Burton86jm
JF-Expert Member
- Jul 28, 2011
- 616
- 183
Mnampa umaarufu huyu mtu kumjadili kila leo.
Hivi chuo cha Ma-lecturers kiko wapi vile?
Hivi chuo cha Ma-lecturers kiko wapi vile?
Lecturer ni instructor siyo teacher plse tofautisha.Nadhani tunakuwa wavivu mno wa kujisumbua kujua mambo.
Hivi chuo cha Ma-lecturers kiko wapi vile?
Wana jf tunaweka chuki tunapochambua hoja ya mwigulu. Hili wazo ni mhimu sana kwani amesema kuliko kusubiri walimu mpsks wamalize ndio waajiriwe ni bora kuwachukuwa wataalam ambao wapo tu hawana kazi. Lipi bora mwsnsfunzi kujisomea hesabu au kufundishwa na mhandisi. Acheni kuwaza kizamani na chuki ndani
Mwigulu Taaluma ya Ualimu ni Taaluma kama Taaluma zingine,Unaposema kila Mtu mwenye Shahada ana uwezo wa kufundisha unakosea tena sana.Kuna kitu kwenye ualimu kinaitwa Pedagogy of Teaching.
Kufundisha ni Taaluma unayotakiwa usomee,mtu kama injinia asiye jua hata moja kuhusu Preparation of Teaching,Teaching Aids,Leason Plan,Scheme of work atafundisha vipi?,we unafikiri kufundisha ni kujua tu kilichopo kwenye Vitabu?,We mbunge unamasiala sana wewe.
Elimu inapigwa TIGO na akina Mwigulu wa CCM kila siku, kwa nini isilegee????
Hivi chuo cha Ma-lecturers kiko wapi vile?
Hivi chuo cha Ma-lecturers kiko wapi vile?
kwahiyo hao walimu waliofundishwa ualimu ndo wanaweza kuboresha elimu,eeh?.Hivi tatizo ni shortage ya waalimu au hata wale waliopo hawapewi maslahi yao ?
Kuna kitu kinaitwa effective na efficient.., hata kama hao ma-injinia, ma-lawyer au hata madaktari hata kama wanaweza kufundisha kuliko waalimu wenyewe.., Je itakuwa efficient kwa wao kufanya kazi ambao hawakuisomea ?, Na je kuwepo kwa vyuo vya ualimu kuna manufaa gani kama yoyote yule mwenye shahada anaweza akatoa elimu ?
In short huyu jamaa leo ameongea vapour...., waste of space....
Hivi chuo cha Ma-lecturers kiko wapi vile?
Hivi chuo cha Ma-lecturers kiko wapi vile?
Lecturer ni instructor siyo teacher plse tofautisha.Nadhani tunakuwa wavivu mno wa kujisumbua kujua mambo.
We ni zaidi ya boya au kilaza, kwani lecturer ni mwalimu nae? Check na kamusi mzee. Ccm imekuleza ww na bila shaka ww ni product ya shule za kata
we mburula kweli. unafikiri mwigulu ameongelea walimu wa primary? hao wenye shahada watashindwaje kuandaa lesson plan na scheme of work?
We ni zaidi ya boya au kilaza, kwani lecturer ni mwalimu nae? Check na kamusi mzee. Ccm imekulemaza sana ww na bila shaka ww ni product ya shule za kata, vitu vingine wapinzani wanaongea ukweli mtupu. Jamani huyu jamaa atasababisha kama yale ya arusha wale wamasai waliotaka kumkabidhi kadi za ccm
Teaching and lecturing are different things.
Naamini jibu utalipata ukijua tofauti ya lecture(lecturer) na teach(teacher)
mkuu lecturer sio mwalimu.
na wanatofautiana sana.
mtu yoyote anweza akatoa lecture lakini si kila mtu anaweza kufundisha.
ina maana hujatambua kwa nini mwingine akaitwa teacher na mwingine lecture?
kwa jina lolote mtakalo waita, mtu yeyote afundishaye katika ngazi yeyote ile ya elimu lazima awe na content competence na pedagogical competence!!huwezi kuvipata vyote hivi bila kupitia chuo cha ualimu!hata hao wanaofundisha hapo mlimani na vyuo vingine wengi wao wana competence 1 (content) na kupungukiwa pedagogical competence!tunakubali wafundishe vijana wetu kwa sababu ya upungufu wa watu wenye taaluma ya ualimu!!ndo maana katika vyuo vingine wameanzisha kozi inaitwa compulsory higher education training kwa walimu wao wote awe profesa au TA!kwahiyo hao walimu waliofundishwa ualimu ndo wanaweza kuboresha elimu,eeh?.
we ni zaidi ya boya au kilaza, kwani lecturer ni mwalimu nae? Check na kamusi mzee. Ccm imekuleza ww na bila shaka ww ni product ya shule za kata