GeniusBrain
JF-Expert Member
- Nov 3, 2010
- 4,315
- 309
Msalimu Nnape Mwandosya Nnauye
mkuu vp issue ya Rwakatare imeishia wapi? Nasikia ww ni mmojawapo wa kikosi cha kimafia cha cdm kilicho kuwa kinapanga mkakati huo.
Msalimu Nnape Mwandosya Nnauye
Hayu atakuwa ameshindwa kufuata amri za Padri Slaa
Shosti umefurahiiiiiiiiiiiiiiii!!!!Kumekucha
Hii topic ingepelekwa jukwaa la biashara maana hapa naona imekaa kibiashara zaidi. Nape tumia akili japo kidogo sasa sijui huko CCM mmemuaidi au mmempa Cash kiasi gani! maana sioni siasa hapa wala ujenzi wa Taifa.KATIBU wa Baraza la Vijana wa Chadema (BAVICHA) wilaya ya Rombo, Abdul Issa amekihama chama hicho na kujiunga na Chama Cha Mapinduzi.(CCM)
Hatua hiyo imefikiwa baada ya Katibu huyo kudai kuchoshwa na ubabaishaji ndani ya CHADEMA na kikubwa ni UBAGUZI uliokithiri na kufitiniana., alilalamikia ahadi zisizotekelezwa alizopewa na CHADEMA pamoja na mbunge wa jimbo hilo.
Katibu huyo alirudisha kadi ya CHADEMA yenye namba 0406788 mbele ya Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana (UVCCM) wilaya ya Rombo Ndugu Beatrice Shirima, ambae alikuwa akifanya ziara za kushukuru na kuimarisha jumuiya wilayani humo.
Hayu atakuwa ameshindwa kufuata amri za Padri Slaa
Sawa nyie wenye akili kubwa ya kushindwa hata kuhoji matumizi ya hela za chama.AKILI NDOGO kuongoza AKILI KUBWA.
Ukituliza akili utaona kabisa huyu unayemkaribisha ni tatizo!! Lakini kwa kuwa nia ni kuona angalau mwanachama mmoja wa Chadema anakwenda CCM, unashindwa kuona the writing on the wall!! Anaondoka kwa kutotimiziwa ahadi. Anaondoka kwa hasira na akidhani kwa kwenda CC analipa kisasa fulani. CCM is receiving a desperate mwanachama!! An over-ambitious person who is looking 4 personal gains. Na hiki ndicho kinachotokea CCM (Ref: rushwa ndani ya chaguzi, Presidential appointments (even though lawful n legal), kujivua gamba etc)Na huenda kaona hili ni jema baada ya kuona Shonza na Mwampamba wakipata headlines CCM. Sasa wako wapi??PS.Usinielewe kama Chadema, I am just being objective!! And of course not allowing myself to be carried away!!Tunamkaribisha CCM kwa mikono miwili. CCM ni chama kisichokuwa na ubabaishaji kwa sababu ya kuwa na mgawanyo wa madaraka na utawala wa sheria. Ndani ya CCM kila mtu ana nafasi sawa ya kusikilizwa.Chama Cha Mapinduzi (CCM) hakina mmiliki wake. CHADEMA kina mmiliki wake.Kidumu Chama Cha Mapinduzi.Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
Mkuu usimwage povu kiivyo kimsingi mchizi kashindwa kutekeleza Amri za Padri Slaa za kuua watu
Mbona wewe umebaki kuondoka unajua hadhi itaisha mara 1000 zaidi ya ulivyo sasa mappupet bwana hayataisha mpaka siku ya kiama chadema imefanya your entire family wamebenefit unajidai kudharau nyuma ya kompyuta kwa taarifa yako kabla hujafa ujue wapo watakao ilinda na kuifia chadema kuhama kwa mtu ni hiyari sio mwanzo wala mwisho watu kutoka CCM kwenda chadema au kutoka chadema kwenda CCM mind your stepsVijana wengi wakigundua kuwa chadema ni chama cha kilaghai hukikimbia chama hicho.
Hii topic ingepelekwa jukwaa la biashara maana hapa naona imekaa kibiashara zaidi. Nape tumia akili japo kidogo sasa sijui huko CCM mmemuaidi au mmempa Cash kiasi gani! maana sioni siasa hapa wala ujenzi wa Taifa.
Ingekuwa ni kichekesho kwa Masalia huyo kubaki Chadema huku ikijulikana mpambanaji namba moja dhidi ya wasaliti hao ni Ben Saanane na ametokea wilayani Rombo.Charity must begin at home.
Kumwita dr slaa, padri slaa ni kuchokoza imani za watu kwa sababu hapa tunazungumzia siasa, wakianza kuwaka kuhusu viongozi wenu wa dini mtaanza kulia na mods na kwamba mnaonewa, tujiheshimu jamaniMkuu usimwage povu kiivyo kimsingi mchizi kashindwa kutekeleza Amri za Padri Slaa za kuua watu