Mwigulu: Ole wao CHADEMA, Tutaubomoa UKUTA

Mwigulu: Ole wao CHADEMA, Tutaubomoa UKUTA

Pagan Amum

JF-Expert Member
Joined
Aug 28, 2015
Posts
1,930
Reaction score
4,409
Jamani naomba niwashauri tena wana~CHADEMA. Achaneni na UKUTA... Mtavunjwa miguu bure... Haya sasa Rais alishatoa onyo, na sasa waziri wa mambo ya ndani katoa onyo tena...

Mytake: Viongozi wa CHADEMA tarehe moja mtangulize watoto wenu na ndugu zetu, sio kutanguliza watoto wa masikini.

1471494283562.jpg
 
Nyinyi mnaosema viongozi wa Chadema watangulize familia zao mbele wakati wa maandamano. Mbona hamuwaambii na hao wanaotoa amri kuwa maandamo yasifanyike kwanini na wao msiwaambie waende na familia zao ktk kuzuia maandamano hayo?
 
Tilishakuzoea na tunakukumbusha bado tunakumbuka damu uliyomwaga SOWETO ARUSHA na hizo damu zitakutafuna tu ni muda tu.
Rais wa singida.


swissme
 

Attachments

  • images-3.jpeg
    images-3.jpeg
    8.4 KB · Views: 89
  • images-2.jpeg
    images-2.jpeg
    8.6 KB · Views: 89
CDM inamzuia vipi Mwigulu kufanya kazi zake au mzuka ??!! Tangu lini harakati za CDM zimewahi kuleta athari hapa nchini ?!

Kwangu mimi naona uwaziri wamepewa WAKEREKETWA (mwigulu & nape) wasiotaka kuona vyama vingine vikipiga hatua
Unasema uwaziri tu mbona ngazi zote isipokuwa kwenye zile proffesional post tu amekosa wana CCM mana kule hakuna ukada ni uwezo
 
Nakunbuka damu iliyomwajika Soweto arusha.Hii damu haijamwajika bure itamlilia mpaka kwa Mwenyenzi Mungu.Kisa cha Kaini kumuua nduguye Habili.
EL ameshawapa ushauri wa kiutu uzima, achaneni na siasa za uanaharakati, ingieni kwenye siasa za kiutu uzima. Hizo vurugu zenu wala haziwezi kuwanyima watu usingizi.
Mnapoambiwa tafuteni mwenyekiti mpya mwenye mawazo na maono mapya, siku zote kinachosemwa sio tusi na uhalisia wa mambo ndani ya CDM.
 
Msije sema hamkuambiwa. BAVICHA na kelele zao za kwenda Dodoma mwisho wa siku walitia akili. Subirini ninyi sasa. Msipotia akili "Mtashughulikiwa". Maana hakuna jinsi.
 
Back
Top Bottom