Mwingine BAVICHA ajiunga na CCM

Mwingine BAVICHA ajiunga na CCM

Shennz-type; mimi mwananchi wa kawaida nanufaika nini na bavicha kujiunga ccm? Hivi kwa nini ccm mnatudharau raia? Je, ni kweli kwamba hamfahamu mnachotakiwa kutuambia raia? MUNGU AUKUMBUKE UOVU WENU NA AWALIPE SAWASAWA NA WINGI WA UOVU HUO!
 
Sawa nyie wenye akili kubwa ya kushindwa hata kuhoji matumizi ya hela za chama.
Mkuu kwani sisi wanaCCM ni lini tuliweza kuhoji matumizi ya fedha za chama chetu?

Kama unabisha nenda kahoji mchanganuo wa:

1/Pesa zilizotumika katika Uchaguzi mdogo wa Igunga na Arumeru mashariki.

2/Pesa iliyotengwa kuwatumia vijana mamluki kumchafua Dr.Slaa na Chadema.

3/Pesa anayotumika kutengeneza Forgeries Informations dhidi ya viongozi wa Chadema(Eg.Video, Sms, Memo etc)
 
katibu wa baraza la vijana wa chadema (bavicha) wilaya ya rombo, abdul issa amekihama chama hicho na kujiunga na chama cha mapinduzi.(ccm)

hatua hiyo imefikiwa baada ya katibu huyo kudai kuchoshwa na ubabaishaji ndani ya chadema na kikubwa ni ubaguzi uliokithiri na kufitiniana., alilalamikia ahadi zisizotekelezwa alizopewa na chadema pamoja na mbunge wa jimbo hilo.

Katibu huyo alirudisha kadi ya chadema yenye namba 0406788 mbele ya mwenyekiti wa umoja wa vijana (uvccm) wilaya ya rombo ndugu beatrice shirima, ambae alikuwa akifanya ziara za kushukuru na kuimarisha jumuiya wilayani humo.

cdm haikusanyi kodi huko tunajitolea wewe unataka kutunyonya kama maccm nenda zako gamba mkubwa wee
 
Kwenye demokrosia kila mtu ana haki ya kujiunga na kuhama chama.Tunamtakie kile la heri huko alikoenda
 
wanajavi aliyeweka uzi huu ni muongo, hakuna katibu wa bavicha aliyehamia CCM! Aliyehama ni mwanachama wa kawaida tu! CCM wamempachika cheo kama kawaida yao!
 
Mm mwenyekiti wa Bavicha Rombo naomba kukanusha taarifa za kizushi zilizoletwa na anayejiita mwenyekiti wa uvccm Rombo bi Beatrice Shirima ni za uongo,upotoshaji na zisizo na tija.bwana Abdul Issa kutoka Holili alikuwa nimwanachama wa chadema na baraza kwa ujumla ila hajafanikiwa kuwa katibu wa bavicha rombo wala wadhifa wowote kwenye baraza,ila alikuwa nimpinzani wangu kwenye kinyanganyiro chakumpata mwenyekiti Bavicha wilaya.katibu wa Bavicha wilaya ni bwana Anold tokea Tarafa ya Usseri,kata ya Kitirima Kingachi na kijiji cha Lesoroma. Bavicha wilaya inaomba msikubali kudanganywa,kupotoshwa na watu kama hao hatutarudi nyuma kupambana na mafisadi,wapotoshaji na watu wasiyopenda maendeleo
 
Wanafanya haya wakijua wanaudanganya umma kwa nn!mwisho wa siku ni aibu yao hawaoni haya magamba?kwa akili zao wanadhani watanzania wamelala usingizi wa pono hawaoni wala hawasikii eti?!wameaibika sasa.
 
Mm mwenyekiti wa Bavicha Rombo naomba kukanusha taarifa za kizushi zilizoletwa na anayejiita mwenyekiti wa uvccm Rombo bi Beatrice Shirima ni za uongo,upotoshaji na zisizo na tija.bwana Abdul Issa kutoka Holili alikuwa nimwanachama wa chadema na baraza kwa ujumla ila hajafanikiwa kuwa katibu wa bavicha rombo wala wadhifa wowote kwenye baraza,ila alikuwa nimpinzani wangu kwenye kinyanganyiro chakumpata mwenyekiti Bavicha wilaya.katibu wa Bavicha wilaya ni bwana Anold tokea Tarafa ya Usseri,kata ya Kitirima Kingachi na kijiji cha Lesoroma. Bavicha wilaya inaomba msikubali kudanganywa,kupotoshwa na watu kama hao hatutarudi nyuma kupambana na mafisadi,wapotoshaji na watu wasiyopenda maendeleo

Priva,

Precisely my point.On time,swift and accurate.Tusonge mbele!Rombo for Change!
 
Hivi juliana shonza na mtela mwampamba wamefia wapi tena?

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
wanajavi aliyeweka uzi huu ni muongo, hakuna katibu wa bavicha aliyehamia CCM! Aliyehama ni mwanachama wa kawaida tu! CCM wamempachika cheo kama kawaida yao!

Mkuu aliyeandika thread hii ni Nahum Nnauye.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Hivi juliana shonza na mtela mwampamba wamefia wapi tena?

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums

Si unajua magamba waliokwenda kuvaa hayakuruhusu uonakane smart ndio maana hawaonekani sana
 
Back
Top Bottom