ZING SOKONI
JF-Expert Member
- Aug 1, 2014
- 19,512
- 57,115
Utaona mwenyewe mkuu,hilo halina shaka kabisa.Sema kweli.!?
Utaona mwenyewe mkuu,hilo halina shaka kabisa.Sema kweli.!?
Povu jiiiiingiiiiii,haya shika kitambaaa jifute mdomo kwanzaAhsante! Adabisha siku hiyo baba. Ila mtatumia virungu ulivyotupostia picha yake,mbona vya kizamani sana? Ukipandisha mori wa "kujenga taifa" Nikuhakikishie,hivyo ukimzabua nacho mtu hupukutika kama ubuyu. Labda uwe navyo vingine vyaakiba. Ubebajisasa!
Kwanini mstumie vile vyeusi vilivyoboreshwa toka "South"? Vya plastiki vile, unaadhibia bila kukatika. Vilivile kwa sisi wanamazingira vinafaida ya kuhifadhi mazingira ili mipingo isikatwe ovyo. Pigia vile mwanangu,hata upandisheje mori. Hakiwezi kukukatikia mkononi na anayekong'ontwa atafurahi na kukupa heshima. Usiwape ushauri wowote ule hao mzee, ni wabishi,wakikaririshwa kama kasuku, fikra na mahaba ya mioyo yao huhamishia kwa mkaririshaji. Wewe wengine unawatambua kabisa sura zao, baadhi walikuwa na nyadhifa kubwakubwa, hao wakiingia anga zako anza nao kudhalilisha hao, chuchumalisha chini,piga kipigo cha mbwa mwizi.Itakusaidia kuogopesha "vidagaa" na kufanya usitumie nguvu nyingi na kuokoa muda wa kumaliza "kibarua" chako. Sikio la kufa ushasikia likapona, kwa dawa gani? Eeh! Kama hawasikii "wamekomalia" sisi tusemeje?
Endelea kutumika, wenzako wanaishi upepo unakovuma wewe unaishi kwenye mabati.Tulia nyumbani na familia yako
Kuni eeeeh!?Unatisha watu na hizo kuni za mama ntilie?
Iron boy katika ubora wake. Wakati golden boy anatumia diplomatic way ya kutatua migogoro baina ya pande mbili zinazokinzana wewe unawaza kutumia guvu zako. Hizo guvu peleka shamba ukalime tukuze uchumi wetuHabari wana JF poleni na majukumu ya kujenga nchi.
Mimi kama mtumishi mtiifu wa nchi yangu, daima nitakuwa mbele katika kulinda amani tuliyojijengea katika nchi hii.
Nikiangalia kimataifa kuna baadhi ya nchi wanatamani kuishi kwa amani kama sisi, Watanzania tuna uhuru mkubwa sana wa kwenda na kufanya chochote kwa muda wowote ila tu usivunje sheria.
Baadhi ya nchi wana kikomo cha muda na kila saa hasa nyakati za jioni wakipigiana simu kujuliana hali kama wako salama na kuhimizana kurudi nyumbani mapema.
Lakini amani ikishapotea kuirudisha tena ni ngumu sana kwani hutoweka pamoja na miundo mbinu ya miji na kusababisha hasara kubwa ya taifa badala ya kuongeza uchumi wa nchi pesa itaanza kukarabati miundo mbinu na kununua siraha za kurudisha amani ya nchi.
Hivyo basi baada ya kuiva kimazoezi ipasavyo mimi kama mtanzania mwenye uchungu na nchi yangu kwa kutetea amani nitakuwa mbele daima kwa yotote ataevunja sharia ya katazo la maandamano ya UKUTA hapo September mosi na kukabiriana na waandamaniji kwa 100% na adhabu yangu nitakayotoa ni kupiga magongo ya ugoko kama atatembea tena ni baada ya mwaka mmoja na nusu.
Sitaogopa hata ni jirani yangu nitamkabiri kwa 100% hata kama atanitambua (nitavaa kofia ngumu)
sipendi kufanya hivyo ila sitakubari amani ipotee kwa maslahi ya watu wachache kwani rais hupatikana kutoka box la kura tu.
Nawashauri wapenda amani tusijihusishe na maandamano hayo.
ASANTENI
View attachment 385767
wanajiamini as if wao ndio wanajua kipiga kuliko wengine...kuna wataaalam wa kupiga wapo nje hasa waliotolewa polisi kwa vyeti fake..mtadeal nao tuMkuu kuwa makini mziki ucje ukakugeukia
Ajenge Wapi huyo kwanza analala nyumba iko kama hotport juu bati chini bati ndio maana ana roho mbaya sanaa hata shetami anamshangaaStress za mishahara ya laki mbili ni mbaya sana. Kwanza umejenga?
😀😀😀😀😀😀😀😀Ajenge Wapi huyo kwanza analala nyumba iko kama hotport juu bati chini bati ndio maana ana roho mbaya sanaa hata shetami anamshangaa
Akipewa laki mbili, akapiga na rushwa buku tano ya kiwi... Amemaliza, jioni anarudi kulala kotazndio maana yanapelekwa kama makondoo!
Tanzania kuna amani.??Habari wana JF poleni na majukumu ya kujenga nchi.
Mimi kama mtumishi mtiifu wa nchi yangu, daima nitakuwa mbele katika kulinda amani tuliyojijengea katika nchi hii.
Nikiangalia kimataifa kuna baadhi ya nchi wanatamani kuishi kwa amani kama sisi, Watanzania tuna uhuru mkubwa sana wa kwenda na kufanya chochote kwa muda wowote ila tu usivunje sheria.
Baadhi ya nchi wana kikomo cha muda na kila saa hasa nyakati za jioni wakipigiana simu kujuliana hali kama wako salama na kuhimizana kurudi nyumbani mapema.
Lakini amani ikishapotea kuirudisha tena ni ngumu sana kwani hutoweka pamoja na miundo mbinu ya miji na kusababisha hasara kubwa ya taifa badala ya kuongeza uchumi wa nchi pesa itaanza kukarabati miundo mbinu na kununua siraha za kurudisha amani ya nchi.
Hivyo basi baada ya kuiva kimazoezi ipasavyo mimi kama mtanzania mwenye uchungu na nchi yangu kwa kutetea amani nitakuwa mbele daima kwa yotote ataevunja sharia ya katazo la maandamano ya UKUTA hapo September mosi na kukabiriana na waandamaniji kwa 100% na adhabu yangu nitakayotoa ni kupiga magongo ya ugoko kama atatembea tena ni baada ya mwaka mmoja na nusu.
Sitaogopa hata ni jirani yangu nitamkabiri kwa 100% hata kama atanitambua (nitavaa kofia ngumu)
sipendi kufanya hivyo ila sitakubari amani ipotee kwa maslahi ya watu wachache kwani rais hupatikana kutoka box la kura tu.
Nawashauri wapenda amani tusijihusishe na maandamano hayo.
ASANTENI
View attachment 385767
Hahaaaaaa haaaaaaaa mwehAjenge??? Wakati kotaz zipo, anakaa humo kwenye kijumba kama kiberiti yeye, mke, watoto, bata, kuku wote ndani
Poa mkuu,,,ulichoandika kina akisi ulichonacho kichwani kwako,,ndo mana ulipata div5.....we una banda la kuku au msitu wa vuzi unafuga chawa?
...afu we si kiziwi?..,Sept 1 andamana..utasikia vizuri hadi sauti ya mchungaji aliye nyikani!
....kwi kwi kwi kwi....ndo mana sikujisumbua kuungaunga elimu kwa ki-certificate afu nitafute kujiunga open university,blalfuu!Poa mkuu,,,ulichoandika kina akisi ulichonacho kichwani kwako,,ndo mana ulipata div5