Ndoleleji mission
Senior Member
- Aug 11, 2016
- 161
- 91
Thubutu sasa siku hiyo ndiposa utajijua kweli we ni kisu cha ngariba au la!Kisu cha ngariba
Thubutu sasa siku hiyo ndiposa utajijua kweli we ni kisu cha ngariba au la!Kisu cha ngariba
Wewe una hata chembe ya utu ndani mwako?Huna lolote!Kelele ya CHURA haimzuii n'gombe kunywa maji.Mnajiua wenyewe kisha mwataka huruma!Thubutu siku hiyo ndiyo utajua kati ya ww na VYOMBO VYA ULINZI CHINI YA CCM nani mwanaume.Uchu wa madaraka tu unawasumbua!
Hii damu lazima itembee na huyu muuwaji popote pale aendapo.Tilishakuzoea na tunakukumbusha bado tunakumbuka damu uliyomwaga SOWETO ARUSHA na hizo damu zitakutafuna tu ni muda tu.
Rais wa singida.
swissme
Kwani walikwenda Dodoma? Si ndio kutia akili kwenyewe huko!Ilikuwaje wakatia akili?
Kwa nini hawakwenda Dodoma?Kwani walikwenda Dodoma? Si ndio kutia akili kwenyewe huko!
Hivi umewahi kujiuliza kuwa wanao andamana wakiwa na dhamira ya kuwauwa hao askari hali itakuwaje?Huna lolote!Kelele ya CHURA haimzuii n'gombe kunywa maji.Mnajiua wenyewe kisha mwataka huruma!Thubutu siku hiyo ndiyo utajua kati ya ww na VYOMBO VYA ULINZI CHINI YA CCM nani mwanaume.Uchu wa madaraka tu unawasumbua!
Walitia akili.Kwa nini hawakwenda Dodoma?
Kutia akili kulisababishwa na nini?Walitia akili.
Hofu ya kushughulikiwa. Swali jingine?Kutia akili kulisababishwa na nini?
Kushughulikiwa na CCM?Hofu ya kushughulikiwa. Swali jingine?
Na nyie mtangulie mkiongozwa na Uchwara na balaza la mawazir.Jamani naomba niwashauri tena wana~CHADEMA. Achaneni na UKUTA... Mtavunjwa miguu bure... Haya sasa Rais alishatoa onyo, na sasa waziri wa mambo ya ndani katoa onyo tena...
Mytake: Viongozi wa CHADEMA tarehe moja mtangulize watoto wenu na ndugu zetu, sio kutanguliza watoto wa masikini.
View attachment 383515
Off point.Kushughulikiwa na CCM?
Ukishakula nyama ya mtu huwezi kuacha.Inaonekana Mwigulu huwa na hamu ya kuona damu ya watu ikimwagika, aje tu atuvunje miguu kwa vile kwake itakuwa siyo mara ya kwanza kuhakikisha damu ikimwagika.
Tafadhali tumia kiswahili hiyo lugha ya kiingereza inanishinda. Unamaanisha nini unaposema "Off Point"?Off point.
Yeah huwezi kuongoza nchi kwa vitisho lazima utashindwa tu.Huu sio muda wa vitisho
hajipendiAanze kubomoa lugumi!!!