crabat
JF-Expert Member
- Dec 28, 2012
- 4,323
- 2,210
ndugu yangu,wacha majungu,hivi kwenda kanisani ni uchawi?ulitaka aende wapi kwa waganga? maana inaonekana tbj anakukera sana,yawezekana unapepo mchafu,ndiye anakusumbua,nchi ihi imekua haiendelei kwa sababu viongozi wengi hawautafuti uso wa MUNGU sasa kama mwigulu kaamua kuutafuta uso wa BWANA ubaya upo wapi?hembu mtu anapofanya jambo zuri tumpongeze kwalo,kwani MUNGU uwatafuta viongozi pia aibariki nchi yao,
Huko sawa na kwa mganga wa kienyeji.
Kanisa ni RC Anglikan Luthren na Sabato
Wengine ni matapeli tu.
Na ukiona mtu anaamini mambo ya mapepo basi akili yake kaiweka rehani.