Mwigulu: Ole wao CHADEMA, Tutaubomoa UKUTA

Mwigulu: Ole wao CHADEMA, Tutaubomoa UKUTA

Tumemzoea,tabia zake tunazijua,tunajua wanapanga kutuua,wakiona tumeandamana waje tumekubali watuue,wabaki wao na ndugu zao na wanaccm wenzao,watawale milele,TUKIINGIA BARABARANI WAJUE TUMEKUBALI KUFA
 
Nyinyi mnaosema viongozi wa Chadema watangulize familia zao mbele wakati wa maandamano. Mbona hamuwaambii na hao wanaotoa amri kuwa maandamo yasifanyike kwanini na wao msiwaambie waende na familia zao ktk kuzuia maandamano hayo?
Umefikir ukaishia hapo tu au bado unaongeza
 
Nyinyi mnaosema viongozi wa Chadema watangulize familia zao mbele wakati wa maandamano. Mbona hamuwaambii na hao wanaotoa amri kuwa maandamo yasifanyike kwanini na wao msiwaambie waende na familia zao ktk kuzuia maandamano hayo?
Nice one....
 
Hii habari ya Ukuta ilianza kama kiutani utani vile. Weng tulianza kuichukulia kama Ni matamko ya kawaida kama tuliyoyazoea kutoka vyama Vya Upinzani.

Chakushangaza Serkali mpaka sasa inaonekana tumbo joto. Kila siku matamshi ya kutishiana. Yani mpaka serkal imefikia hatua ya kupaisha ndege za kivita angani? Hizo pesa za mafuta zingejenga madawati mangapi?

Hata hii strategy ya kuruhusu machinga waingie mjini ni mbinu mkakati ya kupunguza nguvu ya ukuta na bado inaonyesha kufail.

Pesa zinazotumika kuandaa jesh la polic kudhibit uo Ukuta si zingetumika hta kusaidia kujenga nyumba za Polisi!

SERKAL INASHINDWA NINI KUKAA NA VIONGOZI WA UKAWA NA KUWEKA MAMBO SAWA?

Kwani kunaugumu gani hapo?
 
Tumemzoea,tabia zake tunazijua,tunajua wanapanga kutuua,wakiona tumeandamana waje tumekubali watuue,wabaki wao na ndugu zao na wanaccm wenzao,watawale milele,TUKIINGIA BARABARANI WAJUE TUMEKUBALI KUFA
Ahaha
Ukiulizwa nini kinakufanya ufe??
 
Nyinyi mnaosema viongozi wa Chadema watangulize familia zao mbele wakati wa maandamano. Mbona hamuwaambii na hao wanaotoa amri kuwa maandamo yasifanyike kwanini na wao msiwaambie waende na familia zao ktk kuzuia maandamano hayo?
Well said kuu!
 
Msije sema hamkuambiwa. BAVICHA na kelele zao za kwenda Dodoma mwisho wa siku walitia akili. Subirini ninyi sasa. Msipotia akili "Mtashughulikiwa". Maana hakuna jinsi.
Watu wata deal na familia zao nyuma.....we unatumia nguvu huku wao wanaenda kwenye familia zao na kuwa****** ngoma draw kama kenya
 
Watanzania hua ni wataalam wa kutafuta matatizo, badala ya kutumia vyema fursa ya amani ili tupate maendeleo, tunafanya jitihad za makusudi kabisa kuipoteza hiyo amani. Wananchi wawe makini na watu kama hawa ambao wanaonekana kabisa kua watanufaika na upotevu wa amani.
 
Kwa hiyo unataka serikali isiandae jeshi lake ili ninyi wahuni mfanye yenu barabarani? Serikali ya Magufuli haijaribiwi. Tukutane Septemba Mosi
 
Msalimie mbunge wako lusinde maana naona akili zenu zinafanana
 
We umeishia darasa la pili au nani amekuambia maandamano ni vurugu,ccm na polisi wao ndo wanataka kuyafanya maandamano ya ukuta kuwa ni vurugu
Aliyeishia darasa la pili ni yule ambaye hataki kukubali kuwa uchaguzi umekwisha na huu ni wakati wa watu kupiga kazi. Huyo ndiye mwenye elimu ndogo sana. Mwenye elimu ndogo ni yule ambaye anataka kutoa maagizo kwa watu wakati huo huo nchi inao mfumo wa utawala ambao sauti ya juu kabisa ni ya rais.
 
Jamani naomba niwashauri tena wana~CHADEMA. Achaneni na UKUTA... Mtavunjwa miguu bure... Haya sasa Rais alishatoa onyo, na sasa waziri wa mambo ya ndani katoa onyo tena...

Mytake: Viongozi wa CHADEMA tarehe moja mtangulize watoto wenu na ndugu zetu, sio kutanguliza watoto wa masikini.

View attachment 383515
Hahahaha!!!!!
 
Watanzania hua ni wataalam wa kutafuta matatizo, badala ya kutumia vyema fursa ya amani ili tupate maendeleo, tunafanya jitihad za makusudi kabisa kuipoteza hiyo amani. Wananchi wawe makini na watu kama hawa ambao wanaonekana kabisa kua watanufaika na upotevu wa amani.
JPM hajasafiri tangu aingie Ikulu, na yupo karibu sana na shughuli za kila siku za serikali. JK aliyaachia mambo mikononi mwa watu, alifanya kosa la kiufundi la kumuamini kila msaidizi wake. JPM anajenga uhusiano wa kikazi na mtu yoyote kwa kutegemea perfomance yake na sio urafiki wake. Hawa wanaotishia maandamano na akili za vurugu, katika awamu hii wapo kwenye wakati mgumu sana.
 
Kwa hiyo unataka serikali isiandae jeshi lake ili ninyi wahuni mfanye yenu barabarani? Serikali ya Magufuli haijaribiwi. Tukutane Septemba Mosi
Kumbe na wewe unaisubiria septemba mosi? Maskini askari Ukonga wanachezeshwa gwaride bure kwa ajili ya maandalizi, ikifika August 30 kiongozi mmoja wa CHADEMA anasema wamesitisha! Lakini tuwaaache wafanye mazoezi
 
Back
Top Bottom