Mwigulu Ndani Ya SCOAN Leo 28.12.14

Mwigulu Ndani Ya SCOAN Leo 28.12.14

Toosweet

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2012
Posts
2,140
Reaction score
1,983
Wanajamvi Salaam,

Katika Muda Na Saa Hii Mh. Mwigulu Yuko Katika Kanisa La Nabii TB Joshua Lagos Nigeria Akiabudu.

Katika Siku za Karibuni Mwenendo Na Tabia Za Mbunge Huyu Wa Iramba Na Naibu Wa Fedha Zimebadilika. Amekuwa Mstaarabu Katika Kauli Zake. Je, Ameamua Kuokoka Na Kubadilika Kweli Au Kuna jingine?

Napenda Sana Aendelee Kuwa Katika Njia Hii.

Picha kutoka kwa Tb joshua
attachment.php
 
Naangalia Emmanuel TV hapa naona kuna bendera kama kumi hivi za Tanzania akiwemo Mwigulu Nchemba. Ni jambo la kutia faraja kuona watu wanamkimbilia Mungu!!
 
naona ameenda tena kuongezewa dozi yakupunguza mapepo hasa lile pepo la UGAIDI

Dozi ya kwanza ilikuwa nzuri hii ya pili tusubiri
 
People changes,na kwa historia yake ni wazi ameamua kubadili mwelekeo wa maisha yake kiimani na abarikiwe kwa hlo
 
Kaenda kuchukua majini ya kichawi zaidi ili aweze kuuwa watu bila kuonekana.
Makanisa mengi ya Nigeria ni uchawi na ushetani tu, hamna lolote.
 
hamuamini mtu anapobadilika!! suala ni kuona uelekeo yake!!
 
Tb joshua akisema aongee utabiri na madhambi ya huyo jamaa mtazima tv zenu, ana dhambi ya mauaji huyu
 
View attachment 214495
Siku zote unapotakiwa kutubu dhambi zako inatakiwa kukili hadharani kwa wale wote uliowakosea, sasa kama kweli Mwigulu huko anakokwenda ni kwa lengo la kutubu basi ni vema akauelezea umma dhambi hii aliyoifanya pale Arusha kwenye ule mkutano wa CDM kwa kupanga uhovu ule wa kulipua bomu na kusababisha vifo kwa ndugu zetu wasio na hatia mbele ya mwenyezi mungu. lakini kama lengo lake ni kuongeza zile hirizi za lile dhehebu la freemanson basi ni kazi Bure.
 
Heri ya huyu aliyekwenda kanisani kuliko wale waliokwenda kugonga kikombe cha babu pande za Samunge Loliondo e.g Steven Wassira, Willium Lukuvi, John Magufuli, Jakaya Kikwete etl.
 
Kaenda kusaka uwaziri kamili maana mara ya kwanza upako ulimpa unaibu chezea damu ya kristo atanyoooka tu!
 
mwigulu alutumiwa bila kujua. akiona wale waliomwagiwa tindikali, mungu kila uchao anamsumbua sana. dhambi hii ni kubwa ns haitakaa iishe labda atubu kwa watanzania
 
Heri ya huyu aliyekwenda kanisani kuliko wale waliokwenda kugonga kikombe cha babu pande za Samunge Loliondo e.g Steven Wassira, Willium Lukuvi, John Magufuli, Jakaya Kikwete etl.

Acha dhambi ya kumsingizia Jk hajawahi kwenda kwa babu wa kiluther samunge, uwongo haukusaidii kijana
 
Tusubiri Tuone,tunawezaKushuhudia Na Kusikia Mengi
 
Back
Top Bottom