrefu ila nenda tu hatukutaki)
Kweli kabisa,kashindwa kuwaua Mwakyembe na Mwandosya kwa amri ya Slaa. Upumbavu nao ni kipaji wanacho wachache. Wewe umebahatika kuwa nacho.Mkuu usimwage povu kiivyo kimsingi mchizi kashindwa kutekeleza Amri za Padri Slaa za kuua watu
Vipi umeshamaliza kupika chakula cha kumpelekea Lwakatare polisi?Mamaaaa Mingoi upo?
Kumekucha
Vipi gamba,ugaibuni pagumu hadi unatamani kugombea uenyekiti wa serikali za mitaa ili ujikomboe kiuchumi,maana 2015 ubunge ni ndoto za mchana.Kumekucha