ZING SOKONI
JF-Expert Member
- Aug 1, 2014
- 19,512
- 57,113
Hawa jamaa wakiandamana nakunya maboga mwaka mzima.
Mbona mnakua waoga hivyo???Tulia nyumbani na familia yako
Unajua maana ya amani??Amani ni muhimu zaidi
Kwenye hiyo link tu umesema alikua hajakatwa, means Lowassa alikua anang'aa ndani ya ccm n si vinginevyo..... Polisi ni wanafiki sanaWalinzi wa watanzania wote bila kuchagua itikadi usivunje sheria tu
Wewe nikikukuta unaandamana sitakufanya loloteKwenye hiyo link tu umesema alikua hajakatwa, means Lowassa alikua anang'aa ndani ya ccm n si vinginevyo..... Polisi ni wanafiki sana
"ukikuta polisi analiwa na simba porini, mkatie simba kachumbari "
Ha ha ha kwakua?Wewe nikikukuta unaandamana sitakufanya lolote
Ni hii tuliyojingea toka uhuruUnajua maana ya amani??
Form four ulipata division ngapi mkuu???Habari wana JF poleni na majukumu ya kujenga nchi.
Mimi kama mtumishi mtiifu wa nchi yangu, daima nitakuwa mbele katika kulinda amani tuliyojijengea katika nchi hii.
Nikiangalia kimataifa kuna baadhi ya nchi wanatamani kuishi kwa amani kama sisi, Watanzania tuna uhuru mkubwa sana wa kwenda na kufanya chochote kwa muda wowote ila tu usivunje sheria.
Baadhi ya nchi wana kikomo cha muda na kila saa hasa nyakati za jioni wakipigiana simu kujuliana hali kama wako salama na kuhimizana kurudi nyumbani mapema.
Lakini amani ikishapotea kuirudisha tena ni ngumu sana kwani hutoweka pamoja na miundo mbinu ya miji na kusababisha hasara kubwa ya taifa badala ya kuongeza uchumi wa nchi pesa itaanza kukarabati miundo mbinu na kununua siraha za kurudisha amani ya nchi.
Hivyo basi baada ya kuiva kimazoezi ipasavyo mimi kama mtanzania mwenye uchungu na nchi yangu kwa kutetea amani nitakuwa mbele daima kwa yotote ataevunja sharia ya katazo la maandamano ya UKUTA hapo September mosi na kukabiriana na waandamaniji kwa 100% na adhabu yangu nitakayotoa ni kupiga magongo ya ugoko kama atatembea tena ni baada ya mwaka mmoja na nusu.
Sitaogopa hata ni jirani yangu nitamkabiri kwa 100% hata kama atanitambua (nitavaa kofia ngumu)
sipendi kufanya hivyo ila sitakubari amani ipotee kwa maslahi ya watu wachache kwani rais hupatikana kutoka box la kura tu.
Nawashauri wapenda amani tusijihusishe na maandamano hayo.
ASANTENI
View attachment 385767
Nilipata zote mkuuForm four ulipata division ngapi mkuu???
Najiuliza kwanini police wanaendaga walio pata div four za mwisho!!! Haya ndio madhara yake haya!!!Nilipata zote mkuu
Kwa Chadema Lowasa alipokuwa CCM alikuwa fisadi na alitangazwa nchi nzima, baada ya kuhamia Chadema amekuwa rais wa mioyo yao, bahati mbaya sisi hatuko kisiasa zaidi.Kwenye hiyo link tu umesema alikua hajakatwa, means Lowassa alikua anang'aa ndani ya ccm n si vinginevyo..... Polisi ni wanafiki sana
"ukikuta polisi analiwa na simba porini, mkatie simba kachumbari "
wewe ni form iv failure mnatumikishwa ovyo kama kunguru,u-police ni kimbilio la waliofeli wewe endelea kutumikishwa tu ila siku ukija kujitambua utajilaumu sana.Usifikiri kila debe ni tupu ukalipiga teke utaumia watch out
Maandamano yameshafanyika, polisi wameandamana nchi nzima kwa hiari yao wenyewe wameipa UKUTA promo ya kutosha.Sisi tuaangalia wanaoandamana kama watakuwa miongoni mwao watawasimulia
Mkuu four hupati nafasi ya kujiunga na jeshi uliza uambiweNajiuliza kwanini police wanaendaga walio pata div four za mwisho!!! Haya ndio madhara yake haya!!!
Mkuu upo educated au trained ??Habari wana JF poleni na majukumu ya kujenga nchi.