Mwigulu Ndani Ya SCOAN Leo 28.12.14

Mwigulu Ndani Ya SCOAN Leo 28.12.14

Hivi Mungu wa TB Joshua na Mungu wa Kakobe wako tofauti kiuwezo.?

Wako tofauti sana kiuwezo ndiyo maana kuna wanaodiriki kupanda ndege na kumfuata Mungu mwenye uwezo wa hali ya juu huko Nigeria.

Kama huna nauli sahau kupata upako wa mungu mwenye uwezo.
Sarakasi.com
 
Ameenda kutabiriwa kama ataukwaa urais baada ya jk ama la,lakini aone yule mama wa Malawi sijui banda alienda mara kibao kuja uchaguzi chalii.simwoni tena yuko Scoan

ndo maana Lowasa anaenda sana huko
 
Isitoshe Mh.Mwigulu Nchemba anajitahidi kuwatumikia watanzania kwa uwezo wake wote,kwa uaminifu.si rahisi ati kusimama bungeni ukiwa WAZIRI na kuwapinga na kuwakosoa mawaziri wenzio wa chama chako.Hili linawezekana kwa MWIGULU. na viongoz wa UKAWA tu.
 
Rest in peace Ally Zona, muuza magazeti wa Morogoro aliyesahaulika. Akiyehamasisha mauaji yako ameamua kumrudia muumba, kama umemsamehe muombee huko uliko
 
Imani ya mtu sio kuingiliwa,wala kukosolewa.kuabudu ni mahali popote ilimradi anamwabudu Mungu aliye Hai,kupitia mwana wake wa pekee Yesu Kristo
 
Picha kutoka kwa Tb joshua
attachment.php
 

Attachments

  • 1419768439599.jpg
    1419768439599.jpg
    72.5 KB · Views: 4,464
  • 1419768469502.jpg
    1419768469502.jpg
    9.7 KB · Views: 2,823
una mawazo mgando kama akili zako Mungu ni mmoja tuuu.
Ungetumia kichwa cha juu ungeelewa mantiki ya swali, ila kwa kuwa umetumia kichwa cha chini ndio maana umekurupuka hivi.
 
Ila inawezekana pia walishatubu, who knows. ..
Manaake naona mwigulu tangu aende marabya kwanza kabadirika sn katulia zile mambo zake kimya!!!
 
Sahihisho tafadhali. Mungu hapatikani Nigeria pekee. kuna ukweli unaopindishwa hapa. wanaenda kufuata majini ya TB Joshua huo ndio ukweli.
hata mimi naamini hivo. God is omnipresent si lazima kwenda nigeria ili kuokoka. Ni lazima pawe na kichocheo kingine. Uwari!!!
 
hatudanganyiki tena, hata waje huku wakijikata kwa viwembe kamwe hatutawasadiki
 
Back
Top Bottom