Mwigulu Taaluma ya Ualimu ni Taaluma kama Taaluma zingine,Unaposema kila Mtu mwenye Shahada ana uwezo wa kufundisha unakosea tena sana.Kuna kitu kwenye ualimu kinaitwa Pedagogy of Teaching.
Kufundisha ni Taaluma unayotakiwa usomee,mtu kama injinia asiye jua hata moja kuhusu Preparation of Teaching,Teaching Aids,Leason Plan,Scheme of work atafundisha vipi?,we unafikiri kufundisha ni kujua tu kilichopo kwenye Vitabu?,We mbunge unamasiala sana wewe.
Mwigulu Taaluma ya Ualimu ni Taaluma kama Taaluma zingine,Unaposema kila Mtu mwenye Shahada ana uwezo wa kufundisha unakosea tena sana.Kuna kitu kwenye ualimu kinaitwa Pedagogy of Teaching.
Kufundisha ni Taaluma unayotakiwa usomee,mtu kama injinia asiye jua hata moja kuhusu Preparation of Teaching,Teaching Aids,Leason Plan,Scheme of work atafundisha vipi?,we unafikiri kufundisha ni kujua tu kilichopo kwenye Vitabu?,We mbunge unamasiala sana wewe.
Wana jf tunaweka chuki tunapochambua hoja ya mwigulu. Hili wazo ni mhimu sana kwani amesema kuliko kusubiri walimu mpsks wamalize ndio waajiriwe ni bora kuwachukuwa wataalam ambao wapo tu hawana kazi. Lipi bora mwsnsfunzi kujisomea hesabu au kufundishwa na mhandisi. Acheni kuwaza kizamani na chuki ndani
...tatizo tuna uhaba wa walimu, na tuna uhaba mkubwa zaidi wa walimu wanaoyamudu masomo wanayoyafundisha, asilimia kubwa ya walimu tulionao ni hawayajui vyema masomo wanayoyafundisha, na tatizo hili limesababishwa na kuwepo kwa maslahi duni kwa walimu, leo hii mtu aliyefaulu vizuri haendi ualimu, ualimu wanaenda wale walioko karibu na zero, sasa mtu huyo aliyeshindwa mwenyewe kuyamudu masomo yake atawafundishaje wengine?......Sikuhizi mwanafunzi akipata four yake utasikia wana jamii wakimwambia, usijali wewe nenda ualimu utapata nafasi, hapa ndipo taaluma ya ualimu ilipofikia, mwalimu kulijua somo analolifundisha ni muhimu zaidi kuliko hizo work plan anazofundishwa kwenye vyuo vya ualimu...Hivi tatizo ni shortage ya waalimu au hata wale waliopo hawapewi maslahi yao ?Kuna kitu kinaitwa effective na efficient.., hata kama hao ma-injinia, ma-lawyer au hata madaktari hata kama wanaweza kufundisha kuliko waalimu wenyewe.., Je itakuwa efficient kwa wao kufanya kazi ambao hawakuisomea ?, Na je kuwepo kwa vyuo vya ualimu kuna manufaa gani kama yoyote yule mwenye shahada anaweza akatoa elimu ?In short huyu jamaa leo ameongea vapour...., waste of space....
we mburula kweli. unafikiri mwigulu ameongelea walimu wa primary? hao wenye shahada watashindwaje kuandaa lesson plan na scheme of work?
...Heshima kwako Mkuu, pamoja na chuki kwa Mwigulu lakini tunapaswa tuwe serious kwenye elimu, nitakuwa mtu wa kwanza kuunga mkono Engineer akafundishe form 5 na Six , PCM kuliko kuwa na Mwalimu mwenye taaluma ya Ualimu mwrnye uwezo wa alama za EEE kwenye masomo hayo......Nilikwenda shule moja, eti mwalimu wa hesabu ata hajui hesabu za hasi na chanya, hili suala mpaka linakera, Mwalimu tulionao wengi na failure, so ni heri tuwe na Walimu wasio na taaluma ya Ualimu wanaoyamudu masomo wanayofundisha kuliko kuwa na Mwalimu aliyesomea Ualimu lakini yupo shallow kwenye masomo anayofundisha....Utakuwa umewasahau waalimu wa vodafasta wewe. Bora engineer ambaye amefuzu mafunzo ya taaluma yake kuliko form "six failures" waliochukuliwa na serikali tena na waziri wa elimu ambaye kitaaluma ni mwalimu (mwalimu Magreth Sitta) na kupigwa crash program ya miezi miwili kisha wakakabidhiwa majukumu ya kufundisha.
...tatizo tuna uhaba wa walimu, na tuna uhaba mkubwa zaidi wa walimu wanaoyamudu masomo wanayoyafundisha, asilimia kubwa ya walimu tulionao ni hawayajui vyema masomo wanayoyafundisha, na tatizo hili limesababishwa na kuwepo kwa maslahi duni kwa walimu, leo hii mtu aliyefaulu vizuri haendi ualimu, ualimu wanaenda wale walioko karibu na zero, sasa mtu huyo aliyeshindwa mwenyewe kuyamudu masomo yake atawafundishaje wengine?......Sikuhizi mwanafunzi akipata four yake utasikia wana jamii wakimwambia, usijali wewe nenda ualimu utapata nafasi, hapa ndipo taaluma ya ualimu ilipofikia, mwalimu kulijua somo analolifundisha ni muhimu zaidi kuliko hizo work plan anazofundishwa kwenye vyuo vya ualimu...
...hiyo psychology na philosophy itasaidia nini kama mwalimu mwenyewe ni kilaza? (hayamudu masomo anayofundisha)? nadhani ili tupate picha vizuri ya hali ya ubora wa walimu wetu ni vyema NECTA ingetoa mtihani wa Form IV na Form VI kwa walimu wetu kwanza kama sehemu ya kutafuta chanzo za kushuka kwa ufaulu, maana nina hofu tunaweza tukapata zero huko pia zaidi ya 50%...mkubwa si kila mtu aliyekaa vidato sita na akapata shahada anaweza fundisha kuna vitu vingi mwalimu anabidi ajue mfano psychology na philosophy ilikuweza msaidia mwanafunzi kufikia malengo yake na vitu vingi tu vinahusiana na ufundishaji ndiyo maana kuna tofauti kubwa sana ya profesional teacher ma mtu baki asiye na mafunzo ya ualimu hata kama anajua vipi kuna vitu anamis na ndiyo matatizo ya watoto kufeli kwani wanafundishwa na watu ilimladi wanajua somo husika si kumuandaa mtoto kipsychology aweze mudu masomo.
Hivi huoni tifauti ya Mwadhiri na Mwalimu ? Teacher na Lecture/ tutor ?Amesema hivyo kwa kuwa vyuo vyetu vikuu ukiwa na GPA kubwa unaweza bakizwa kuwa mhadhiri. Ila ualimu ni taaluma hasa kwenye ngazi za shule za awali hadi sekondari
Hata hawa ni walimuHivi huoni tifauti ya Mwadhiri na Mwalimu ? Teacher na Lecture/ tutor ?
mzeee mwezangu wa ccm
umechemka kwa hilo maana kila mwenye degereee ni mwalimu? Ndio maana
zero zinaongezeka tu kila kukicha
we mburula kweli. unafikiri mwigulu ameongelea walimu wa primary? hao wenye shahada watashindwaje kuandaa lesson plan na scheme of work?
Hivi chuo cha Ma-lecturers kiko wapi vile?