Sema wewe ulipo nitakufuata, tena kukumbusha tu nimeiva kuliko wewe unavyoweza kuzania, UKUTA upo palepale hakuna anaweza kuzuia, Yer 15:20, mimi nitakua mbele ya wote T-shirt nyekundu maandishi UKUTA tukutana sep 1, ache porojo kula jarambaNipe location na nguo utakayovaa ili nikuchomoe peke yako hata kwenye kundi la watu 100.
Mimi nitakuwepo soko matola mbeya njoo uone kama sijakutoa utifi, ugwe aseeeMkuu kama unaona utani nipe location utakuwa wapi ikibidi uniambie utavaa vipi.
Huwezi kuwa na huruma na watu wanaojitakia wenyeweNafikiri kama kweli wewe ni mtanzania mpenda amani.ungekuwa na huruma kwa watanzania watakao umizwa na watu kama wewe.usingejisifu kupiga maana hiyo si amani.Amani hutafutwa kwa mazungumzo,kuau mtu si amani.Bora ungeshauri serikali kuafikiana na Chadema kuliko kupiga ama kuua watanzania wenzako.
Ha ha ha very true....Mbona naona kama kwenye hili suala Polisi ndo wamekuwa waoga kuliko waandamanaji.
Wewe kweli ndo wale askari division 5 ambao mlifeli.Sasa unachokijua ni kupiga tu ila mwisho wa yote mkisababisha kifo nyie ndo mnapandishwa kizimbani ili hali wakubwa zenu wakila bata.Habari wana JF poleni na majukumu ya kujenga nchi.
Mimi kama mtumishi mtiifu wa nchi yangu, daima nitakuwa mbele katika kulinda amani tuliyojijengea katika nchi hii.
Nikiangalia kimataifa kuna baadhi ya nchi wanatamani kuishi kwa amani kama sisi, Watanzania tuna uhuru mkubwa sana wa kwenda na kufanya chochote kwa muda wowote ila tu usivunje sheria.
Baadhi ya nchi wana kikomo cha muda na kila saa hasa nyakati za jioni wakipigiana simu kujuliana hali kama wako salama na kuhimizana kurudi nyumbani mapema.
Lakini amani ikishapotea kuirudisha tena ni ngumu sana kwani hutoweka pamoja na miundo mbinu ya miji na kusababisha hasara kubwa ya taifa badala ya kuongeza uchumi wa nchi pesa itaanza kukarabati miundo mbinu na kununua siraha za kurudisha amani ya nchi.
Hivyo basi baada ya kuiva kimazoezi ipasavyo mimi kama mtanzania mwenye uchungu na nchi yangu kwa kutetea amani nitakuwa mbele daima kwa yotote ataevunja sharia ya katazo la maandamano ya UKUTA hapo September mosi na kukabiriana na waandamaniji kwa 100% na adhabu yangu nitakayotoa ni kupiga magongo ya ugoko kama atatembea tena ni baada ya mwaka mmoja na nusu.
Sitaogopa hata ni jirani yangu nitamkabiri kwa 100% hata kama atanitambua (nitavaa kofia ngumu)
sipendi kufanya hivyo ila sitakubari amani ipotee kwa maslahi ya watu wachache kwani rais hupatikana kutoka box la kura tu.
Nawashauri wapenda amani tusijihusishe na maandamano hayo.
ASANTENI
View attachment 385767
Hakika mkuu.huu ni uoga kwa askari aliyehitimu mafunzo kwenda kupambana na raia asiye na mafunzo wala kisu.uoga=umasikini.Jeshi la Polisi: Mazoezi yanayoendelea ni ya kawaida, hayalengi kuzuia shughuli zozote halali
Kwanini mje na virungu na risasi? Huo ni woga, twende man to man.... virungu vya nini???
Hahaha...Mbona naona kama kwenye hili suala Polisi ndo wamekuwa waoga kuliko waandamanaji.
Mkuu kwa mshahara wa laki mbili utajengaje?Ni njaa tupu hawa ndugu zetu.Stress za mishahara ya laki mbili ni mbaya sana. Kwanza umejenga?
Jibu swali kwa mshahara wa laki mbili unaweza kujenga?Usilolijua usilizungumzie fanya kazi utetee tumbo lako
Hivi wewe hata katiba unaijua kweli?Maandamano ni haki ya kikatiba ya raia hivyo uwe unajaribu kushirikisha viungo vyako vyote kujifikirisha.Sisi tuaangalia wanaoandamana kama watakuwa miongoni mwao watawasimulia
Kama kweli unajihamini weka picha yako na wapi unaishi ili nianze na wewe, sio kuandika kwenye keyboardTulia nyumbani na familia yako