Mwigulu: Ole wao CHADEMA, Tutaubomoa UKUTA

Mwigulu: Ole wao CHADEMA, Tutaubomoa UKUTA

.....we una banda la kuku au msitu wa vuzi unafuga chawa?
...afu we si kiziwi?..,Sept 1 andamana..utasikia vizuri hadi sauti ya mchungaji aliye nyikani!
[emoji2] [emoji2] [emoji2] mwambie polisi hawahongagi hovyo hovyo.kama kakopwa ni utaratibu wa kiofisi kabisa hata ocd anaujua.

Polisi bana akili zenu[emoji28] [emoji28]
 
....kwi kwi kwi kwi....ndo mana sikujisumbua kuungaunga elimu kwa ki-certificate afu nitafute kujiunga open university,blalfuu!
..mashauzi muachie Isha....id fake isikuzuzue!..#ULIPO_TUPO!
Teh...wallah ungekua unaniona ningekua wa kwanza kupata virungu,lakin ndo wapiiii....sindano imekuchoma poleee
 
Na sisi tukianza na nyumba yako je? ,itakuwaje baba ako na mama ako tunakaa mtaa mmoia kamchukue ukae nae line police
 
Habari wana JF poleni na majukumu ya kujenga nchi.
Mimi kama mtumishi mtiifu wa nchi yangu, daima nitakuwa mbele katika kulinda amani tuliyojijengea katika nchi hii.

Nikiangalia kimataifa kuna baadhi ya nchi wanatamani kuishi kwa amani kama sisi, Watanzania tuna uhuru mkubwa sana wa kwenda na kufanya chochote kwa muda wowote ila tu usivunje sheria.

Baadhi ya nchi wana kikomo cha muda na kila saa hasa nyakati za jioni wakipigiana simu kujuliana hali kama wako salama na kuhimizana kurudi nyumbani mapema.

Lakini amani ikishapotea kuirudisha tena ni ngumu sana kwani hutoweka pamoja na miundo mbinu ya miji na kusababisha hasara kubwa ya taifa badala ya kuongeza uchumi wa nchi pesa itaanza kukarabati miundo mbinu na kununua siraha za kurudisha amani ya nchi.

Hivyo basi baada ya kuiva kimazoezi ipasavyo mimi kama mtanzania mwenye uchungu na nchi yangu kwa kutetea amani nitakuwa mbele daima kwa yotote ataevunja sharia ya katazo la maandamano ya UKUTA hapo September mosi na kukabiriana na waandamaniji kwa 100% na adhabu yangu nitakayotoa ni kupiga magongo ya ugoko kama atatembea tena ni baada ya mwaka mmoja na nusu.

Sitaogopa hata ni jirani yangu nitamkabiri kwa 100% hata kama atanitambua (nitavaa kofia ngumu)
sipendi kufanya hivyo ila sitakubari amani ipotee kwa maslahi ya watu wachache kwani rais hupatikana kutoka box la kura tu.

Nawashauri wapenda amani tusijihusishe na maandamano hayo.
ASANTENI

View attachment 385767
UKUTA hawatafanya fujo....tatizo mnaogopa sana sana wao wanaandamana na kusambaza meseji zao.....kwa sababu ni maandamano ya amani kwanini muogope wenyewe wameomba watu wasifanye vurugu
polisi waje kwa wingi ila wasipige watu bila kosa maana ni mkutano wa hadhara tu
 
[emoji2] [emi2] [emoji2] mwambie polisi hawahongagi hovyo hovyo.kama kakopwa ni utaratibu wa kiofisi kabisa hata ocd anaujua.

Polisi bana akili zenu[emoji28] [emoji28]
Yakuhonga mtoe wapi ikiwa ya kunywea bia mnakosa?viroba na banana ndo saiz yenu,
 
Ili uwe huru lazima ushinde hofu ya mauti,mwanadamu yoyote asiyeweza kushinda hofu ya mauti ni mfungwa bado.
 
Ccp ulienda kusomea degree ya ukaka p****.zero brain ww
...kho kho kho..mi sina habari na degree!
...we unaeitamani na ki-certificate chako hadi uipate degree lazima ufumuliwe marinda hayo!..kichwa nazi wahed!
 
...kho kho kho..mi sina habari na degree!
...we unaeitamani na ki-certificate chako hadi uipate degree lazima ufumuliwe marinda hayo!..kichwa nazi wahed!
Nimekupuuza mana unachowaza ni matusi...
 
Mwigulu
Askari wako wanauawa na majambazi,achana na mambo yasiyo wasaidia watz ya maandamano
 
"Wengine wanafikirikibiriti hiki ni cha njiti hiki ni cha gesi hakitikiswi" makofi na vicheko kwa wingi. Hiyo gesi ikiwaka kweli kuna atakae salimika?
 
Mweshimiwa waziri jana umeshuhudia watu wanne wakiwa na pikipiki wameuwa askari wanne nwaliokuwa wamejazana kwenye gari na kila askari wa benki huwa na silaha na wakaondoka na wamepora na silaha kwa hiyo usizani ni jambo la kitoto wananchi wakiamua hakuna atakayekuwa mshindi
 
Hakuna kitu kibaya duniani, kama kumdhulumu mtu haki yake sababu ya cheo au mabavu yako, kila jambo lina mwisho wake
 
Kwa hiyo kazi ya mwigulu ni kuvunja raia miguu.
Taifa la viongozi wa ajabu!!
 
Back
Top Bottom