ShyaRuwa
JF-Expert Member
- May 30, 2015
- 8,448
- 15,374
Hivi ni kwanini wasiyo na akili ndio wanaopelekwa huko penye 250k/month??? Evelyn Salt ukuje utoe majibu.
Usilolijua usilizungumzie fanya kazi utetee tumbo lakoStress za mishahara ya laki mbili ni mbaya sana. Kwanza umejenga?
Ha ha ha akili ni kwingine huko ni manguvu tuHivi ni kwanini wasiyo na akili ndio wanaopelekwa huko penye 250k/month??? Evelyn Salt ukuje utoe majibu.
Natamani tuonane September mosiUnamtindio wa ubongo wewe,
Habari wana JF poleni na majukumu ya kujenga nchi.
Mimi kama mtumishi mtiifu wa nchi yangu, daima nitakuwa mbele katika kulinda amani tuliyojijengea katika nchi hii,
Nikiangalia kimataifa kuna baadhi ya nchi wanatamani kuishi kwa amani kama sisi, Watanzania tuna uhuru mkubwa sana wa kwenda na kufanya chochote kwa muda wowote ila tu usivunje sheria
Baadhi ya nchi wana kikomo cha muda na kila saa hasa nyakati za jioni wakipigiana simu kujuliana hali kama wako salama na kuhimizana kurudi nyumbani mapema.
Lakini amani ikishapotea kuirudisha tena ni ngumu sana kwani hutoweka pamoja na miundo mbinu ya miji na kusababisha hasara kubwa ya taifa badala ya kuongeza uchumi wa nchi pesa itaanza kukarabati miundo mbinu na kununua siraha za kurudisha amani ya nchi.
Hivyo basi baada ya kuiva kimazoezi ipasavyo mimi kama mtanzania mwenye uchungu na nchi yangu kwa kutetea amani nitakuwa mbele daima kwa yotote ataevunja sharia ya katazo la maandamano ya UKUTA hapo September mosi na kukabiriana na waandamaniji kwa 100% na adhabu yangu nitakayotoa ni kupiga magongo ya ugoko kama atatembea tena ni baada ya mwaka mmoja na nusu.
Sitaogopa hata ni jirani yangu nitamkabiri kwa 100% hata kama atanitambua (nitavaa kofia ngumu)
sipendi kufanya hivyo ila sitakubari amani ipotee kwa maslahi ya watu wachache kwani rais hupatikana kutoka box la kura tu.
Nawashauri wapenda amani tusijihusishe na maandamano hayo.
ASANTENIView attachment 385767

Utakutana na mimi, usiogope........Natamani tuonane September mosi
Sisi tuaangalia wanaoandamana kama watakuwa miongoni mwao watawasimuliaVipi mtaanza kwanza na kuwapiga uvccm 31 august??
Big up mkuu nipo pamoja na wewe kwa sababu hakuna namna nyingine na mimi nasema wapigwe tu mmmhHabari wana JF poleni na majukumu ya kujenga nchi.
Mimi kama mtumishi mtiifu wa nchi yangu, daima nitakuwa mbele katika kulinda amani tuliyojijengea katika nchi hii,
Nikiangalia kimataifa kuna baadhi ya nchi wanatamani kuishi kwa amani kama sisi, Watanzania tuna uhuru mkubwa sana wa kwenda na kufanya chochote kwa muda wowote ila tu usivunje sheria
Baadhi ya nchi wana kikomo cha muda na kila saa hasa nyakati za jioni wakipigiana simu kujuliana hali kama wako salama na kuhimizana kurudi nyumbani mapema.
Lakini amani ikishapotea kuirudisha tena ni ngumu sana kwani hutoweka pamoja na miundo mbinu ya miji na kusababisha hasara kubwa ya taifa badala ya kuongeza uchumi wa nchi pesa itaanza kukarabati miundo mbinu na kununua siraha za kurudisha amani ya nchi.
Hivyo basi baada ya kuiva kimazoezi ipasavyo mimi kama mtanzania mwenye uchungu na nchi yangu kwa kutetea amani nitakuwa mbele daima kwa yotote ataevunja sharia ya katazo la maandamano ya UKUTA hapo September mosi na kukabiriana na waandamaniji kwa 100% na adhabu yangu nitakayotoa ni kupiga magongo ya ugoko kama atatembea tena ni baada ya mwaka mmoja na nusu.
Sitaogopa hata ni jirani yangu nitamkabiri kwa 100% hata kama atanitambua (nitavaa kofia ngumu)
sipendi kufanya hivyo ila sitakubari amani ipotee kwa maslahi ya watu wachache kwani rais hupatikana kutoka box la kura tu.
Nawashauri wapenda amani tusijihusishe na maandamano hayo.
ASANTENIView attachment 385767
Itakuwa vizuri kama viongozi watakuwa mbele siyo kuwaandamanisha wananchi wa kawaida wapigwe kwa maslahi yaoBig up mkuu nipo pamoja na wewe kwa sababu hakuna namna nyingine na mimi nasema wapigwe tu mmmh
Habari wana JF poleni na majukumu ya kujenga nchi.
Mimi kama mtumishi mtiifu wa nchi yangu, daima nitakuwa mbele katika kulinda amani tuliyojijengea katika nchi hii,
Nikiangalia kimataifa kuna baadhi ya nchi wanatamani kuishi kwa amani kama sisi, Watanzania tuna uhuru mkubwa sana wa kwenda na kufanya chochote kwa muda wowote ila tu usivunje sheria
Baadhi ya nchi wana kikomo cha muda na kila saa hasa nyakati za jioni wakipigiana simu kujuliana hali kama wako salama na kuhimizana kurudi nyumbani mapema.
Lakini amani ikishapotea kuirudisha tena ni ngumu sana kwani hutoweka pamoja na miundo mbinu ya miji na kusababisha hasara kubwa ya taifa badala ya kuongeza uchumi wa nchi pesa itaanza kukarabati miundo mbinu na kununua siraha za kurudisha amani ya nchi.
Hivyo basi baada ya kuiva kimazoezi ipasavyo mimi kama mtanzania mwenye uchungu na nchi yangu kwa kutetea amani nitakuwa mbele daima kwa yotote ataevunja sharia ya katazo la maandamano ya UKUTA hapo September mosi na kukabiriana na waandamaniji kwa 100% na adhabu yangu nitakayotoa ni kupiga magongo ya ugoko kama atatembea tena ni baada ya mwaka mmoja na nusu.
Sitaogopa hata ni jirani yangu nitamkabiri kwa 100% hata kama atanitambua (nitavaa kofia ngumu)
sipendi kufanya hivyo ila sitakubari amani ipotee kwa maslahi ya watu wachache kwani rais hupatikana kutoka box la kura tu.
Nawashauri wapenda amani tusijihusishe na maandamano hayo.
ASANTENIView attachment 385767
Ajenge??? Wakati kotaz zipo, anakaa humo kwenye kijumba kama kiberiti yeye, mke, watoto, bata, kuku wote ndaniStress za mishahara ya laki mbili ni mbaya sana. Kwanza umejenga?
Nipe location na nguo utakayovaa ili nikuchomoe peke yako hata kwenye kundi la watu 100.Utakutana na mimi, usiogope........
Chapa mpaka za pua. ili washike adabu.Habari wana JF poleni na majukumu ya kujenga nchi.
Mimi kama mtumishi mtiifu wa nchi yangu, daima nitakuwa mbele katika kulinda amani tuliyojijengea katika nchi hii.
Nikiangalia kimataifa kuna baadhi ya nchi wanatamani kuishi kwa amani kama sisi, Watanzania tuna uhuru mkubwa sana wa kwenda na kufanya chochote kwa muda wowote ila tu usivunje sheria.
Baadhi ya nchi wana kikomo cha muda na kila saa hasa nyakati za jioni wakipigiana simu kujuliana hali kama wako salama na kuhimizana kurudi nyumbani mapema.
Lakini amani ikishapotea kuirudisha tena ni ngumu sana kwani hutoweka pamoja na miundo mbinu ya miji na kusababisha hasara kubwa ya taifa badala ya kuongeza uchumi wa nchi pesa itaanza kukarabati miundo mbinu na kununua siraha za kurudisha amani ya nchi.
Hivyo basi baada ya kuiva kimazoezi ipasavyo mimi kama mtanzania mwenye uchungu na nchi yangu kwa kutetea amani nitakuwa mbele daima kwa yotote ataevunja sharia ya katazo la maandamano ya UKUTA hapo September mosi na kukabiriana na waandamaniji kwa 100% na adhabu yangu nitakayotoa ni kupiga magongo ya ugoko kama atatembea tena ni baada ya mwaka mmoja na nusu.
Sitaogopa hata ni jirani yangu nitamkabiri kwa 100% hata kama atanitambua (nitavaa kofia ngumu)
sipendi kufanya hivyo ila sitakubari amani ipotee kwa maslahi ya watu wachache kwani rais hupatikana kutoka box la kura tu.
Nawashauri wapenda amani tusijihusishe na maandamano hayo.
ASANTENI
View attachment 385767