Mwigulu: Ole wao CHADEMA, Tutaubomoa UKUTA

Mwigulu: Ole wao CHADEMA, Tutaubomoa UKUTA

Umeridhiiika na hiyo 300K?

Ndo tatizo la kuwa "trained" ... Ukibahatika kuja kuwa "educated" utajidharau.
 
Waambie familia yako..mjini ulikuja nami!?
 
Habari wana JF poleni na majukumu ya kujenga nchi.
Mimi kama mtumishi mtiifu wa nchi yangu, daima nitakuwa mbele katika kulinda amani tuliyojijengea katika nchi hii.

Nikiangalia kimataifa kuna baadhi ya nchi wanatamani kuishi kwa amani kama sisi, Watanzania tuna uhuru mkubwa sana wa kwenda na kufanya chochote kwa muda wowote ila tu usivunje sheria.

Baadhi ya nchi wana kikomo cha muda na kila saa hasa nyakati za jioni wakipigiana simu kujuliana hali kama wako salama na kuhimizana kurudi nyumbani mapema.

Lakini amani ikishapotea kuirudisha tena ni ngumu sana kwani hutoweka pamoja na miundo mbinu ya miji na kusababisha hasara kubwa ya taifa badala ya kuongeza uchumi wa nchi pesa itaanza kukarabati miundo mbinu na kununua siraha za kurudisha amani ya nchi.

Hivyo basi baada ya kuiva kimazoezi ipasavyo mimi kama mtanzania mwenye uchungu na nchi yangu kwa kutetea amani nitakuwa mbele daima kwa yotote ataevunja sharia ya katazo la maandamano ya UKUTA hapo September mosi na kukabiriana na waandamaniji kwa 100% na adhabu yangu nitakayotoa ni kupiga magongo ya ugoko kama atatembea tena ni baada ya mwaka mmoja na nusu.

Sitaogopa hata ni jirani yangu nitamkabiri kwa 100% hata kama atanitambua (nitavaa kofia ngumu)
sipendi kufanya hivyo ila sitakubari amani ipotee kwa maslahi ya watu wachache kwani rais hupatikana kutoka box la kura tu.

Nawashauri wapenda amani tusijihusishe na maandamano hayo.
ASANTENI

View attachment 385767
Ahsante! Adabisha siku hiyo baba. Ila mtatumia virungu ulivyotupostia picha yake,mbona vya kizamani sana? Ukipandisha mori wa "kujenga taifa" Nikuhakikishie,hivyo ukimzabua nacho mtu hupukutika kama ubuyu. Labda uwe navyo vingine vyaakiba. Ubebajisasa!
Kwanini mstumie vile vyeusi vilivyoboreshwa toka "South"? Vya plastiki vile, unaadhibia bila kukatika. Vilivile kwa sisi wanamazingira vinafaida ya kuhifadhi mazingira ili mipingo isikatwe ovyo. Pigia vile mwanangu,hata upandisheje mori. Hakiwezi kukukatikia mkononi na anayekong'ontwa atafurahi na kukupa heshima. Usiwape ushauri wowote ule hao mzee, ni wabishi,wakikaririshwa kama kasuku, fikra na mahaba ya mioyo yao huhamishia kwa mkaririshaji. Wewe wengine unawatambua kabisa sura zao, baadhi walikuwa na nyadhifa kubwakubwa, hao wakiingia anga zako anza nao kudhalilisha hao, chuchumalisha chini,piga kipigo cha mbwa mwizi.Itakusaidia kuogopesha "vidagaa" na kufanya usitumie nguvu nyingi na kuokoa muda wa kumaliza "kibarua" chako. Sikio la kufa ushasikia likapona, kwa dawa gani? Eeh! Kama hawasikii "wamekomalia" sisi tusemeje?
 
Iwe mkono kwa mkono sio unakuja na makombora na virungu
Tukutane opposite na kambi yetu kuna bar hapo uliza mhudumu anaitwa Aggy mwambie Po amesema ninywe nitakuja kulipa mwenyewe, nitaacha maagizo
 
mkuu utakufa liini?maana faida yako kama le mutuz hapa nchini.hayo ni matete tuu mbele ya haki
 
Ukonga kubwa taja eneo linaloeleweka uone kama watu hawajakuharibu kabla hata hujaonana naye.
Ukifika ni PM uje na Tshirt ya UKUTA uwe umevaa ili nikutambue kurahisi
 
Kaka unahuruma sana yaani kutoka kichwani kooote umekosa sehem ya kupasua unashuka magotini??Magotini ni kwa wanachuo bhana hawa wengine unakamua juu ili nyekundu iruke kama maji kwenye bomba.Hahaha hiyo cku nataman wangekuja kutukodisha na sisi maana dah mamwera wanafaidi sana aisee.
 
Back
Top Bottom