Mwigulu Ndani Ya SCOAN Leo 28.12.14

Mwigulu Ndani Ya SCOAN Leo 28.12.14

Mungu kamwacha Tanzania,Nigeria kafata nini?
Ana weweseka hujuma alizofanyia watu wasio na hatia,familia zao zinateseka,yeye anar raha gani?
Damu za wanyonge zina walilia.Hakika "ukweli utadhihiri" MUNGU HADANGANYIKI WALA HADHIHAKIWI

Duh...Mungu anakaa nyumba gani hapa Tanzania nikamtembelee?

Hii ni mpya, maanasikuwahi kusikia kuwa Mungu ni mkazi wa Tanzania pekee na hayupo kwenye nchi zingine.
 
Tatizo lenu nyie wapambe njaa ndio zinazo watoa akili sasa nani asiyejua kwa nafasi ya Mwigulu posho anazochokuwa anauwezo wa kwenda kanisa lolote duniani kila jumapili akiamua?

Swala hapa yeye ni kiongozi kuwa kioo cha jamii angeenda kimya kama kweli anamfuata mungu kwa malengo yake nani angepiga kelele.

Lakini unapoanza kufanya publicity za wewe kwenda makanisa ya Nigeria linakuwa zaidi ya swala la imani bali kujionyesha ya kuwa wewe una option mbele ya jamii ambao wengi hawana huo uwezo isitoshe kuna watu wanaweza amini Nigeria kuna kanisa bora zaidi hadi waziri analifuata mara kwa mara ndio maana yake hiyo.

Kwani unadhani hao akina Sokoine au Nyerere wangeshindwa kuwajengea majumba watoto zao wakaya promote au kuchagua kuendeshwa na magari ya kifahari wakati wa uongozi wao, au unadhani wakati watanzania wanapanga foleni ya sukari na wao pia walikuwa na shida za sukari.

Issue hapa ni twasira anayoileta kwa jamii kutokana na uwezo wake na direct message anayowatumia waumini wengine wa dini. Unatakiwa uongoze kwa mfano anasa zako ziwe private, kama unaona kuna umuhimu kwa kwenda kwa TB Joshua nenda kimya basi sio kutuonyesha sie tusio na uwezo uongozi maana yake utajiri.


ubarikiwe sana mkuu, tatizo ni mwigulu na hawa wapambe wake na utakuta mwigulu ndo kawaambia waandika tatizo la huyu bwana kubwa sana ni kupenda sifa mpaka amepitiliza mwenyezi MUNGU kupitia YESU alisema unapouomba au kutenda jambo lolote kwa ajili yake iwe kwa siri na MUNGU wako wasirini ATAKUONGEZEA sasa huyu yeye kila kitu ni sifa, atueleze kwanza wale watu wa soweto waliuawa ili apate nini au ndio uo unaibu alikuwa anautafuta
 
  • Thanks
Reactions: P60
Tb joshua akisema aongee utabiri na madhambi ya huyo jamaa mtazima tv zenu, ana dhambi ya mauaji huyu

Wanao tubu na kumrudia Mungu si ni watenda dhambi mzee?!!

Ni wapi umesikia mtu mwebye afya njema anahitaji tatibu?!
 
Duh...Mungu anakaa nyumba gani hapa Tanzania nikamtembelee?sikuwahi kusikia kuwa Mungu anakaa Tanzania na nchi zingine hayupo.

God is Omnicent,yupo popote:Ikiwemo Tanzania.Sasa gharama zote za nini?Hakuna jimbo maskini kama anapotoka mh.
 
atueleze kwanza wale watu wa soweto waliuawa ili apate nini au ndio uo unaibu alikuwa anautafuta

Nitakujibu kwa ajili ya hili tu kama ni wakuelewa uelewe.Hili tukio lilikuwa ni tukio la Kigaidi la kikundi kilichokuwa kimejipanga kuanzisha sampuli ya Alshabab ya Tanzania.

Na heri kwa nchi kuwa magaidi hao wanafunzi walishatiwa nguvuni na ndio maana sasa hali imekuwa tulivu.

Kulikuwa na thread hapa mwezi mmoja uliopita juu ya mmoja wa magaidi hao kupigwa risasi.

Hivyo suala la Mwigulu, Chadema au CCM kuhusika na bomu la Arusha sio la kweli.
 
W
Naangalia Emmanuel TV hapa naona kuna bendera kama kumi hivi za Tanzania akiwemo Mwigulu Nchemba. Ni jambo la kutia faraja kuona watu wanamkimbilia Mungu!!

Kwa hyo huyo Mungu yupo Nigeria tu? Hapa TZ hayupo?
 
Sijaona hiyo unayosema siasa sio fani inahusiana vip na topic hii, maana sioni hapa chochote kinachohusiana na hilo, zaidi tu inaleta taswira ya HOFU YA MUNGU ambayo ni muhimu kwa kiongozi kujiona yeye sio juu ya wote na kuwa ana wajibu wa kufanya mema kwa watu, refer "HUWEZI KUMPENDA MUNGU USIYEMUONA KAMA HUWAPENDI WATU UNAOWAONA".

Na sioni hiyo ya kufananishwa na Sokine inahusiana vip na hili, sijawahi sikia kama Sokoine alikuwa anawapangia viongozi sehemu za kwenda kuabudu?kama angefanya hivyo nadhani asingepata sifa alizopata maana angekuwa ni mtu wa ajabu sana kufanya, serikali yetu haina dini na watu wana haki kuwa na imani zao ilmuradi hawavunji sheria ya nchi.

Kingine, kila zama ina kanuni zake, ata Sokoine angekuwepo leo asingezui soko huria ambalo wakati huo halikuruhusiwa maana ata waliokuwa reference yetu, Uchina na Urusi wameruhusu, sembuse Tanzania?mazingira na wakati hubadilisha mtazamo.

Ila msingi tunaomsifia Sokoine ni UADILIFU WAKE NA UFUATILIAJI WA MASUALA YA MSINGI, japo kuna sehemu hatukubaliana na sera alizokuwa anazisimamia wakati huo.

Na naamini wanaomfananisha Mwigulu hawaamaanishi kuwa atakuwa Sokoine 100%, maana haohao wanaomfananisha hawataki turudi kwenye Tanzania ya mwaka 1980s kwa kila kitu bali wahitaji USIMAMIZI WA MAKINI ULIOJAA UADILIFU NA UNAOANGALIA MASLAHI YA NCHI NA WATU WAKE.

SOKOINE alikuwa mwadilifu, MWIGULU HANA uadilifu wowote, SOKOINE alikuwa mkweli, HUYU MWIGULU WAKO NI MWONGO MPIKA MAJUNGU ili apate nafasi mpenda sifa asizokuwa nazo mtu wa hovyo mropokaji anaependa kujikweza, aende SOWETO AKATUBU KWA ALIYOYAFANYA KWANZA mwelezeni kwanza hilo
 
God is Omnicent,yupo popote:Ikiwemo Tanzania.Sasa gharama zote za nini?Hakuna jimbo maskini kama anapotoka mh.

Gharama zipi?nauli ya Nigeria ni gharama?gharama kwa nani?

Sasa kama jimbo ni maskini hiyo inahusiana vip na safari ya Mwigulu?vip kachukua pesa za maendeleo Iramba kugharamia hiyo safari?
 
Nitakujibu kwa ajili ya hili tu kama ni wakuelewa uelewe.Hili tukio lilikuwa ni tukio la Kigaidi la kikundi kilichokuwa kimejipanga kuanzisha sampuli ya Alshabab ya Tanzania.

Na heri kwa nchi kuwa magaidi hao wanafunzi walishatiwa nguvuni na ndio maana sasa hali imekuwa tulivu.

Kulikuwa na thread hapa mwezi mmoja uliopita juu ya mmoja wa magaidi hao kupigwa risasi.

Hivyo suala la Mwigulu, Chadema au CCM kuhusika na bomu la Arusha sio la kweli.


KUMBUKA mwigulu alisema kabla alijatokea na kwenye moja ya mikutano ya mwisho mwisho ya kampeni aliwasisitizia watu sana wasiende kwenye mikutano ya mwisho ya chadema kwamba kuna jambo litatokea atufafanulie kwanza alimaanisha nini kwa usemi huo kwanini akuzuia watu kwenda kwenye mikutano ya CCM? UNAPOLETA UTETEZI JIPANGE VIZURI ALAFU KUMBUKA HII TAHADHARI ALIYOITOA HATA VYOMBO VYA HABARI VILIRIPOTI
 
kwa TB J kuna siku hatarudi kabisa kama LOWASA lazima kuna sehemu utatakiwa kukiri yote uliyoyafanya kumbuka LOWASA aliambiwa aseme yote aliyokuwa anafanya akashindwa kwa kuwa alijua DUNIA NZIMA ITASIKA akakataa na ndio mpaka leo hajarudi

Tell them
Manaake watu kazi kufanyia kazi habari za kusikia. .
Hawamjui TBJOSHUA ..wanamchukulia poa
 
KUMBUKA mwigulu alisema kabla alijatokea na kwenye moja ya mikutano ya mwisho mwisho ya kampeni aliwasisitizia watu sana wasiende kwenye mikutano ya mwisho ya chadema kwamba kuna jambo litatokea atufafanulie kwanza alimaanisha nini kwa usemi huo kwanini akuzuia watu kwenda kwenye mikutano ya CCM? UNAPOLETA UTETEZI JIPANGE VIZURI ALAFU KUMBUKA HII TAHADHARI ALIYOITOA HATA VYOMBO VYA HABARI VILIRIPOTI

Unaongea usichokijua.

Uliambiwa AKILI ZA KUAMBIWA CHANGANYA NA ZAKO...ata Mbowe anajua waliohusika na mauaji yale ni akina nani na tayari waliishakamatwa na kikundi hicho kimesambaratishwa.

Ukiambiwa jifunze, pokea, tafakari.

Maana hapa kwa kushupalia usichokijua unazidi kujionyesha kuwa ni MPUTU, UNAYEIMBA KAMA NDEGE KASUKU na KUBAKI KUKARIRI TU MIAKA NENDA MIAKA RUDI UNABAKI KUWA HUJUI NA HUJUI KUWA HUJUI, AMKA.
 
Fedha ya uma inalipiwagwa kodi??

MWELEZE MKUU hawa watu wamepewakazi ya kutetea wakadhani JF kuna wanafunzi wa chekechea ukiwaeleza tu watakubali, JK alisema kwenye HOTUBA YAKE kuwa issue ya ESCROW inachanganya sijui hawakuelewa alimaanisha nini TRA wanafatilia nini kama hakuna pesa ya umma?
 
Gharama zipi?nauli ya Nigeria ni gharama?gharama kwa nani?

Sasa kama jimbo ni maskini hiyo inahusiana vip na safari ya Mwigulu?vip kachukua pesa za maendeleo Iramba kugharamia hiyo safari?
Hayo maswali atapata majibu toka kwa wapiga kura wake.
 
Hayo maswali atapata majibu toka kwa wapiga kura wake.

Umeongelea gharama alafu jibu huna?sasa kama majibu kwa wapiga kura wa Iramba wewe umeongelea Jf ya nini?ajabu hii maana najua Iramba Jf yenyewe hawajui kama ni Mnyama au ni Mdudu.

Hayo ya Iramba mtaongelea huko Iramba hapa tunaongelea reality ya mada iliyopo hapa.

Na reality ni kuwa kama kwako nauli ya Nigeria ni gharama ni wewe lakini kwa watu wengi wenye kipato cha kati na kwa watu wenye mshahara wa kama Mbunge wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nauli ya kwenda Nigeria ni pesa ndogo sana.
 
Unaongea usichokijua.Uliambiwa AKILI ZA KUAMBIWA CHANGANYA NA ZAKO...ata Mbowe anajua waliohusika na mauaji yale ni akina nani.

Ukiambiwa jifunze, maana hapa kwa kutetea usichokijua unazidi kujionyesha kuwa ni MPUTU na HUJUI NA HUJUI KUWA HUJUI.

nimekuuliza wewe mtetezi MWIGULU aliambia watu wasiende kwenye mkutano wa mwisho wa chadema alikuwa anamaanisha nini hilo ndio jibu nalolitaka, acha porojo mliambiwa muunde tume ya kijaji mbona mlikataa? ivi umesahau KOVA alituletea mkenya kuwa ndio alimteka ULIMBOKA na sasa yuko huru, hapa hakuna watoto wakudanganya, uyo unaemsema aliuawa ivi yale maelezo ya polisi kuwa alitaka kutoroka ndio akapigwa risasi wewe yalikuingia akilini ivi gaidi aliyesomea karate kama polisi walivyosema anaweza kusafirishwa kwa style ile bila tahadhari? bila hata pingu mkononi? nimekuambia hapa sio chekechea
 
Back
Top Bottom