Mwigulu umedhalilisha Taaluma ya Ualimu

Mwigulu umedhalilisha Taaluma ya Ualimu

Mwigulu Taaluma ya Ualimu ni Taaluma kama Taaluma zingine,Unaposema kila Mtu mwenye Shahada ana uwezo wa kufundisha unakosea tena sana.Kuna kitu kwenye ualimu kinaitwa Pedagogy of Teaching.

Kufundisha ni Taaluma unayotakiwa usomee,mtu kama injinia asiye jua hata moja kuhusu Preparation of Teaching,Teaching Aids,Leason Plan,Scheme of work atafundisha vipi?,we unafikiri kufundisha ni kujua tu kilichopo kwenye Vitabu?,We mbunge unamasiala sana wewe.

Hivi kumbe hata lecturers, tutorial assistants nao wanasomea kufundisha enhee
 
...mmekazana na pedagogy badala ya msingi wa kufundisha, kujua kwa umakini somo unalolifundisha, hapo ndipo kulipo na tatizo kuliko taaluma ya kufundisha, huwezi ukamtegemea mwalimu failure awatoe wanafunzi wazuri, hapa ndipo palipo na tatizo na wala sio abc za Ualimu......Enzi nasoma nimefundishwa na watu ambao hawajui hizo taaluma za ualimu lakini wapo deep kwenye masomo husika, na believe me, hawa wanasaidia sana huko mitaani kuliko walimu vilaza walioko mashuleni......Kwa lugha rahisi, ni heri mwanafunzi afundishwe mathematics na mtu mwenye uwezo wa A ya mathematics japo hana taaluma ya ualimu kuliko kuwa na Mwalimu mwenye taaluma ya Ualimu lakini mwenye uwezo wa E ya Mathematics....

Huyo unaemuita mwalimu kilaza sio kilaza bali ni mwalimu aliekata tamaa ktk taaluma yake!
kazi alishaacha zamani sana hivi amebaki na ajira tuu!
 
Mimi na fani yangu ninayoifanyia kazi nimemsikia Mwigulu akiongea huo upuuzi wake nikajiuliza sana uwezo wake wa kufikiri. Nilikuwa ofisini nikawaambia watu waliokuwa wakisikiliza huku wakiendelea na kazi zao huyu mtu ----- kweli. Hajui ualimu ni fani na kuna ujuzi ambao lazima uwe nao ili uweze kufundisha.
Hawa ndio incharge wa chama tawala na kama kwa nafasi zao wanaweza kuongea vitu hovyo kiasi hiki ili kufanikisha malengo ya kisiasa hutashangaa kuona majengo yanaporomoka, barabara zinajengwa mwaka mmoja zinabomoka au lami inayoonekana kunyooka lakini ukiendesha gari unakuwa kama unapita kwenye matuta. Bila shaka hawa jamaa hawana mpango ambao watauanzisha kitaalamu ili kuwe na ufanisi, kila mtu anarukia tu kwa kila linalokuja kichwani hata kama ni hovyo.
Hivi ukiwauliza mpango wa shule za kata watakupa? Hakuna. Matokeo yake kila kitu kiko hovyo watoto wanapata sifuri kwa malaki. Uwiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii wanaua taifa letu.
 
Wana jf tunaweka chuki tunapochambua hoja ya mwigulu. Hili wazo ni mhimu sana kwani amesema kuliko kusubiri walimu mpsks wamalize ndio waajiriwe ni bora kuwachukuwa wataalam ambao wapo tu hawana kazi. Lipi bora mwsnsfunzi kujisomea hesabu au kufundishwa na mhandisi. Acheni kuwaza kizamani na chuki ndani

Kweli wewe ni sha mkaa kwani kuna haja gani ya kuwachukua hao aliowasema mwigulu na wakati nusu ya graduates wa ualimu hawana ajira?wazani ualimu ni kama siasa kwamba hakuna haja ya kwenda shule?brain drain think big!
 
unajua kama hujui kitu bora unyamaze bwana mwigulu hajui kuwa katika taaluma ya ualimu kuna mambo mengi.
Na kweli, maana kama unaelezea kitu ambacho hukijui, unawapa watu nafasi ya kujua ni kwa kiasi gani hujui
 
Mwigulu Taaluma ya Ualimu ni Taaluma kama Taaluma zingine,Unaposema kila Mtu mwenye Shahada ana uwezo wa kufundisha unakosea tena sana.Kuna kitu kwenye ualimu kinaitwa Pedagogy of Teaching.

Kufundisha ni Taaluma unayotakiwa usomee,mtu kama injinia asiye jua hata moja kuhusu Preparation of Teaching,Teaching Aids,Leason Plan,Scheme of work atafundisha vipi?,we unafikiri kufundisha ni kujua tu kilichopo kwenye Vitabu?,We mbunge unamasiala sana wewe.

mwigulu kichwa kimejaa hewa yule.

anazidiwa hata na Lusinde Kibajaji (siku hizi)
 
Mwigulu Taaluma ya Ualimu ni Taaluma kama Taaluma zingine,Unaposema kila Mtu mwenye Shahada ana uwezo wa kufundisha unakosea tena sana.Kuna kitu kwenye ualimu kinaitwa Pedagogy of Teaching.

Kufundisha ni Taaluma unayotakiwa usomee,mtu kama injinia asiye jua hata moja kuhusu Preparation of Teaching,Teaching Aids,Leason Plan,Scheme of work atafundisha vipi?,we unafikiri kufundisha ni kujua tu kilichopo kwenye Vitabu?,We mbunge unamasiala sana wewe.
Hii ni sawa kabisa.

Lakini katika mazingira ambayo hakuna walimu , Je ni bora wanafunzi wajisomee wenyewe(say Maths) kulikoni kufundishwa na engineer? Sidhani kama wazo lake ni baya kivile hasa kama amekusudia ni one of the temporary measures huku serikali serikali ikiendelea kuandaa walimu kwa viwango unavyovisema.
 
Kukusaidia Bw Makalla ni kwamba hao anaowataja Mwigulu, wanaweza ku instruct na sio kufundisha. Level ya Primary na sekondari ni total teaching na siyo instructing, hivyo mwanasheria au mhandisi hawawezi kamwe kufundisha. Hapo baba ni mpaka ujue kitu kinaitwa pedagogy of education, philosophy of education, curriculum and education, educational evaluation, standardization of marks, etc
Mimi kabla sijakimbia Marangu TTC hivyo vitu vya(hapo kwenye RED) kustandardize Marks au curriculum sikuvipitia lakini Philosophy siwezi kumsahau Prof Michongwe toka Malawi alivyonifundisha
Hii Hotuba mm nairudia tena USIKU huu TBC nizione hasira za watu kwa Mwigulu ni zipi mpaka wanabishana
  • Lecture
  • Tutor & Tutorior Assist
  • Teacher

images
Leacture ni Mtu anayeweza

250px-Classroom_at_a_seconday_school_in_Pendembu_Sierra_Leone.jpg
Teacher

Naona mambo mengine na nyie muende Google mtaona tofauti zao maana hizi za kusahihisha na kustandardize kiboko
 
Huyo unaemuita mwalimu kilaza sio kilaza bali ni mwalimu aliekata tamaa ktk taaluma yake!kazi alishaacha zamani sana hivi amebaki na ajira tuu!
...Wala sibahatishi, huyo ni kilaza 100%, na sio huyo tu, nakumbuka ata darasani kwangu kuna watu walienda Ualimu mpaka unajiuliza mtu kama huyo, kwa maana ya ukilaza, anawafundisha nini wanafunzi? so hizi zero zinachangiwa pia na level ndogo ya uwezo wa walimu wetu, ualimu siku hizi kama ilivyo kwenye uandishi wa habari makanjanja wamejaa, walimu walio wengi wa sikuhizi hakuna kitu kabisa...
 
Wana jf tunaweka chuki tunapochambua hoja ya mwigulu. Hili wazo ni mhimu sana kwani amesema kuliko kusubiri walimu mpsks wamalize ndio waajiriwe ni bora kuwachukuwa wataalam ambao wapo tu hawana kazi. Lipi bora mwsnsfunzi kujisomea hesabu au kufundishwa na mhandisi. Acheni kuwaza kizamani na chuki ndani

Naona una mapenzi ya kupitiliza sana na Bwana Mchemba....karibu JF
 
Achaneni na huyo kilaza hana jipya mnampandisha sana mkijaza utitiri wa threads zinazomhusu hapa jamvini!!!!!
 
Mimi namlebal kama "kichaa first class", ccm is to late wake to up, maana mwigulu amekuwa chachu ya kuangamiza, watu kama mzinzi ndio wanapewa madaraka hence ccm ni maiti inayotembea.
Shame upon u nchemba, hiyo ni pigo kwa mungu ccm isambaratika milele.
 
Wana jf tunaweka chuki tunapochambua hoja ya mwigulu. Hili wazo ni mhimu sana kwani amesema kuliko kusubiri walimu mpsks wamalize ndio waajiriwe ni bora kuwachukuwa wataalam ambao wapo tu hawana kazi. mbona unamtetea sana mumeo
 
Tusilalamike na mbwa tumlaumu mfuga mbwa,mwigulu ni mbwa na jk ndo mfugaji
 
watu wanaleta siasa hata kwenye vitu ambavyo vipo wazi, mwigulu katapika uozo majitu yanaunga mkono halafu unaita wazalendo hao!!! kaz ipo
 
Hii ni sawa kabisa.

Lakini katika mazingira ambayo hakuna walimu , Je ni bora wanafunzi wajisomee wenyewe(say Maths) kulikoni kufundishwa na engineer? Sidhani kama wazo lake ni baya kivile hasa kama amekusudia ni one of the temporary measures huku serikali serikali ikiendelea kuandaa walimu kwa viwango unavyovisema.

Mkuu naona sasa tumeanza kuongea kinadharia na sio ki-uhalisia (lakini sishangai sababu kila kitu ni politics siku hizi)

Hivi kati ya ma-engineer na waalimu watu gani ni wengi ? (taaluma ipi ina watu wengi ?) mimi binafsi ninajua waalimu zaidi ya 20 wameacha kazi za kufundisha wanafanya kazi bank kama tellers au wametafuta kazi nyingine kutokana na kutafuta maslahi.. (yaani ualimu ni a means to an end)

Sasa unadhani hata kama huyo engineer angeweza kufanya kazi ya ualimu as effective kama huyo mwalimu unadhani ni kipi kinakachomvutia afanye hio kazi ambayo hata mwenye taaluma amekimbia ?, Kumbuka sehemu ambako hakuna waalimu kabisa (its like that for a reason) na mara nyingi no one wants to go there, kulingana na hali duni za kutendea kazi
 
Back
Top Bottom