KUNA watu wamepewa kandarasi ya kuendeza propaganda na porojo za kuwa Waziri Mkuu sijui kapigwa picha akiwa kalala kitandani sijui blah blah .
KWANZA hawa wanaosema eti wana video zingine mbaya zaidi hawana hata moja kwa kuwa hawana busara na upendo huo wa kuogopa kupost hizi video wanazoita mbaya kama wanazo.. Yaani hizo mbaya kwanza ndiyo zingekuwa za kwanza kuwa posted kuliko haya mauzauza ya AI
VITA YA URAIS kuelekea 2030 imekuwa ngumu sana maana wameshawindana mpaka wamekosa mbinu sasa wameamua kuchafuana kwa mtindo huu.. Wanaofanya mambo haya wako ndani ya CCM na wanaofanya haya kama kawaida wanajulikana wanatumia manyumbu ya CHADEMA ku propagate haya.
WALIANZA na mambo ya kulishana sumu kule France yakabuma.. Juzi wakategesha ajali ya ndege kama walivyomfanya Filikunjombe lakini rubani aligundua mapema ndege ina hitilafu na imechezewa akaamua kurudi haraka airport na kunusurika kuangusha ndege na kuuwa watu.. Hazijapita siku mbili wanakuja na mambo ya video ya waziri mkuu sijui yuko kitandani na mwanamke blah blah ..
KUNA MWEHU mwingine tayari anamuingiza Rais kwenye hili na kusema huu ni mkakati wa kum blackmail Waziri Mkuu ili ajiuzulu kama alivyofanya Daniel Chongolo alipokumbwa na kashfa ya kufanana na hii na akashindwa kuhimili pressure akaamua kujiuzulu ukatibu mkuu wa CCM na kupisha Nchimbi kuteuliwa.
NI UJINGA sana kuwaza kama kuku na kuwa na akili ndogooo hivi kama nzi.. Yaani kama Rais aliweza kumteua Mwigulu kuwa waziri mkuu na kikatiba ana uwezo wa kumtengua sasa kuna haja gani ya kuwa blackmailed ili amtoe wakati ana mamlaka ya kikatiba na nguvu kikatiba za kutengua uteuzi wake? Yaani hii nchi ina watu wapumbavu sana hata sijui akili zao zimekaa wapi kwenye miili yao!
KAMA hii ndiyo aina ya watu wanaodhani wanaweza kuchafua na kupatisha wenzao ajali za kisiasa ili wawe wagombea 2030 basi kuna sehemu wamekosea sana.. Na wameanza mapema sana mambo haya na hayatakifikisha chama chao salama 2030..
KAMA kandarasi waliyopewa mamluki wa CHADEMA kutekeleza ili kum pressurize Waziri Mkuu ajiuzulu wanatakiwa wajue kuwa Mwigulu siyo mlaini kama Chongolo...Au kama wanafikiria kuwa atatepeta kwa kashfa hizi za AI na kuandika barua kama Nchimbi basi wanapoteza muda sana..
TUNAJUA ndani ya CCM kuna majizi yanayohofia sana hatma yao kama baadhi ya watu wataingia kwenye kugombea urais wa 2030 maana wanajua kabisa yatawakuta yaliyowakuta akina Manji alipoingia Magufuli madarakani. Walikimbia hii nchi na hawakurudi tena mpaka alivyong'ata shuka SASA kundi lile lile liko kazini kwa kila mtu mwenye mtazamo ule wanahakikisha wanamjeruhikabla hajafika 2030..
HUU ni mwanzo tu mbona kuna mengi yanakuja kwa miaka 4 ijayo kuelekea 2030 na tutayaona mengi sana na kwa jinsi ilivyo yatakuwa yanakwenda zamu kwa zamu na ni suala la muda tu..
SISI tupo na tutakuwepo kwenye kuhesabu majeruhi wa kisiasa wa hii kazi muda utakapofika!