Operation tokomeza nyumbu warudi Serengeti vifaa vya uchaguzi vya polisi bado vipyaaaa, sogeeni barabarani mkione cha MotoNyinyi mnaosema viongozi wa Chadema watangulize familia zao mbele wakati wa maandamano. Mbona hamuwaambii na hao wanaotoa amri kuwa maandamo yasifanyike kwanini na wao msiwaambie waende na familia zao ktk kuzuia maandamano hayo?