Mwigulu: Ole wao CHADEMA, Tutaubomoa UKUTA

Jamani naomba niwashauri tena wana~Chadema. Achaneni na UKUTA... Mtavunjwa miguu bure... Haya sasa Rais alishatoa onyo, na sasa waziri wa mambo ya ndani katoa onyo tena...

Mytake: Viongozi wa Chadema tarehe moja mtangulize watoto wenu na ndugu zetu, sio kutanguliza watoto wa masikini.
View attachment 383515
Tittle ya huu uzi ilitakiwa iwe
"Raila : Niko Tayari kusuluhisha Zanzibar"

Au at Least "Sitamsamehe Mkapa"

Hiyo ya Mwigulu na Ukuta ni kama iko na Less Importance according to refference source yako.
By the way,UKUTA uko pale pale,with no Apology
 
Jamani naomba niwashauri tena wana~Chadema. Achaneni na UKUTA... Mtavunjwa miguu bure... Haya sasa Rais alishatoa onyo, na sasa waziri wa mambo ya ndani katoa onyo tena...

Mytake: Viongozi wa Chadema tarehe moja mtangulize watoto wenu na ndugu zetu, sio kutanguliza watoto wa masikini.
View attachment 383515
Sana sana ataua watu, basi and some are ready for that!
 
Nyinyi mnaosema viongozi wa Chadema watangulize familia zao mbele wakati wa maandamano. Mbona hamuwaambii na hao wanaotoa amri kuwa maandamo yasifanyike kwanini na wao msiwaambie waende na familia zao ktk kuzuia maandamano hayo?
Yaani katika maneno ya hekima siku ya Leo naanza na haya. Wao badala ya kujadili Ukuta una athari gani kwao wanazungumzia eti familia! Kwani ni ajabu kuwa na itikadi tofauti ndani ya familia
 
Tilishakuzoea na tunakukumbusha bado tunakumbuka damu uliyomwaga SOWETO ARUSHA na hizo damu zitakutafuna tu ni muda tu.
Rais wa singida.

swissme
Unaweza kuthibitisha pasi-nashaka Mwigulu ndiye aliyetekeleza hilo tukio?Na km huna,je,sheria ya mtandao haikuhusu?
 
Jamani naomba niwashauri tena wana~Chadema. Achaneni na UKUTA... Mtavunjwa miguu bure... Haya sasa Rais alishatoa onyo, na sasa waziri wa mambo ya ndani katoa onyo tena...

Mytake: Viongozi wa Chadema tarehe moja mtangulize watoto wenu na ndugu zetu, sio kutanguliza watoto wa masikini.
View attachment 383515
Acheni ujinga wenu nyie, hao watakaowavunja miguu CHADEMA ni Mwenyekiti wa CCM taifa John Magufuli na viongozi wenzake ama ni askari wanaotoka kwenye familia maskini za watanzania. Ili Mbowe atangulie na IGP naye ndiye aongoze hao wavunja miguu wenu. Halafu mbona mna akili za ajabu kabisa kushabikia raia wanaotaka kutumia haki yao ya Kikatiba kuandamana kuvunjwa miguu na kuuawa?

Hao watoa maonyo tunajua wanatoa hayo maonyo si kwa maslahi ya taifa bali hofu ya chama chao kuhemewa, CCM Pumzi imekata tangu mwaka jana na inapumulia mashine na mashine yenyewe ni vyombo vya dola ambavyo vinaonewa na kutumiwa na CCM kutokana na mfumo mbovu wa kuviendesha unaotokana na Katiba mbovu iliyopo.

Inajengwa picha kama vile CHADEMA inashindana na dola lakini ukweli wa mambo ni kwamba CCM inatumia vyombo vya dola kujihami. Mpaka sasa haijatolewa hoja ya maana ni kwa nini CHADEMA inazuiliwa kufanya mikutano lakini wao CCM kila siku wako majiani na majukwaani wanafanya mikutano kwa mgongo wa Serikali.

Iko siku kweli wataua watu, watavunja watu miguu, wataharibu mali za wanaowapinga lakini ukweli una tabia ya kutembea taratibu bali siku ukifika unadumu daima. Mpaka leo wale waliofanya mauaji ya Kimbari ya Wayahudi na Wanyarwanda wasio na hatia bado wanasakwa zaidi ya miaka zaidi 70 au 20 kupita tangu walipofanya mauaji hayo.

Kuna ushamba mkubwa sana kwenye tafakari za viongozi wa CCM, duniani kote hakuna mahali ambapo watawala wanaua watu kwa faida ya taifa bali ni kwa maslahi ya walio madarakani kwa choyo ya mioyo yao. Inaposemwa watu watauawa au kuvunjwa miguu siye wengine tunatafsiri kwamba walioko madarakani wameingiwa na hofu!!
 
Watu wanapokutana huvunja amani gani??? Kipindi cha uchaguzi mbona kulikuwa na mikutano lkn amani haikuvunjika na wala hofu yakutoweka hyo amani hamkuwa nayo? Iweje sasa hivi????? Mtu akiiba au akiua amevunja katiba, hauoni kuwa vyama siasa kwa kuzuiwa kufanya mikutano kwa mujibu wa katiba ni ukiukwaji wa sheria?????? Freedom of speech has never on earth led to lack of peace rather the vise versa has.
 
Kumbe mseveni kaguta huwa yupo sawa kwa besigye.magufuli nitandikie watu Na usiwe Na huruma Na watu wasiotaka maendeleo.wewe upo kazi wao wanakuita dikteta ni sawa hugusi chama chao wewe unasafisha kwako.
 
Huna lolote!Kelele ya CHURA haimzuii n'gombe kunywa maji.Mnajiua wenyewe kisha mwataka huruma!Thubutu siku hiyo ndiyo utajua kati ya ww na VYOMBO VYA ULINZI CHINI YA CCM nani mwanaume.Uchu wa madaraka tu unawasumbua!
Acheni ujinga wenu nyie, hao watakaowavunja miguu CHADEMA ni Mwenyekiti wa CCM taifa John Magufuli na viongozi wenzake ama ni askari wanaotoka kwenye familia maskini za watanzania. Ili Mbowe atangulie na IGP naye ndiye aongoze hao wavunja miguu wenu. Halafu mbona mna akili za ajabu kabisa kushabikia raia wanaotaka kutumia haki yao ya Kikatiba kuandamana kuvunjwa miguu na kuuawa?

Hao watoa maonyo tunajua wanatoa hayo maonyo si kwa maslahi ya taifa bali hofu ya chama chao kuhemewa, CCM Pumzi imekata tangu mwaka jana na inapumulia mashine na mashine yenyewe ni vyombo vya dola ambavyo vinaonewa na kutumiwa na CCM kutokana na mfumo mbovu wa kuviendesha unaotokana na Katiba mbovu iliyopo.

Inajengwa picha kama vile CHADEMA inashindana na dola lakini ukweli wa mambo ni kwamba CCM inatumia vyombo vya dola kujihami. Mpaka sasa haijatolewa hoja ya maana ni kwa nini CHADEMA inazuiliwa kufanya mikutano lakini wao CCM kila siku wako majiani na majukwaani wanafanya mikutano kwa mgongo wa Serikali.

Iko siku kweli wataua watu, watavunja watu miguu, wataharibu mali za wanaowapinga lakini ukweli unatabia ya kutembea taratibu lakini ukifika unadumu daima. Mpaka leo wale waliofanya mauaji ya Kimbari ya wayahudi na wanyarwanda wasio na hatia bado wanasakwa zaidi ya miaka zaidi ya 70 au 20 tangu walipofanya mauaji hayo.

Kuna ushamba mkubwa sana kwenye tafakari za viongozi wa CCM, duniani kote hakuna mahali ambapo watawala wanaua watu kwa faida ya taifa bali ni kwa maslahi ya walio madarakani kwa choyo ya mioyo yao. Inaposemwa watu watauawa au kuvunjwa miguu siye wengine tunatafsiri kwamba walioko madarakani wameingiwa na hofu!!
 
....na yule kamanda wa Chadema aliyechinjwa kama kuku Usa, Arusha; watu badala watubu, wanaendelea kutengeneza dhambi mpya!

...huu utawala wa dunia unapita!, endeleeni kulewa tu hayo madaraka!
 
Back
Top Bottom