Mwigulu: Ole wao CHADEMA, Tutaubomoa UKUTA

Ha ha ha huoni huo ushahidi umempandisha cheo? Kwani mbinguni ni lazima kuwe kule anakokaa jehova tu? Yuko na yule mungu wa 666 nako kwake mbinguni
 
Watanzania hawako tayari kupatanishwa mpaka watiane vilema kwanza, kwakua wanajiona kama vile yao wanayaweza, wanajiona ni wanadplomasia kwaakua majirani zao wanawaita kuwapatanisha.
 
Habari wana JF poleni na majukumu ya kujenga nchi.
Mimi kama mtumishi mtiifu wa nchi yangu, daima nitakuwa mbele katika kulinda amani tuliyojijengea katika nchi hii.

Nikiangalia kimataifa kuna baadhi ya nchi wanatamani kuishi kwa amani kama sisi, Watanzania tuna uhuru mkubwa sana wa kwenda na kufanya chochote kwa muda wowote ila tu usivunje sheria.

Baadhi ya nchi wana kikomo cha muda na kila saa hasa nyakati za jioni wakipigiana simu kujuliana hali kama wako salama na kuhimizana kurudi nyumbani mapema.

Lakini amani ikishapotea kuirudisha tena ni ngumu sana kwani hutoweka pamoja na miundo mbinu ya miji na kusababisha hasara kubwa ya taifa badala ya kuongeza uchumi wa nchi pesa itaanza kukarabati miundo mbinu na kununua siraha za kurudisha amani ya nchi.

Hivyo basi baada ya kuiva kimazoezi ipasavyo mimi kama mtanzania mwenye uchungu na nchi yangu kwa kutetea amani nitakuwa mbele daima kwa yotote ataevunja sharia ya katazo la maandamano ya UKUTA hapo September mosi na kukabiriana na waandamaniji kwa 100% na adhabu yangu nitakayotoa ni kupiga magongo ya ugoko kama atatembea tena ni baada ya mwaka mmoja na nusu.

Sitaogopa hata ni jirani yangu nitamkabiri kwa 100% hata kama atanitambua (nitavaa kofia ngumu)
sipendi kufanya hivyo ila sitakubari amani ipotee kwa maslahi ya watu wachache kwani rais hupatikana kutoka box la kura tu.

Nawashauri wapenda amani tusijihusishe na maandamano hayo.
ASANTENI

1471868342689.jpg
 
Mungu akuchukue tu, maana matamanio ya moyo wako ni ya kishetani kabisa kabisa

Habari wana JF poleni na majukumu ya kujenga nchi.
Mimi kama mtumishi mtiifu wa nchi yangu, daima nitakuwa mbele katika kulinda amani tuliyojijengea katika nchi hii,
Nikiangalia kimataifa kuna baadhi ya nchi wanatamani kuishi kwa amani kama sisi, Watanzania tuna uhuru mkubwa sana wa kwenda na kufanya chochote kwa muda wowote ila tu usivunje sheria
Baadhi ya nchi wana kikomo cha muda na kila saa hasa nyakati za jioni wakipigiana simu kujuliana hali kama wako salama na kuhimizana kurudi nyumbani mapema.
Lakini amani ikishapotea kuirudisha tena ni ngumu sana kwani hutoweka pamoja na miundo mbinu ya miji na kusababisha hasara kubwa ya taifa badala ya kuongeza uchumi wa nchi pesa itaanza kukarabati miundo mbinu na kununua siraha za kurudisha amani ya nchi.
Hivyo basi baada ya kuiva kimazoezi ipasavyo mimi kama mtanzania mwenye uchungu na nchi yangu kwa kutetea amani nitakuwa mbele daima kwa yotote ataevunja sharia ya katazo la maandamano ya UKUTA hapo September mosi na kukabiriana na waandamaniji kwa 100% na adhabu yangu nitakayotoa ni kupiga magongo ya ugoko kama atatembea tena ni baada ya mwaka mmoja na nusu.
Sitaogopa hata ni jirani yangu nitamkabiri kwa 100% hata kama atanitambua (nitavaa kofia ngumu)
sipendi kufanya hivyo ila sitakubari amani ipotee kwa maslahi ya watu wachache kwani rais hupatikana kutoka box la kura tu.
Nawashauri wapenda amani tusijihusishe na maandamano hayo.
ASANTENIView attachment 385767
 
Back
Top Bottom