Mwigulu Ndani Ya SCOAN Leo 28.12.14

Mwigulu Ndani Ya SCOAN Leo 28.12.14

nimekuuliza wewe mtetezi MWIGULU aliambia watu wasiende kwenye mkutano wa mwisho wa chadema alikuwa anamaanisha nini hilo ndio jibu nalolitaka, acha porojo mliambiwa muunde tume ya kijaji mbona mlikataa? ivi umesahau KOVA alituletea mkenya kuwa ndio alimteka ULIMBOKA na sasa yuko huru, hapa hakuna watoto wakudanganya, uyo unaemsema aliuawa ivi yale maelezo ya polisi kuwa alitaka kutoroka ndio akapigwa risasi wewe yalikuingia akilini ivi gaidi aliyesomea karate kama polisi walivyosema anaweza kusafirishwa kwa style ile bila tahadhari? bila hata pingu mkononi? nimekuambia hapa sio chekechea

Hivi uliwahi sikia majaji wa Kenya wameenda kupambana na Alshabab?uliwahi sikia Majaji wa Nigeria wanapambana na Boko Haramu?uliwahi sikia Majaji wa Afganistan wanapambana na Taleban?mbona unaleta akili fupi hivi ndugu yangu?

Sasa kwa fikra hizi utawafundisha vip wanao kama nawe UNAKARIRI TU MIAKA NENDA MIAKA RUDI ATA BAADA YA KILA KITU KUWA WAZI?akili za kuambiwa changanya na zako.

Kama ni mtu mzima nitakushangaa sana maaana HUJUI NA HUJUI KUWA HUJUI.

Tuvishukuru sana vyombo vya usalama vya Tanzania kwa kulithibiti hilo kundi kabla halijakomaa na kuwa kama Alshabab na Boko Haramu, maana lingekomaa nchi tungekimbia hapa.
 
Hivi uliwahi sikia majaji wa Kenya wameenda kupambana na Alshabab?uliwahi sikia Majaji wa Nigeria wanapambana na Boko Haramu?uliwahi sikia Majaji wa Afganistan wanapambana na Taleban?

Mbona akili fupi hivi ndugu??kama ni mtu mzima nitakushangaa sana maaana HUJUI NA HUJUI KUWA HUJUI.

wewe naongelea tume ya kijaji kuchunguza mlipuko? usitie akili mfukoni, juzi mlipuko umetokea na polisi makao makuu wameenda kuchunguza, wakati wa tukio la SOWETO kulikuwa na walakini kwa sababu polisi nao walikuwa wanashutumiwa kwaiyo wakaombwa wakae pembeni iundwe tume kama wakati ule JK alipounda tume kuchunguza mauaji ya wale wafanya biashara waliouawa na POLISI maarufu kama mauaji ya ZOMBE NA WENZAKE USIJITIE HAMNAZO
 
hivi uliwahi sikia majaji wa kenya wameenda kupambana na alshabab?uliwahi sikia majaji wa nigeria wanapambana na boko haramu?uliwahi sikia majaji wa afganistan wanapambana na taleban?mbona unaleta akili fupi hivi ndugu yangu?

Sasa kwa fikra hizi utawafundisha vip wanao kama nawe unakariri tu miaka nenda miaka rudi ata baada ya kila kitu kuwa wazi?akili za kuambiwa changanya na zako.

Kama ni mtu mzima nitakushangaa sana maaana hujui na hujui kuwa hujui.

Tuvishukuru sana vyombo vya usalama vya tanzania kwa kulithibiti hilo kundi kabla halijakomaa na kuwa kama alshabab na boko haramu, maana lingekomaa nchi tungekimbia hapa.

naona hoja zimekuishia umeanza matusi ubarikiwe sana
 
Hivi uliwahi sikia majaji wa Kenya wameenda kupambana na Alshabab?uliwahi sikia Majaji wa Nigeria wanapambana na Boko Haramu?uliwahi sikia Majaji wa Afganistan wanapambana na Taleban?mbona unaleta akili fupi hivi ndugu yangu?

Sasa kwa fikra hizi utawafundisha vip wanao kama nawe UNAKARIRI TU MIAKA NENDA MIAKA RUDI ATA BAADA YA KILA KITU KUWA WAZI?akili za kuambiwa changanya na zako.

Kama ni mtu mzima nitakushangaa sana maaana HUJUI NA HUJUI KUWA HUJUI.

Tuvishukuru sana vyombo vya usalama vya Tanzania kwa kulithibiti hilo kundi kabla halijakomaa na kuwa kama Alshabab na Boko Haramu, maana lingekomaa nchi tungekimbia hapa.

NANI AMEKUAMBIA MAJAJI WANAENDA KUPAMBANA NA MAGAIDI NIMEKUELEZA TUME YA KIJAJI na huwa inashirikisha na watu wengine ivi umekuja kujifunza mambo JF?
 
wewe naongelea tume ya kijaji kuchunguza mlipuko? usitie akili mfukoni, juzi mlipuko umetokea na polisi makao makuu wameenda kuchunguza, wakati wa tukio la SOWETO kulikuwa na walakini kwa sababu polisi nao walikuwa wanashutumiwa kwaiyo wakaombwa wakae pembeni iundwe tume kama wakati ule JK alipounda tume kuchunguza mauaji ya wale wafanya biashara waliouawa na POLISI maarufu kama mauaji ya ZOMBE NA WENZAKE USIJITIE HAMNAZO

Kweli akili za kushikiriwa ndio hizi, unachosema ndio hicho sawa na kuwatuma majaji wa Kenya wapambane na Alshabab au majaji wa Nigeria wapambane na BokoHaramu.

Fahamu kuwa sio kila kitu ni siasa,na kama kitu hujui kaa kimya maana unazidi kujionyesha jinsi ULIVYOKARIRI NA KUIMBA KAMA KASUKU.

Nyerere aliwahi kusema "mtu mwenye akili akikwambia jambo la kipumbavu wakati anajua nawe una akili, ukikubali jambo lile atakudharau"..

Maana wanasema MTU AMBAYE HAJUI NA HAJUI KUWA HAJUI ni....
 
NANI AMEKUAMBIA MAJAJI WANAENDA KUPAMBANA NA MAGAIDI NIMEKUELEZA TUME YA KIJAJI na huwa inashirikisha na watu wengine ivi umekuja kujifunza mambo JF?

Ndio tatizo la akili za kushikiria, lakini najitolea leo kukusaidia.

Mfano:

Case 1: Alshabab wamelipua kwenye hotel moja pale Mombasa na pia wamelipua kwenye kanisa Katoliki pale Mombasa na kanisa lingine pale Nairobi..

SWALI: Je tunahitaji Rais aunde tume ya Kijaji kuchunguza tukio hilo na kupendekeza hatua ya kuchukua?think...
 
Kweli akili za kushikiriwa ndio hizi, unachosema ndio hicho sawa na kuwatuma majaji wa Kenya wapambane na Alshabab au majaji wa Nigeria wapambane na BokoHaramu.

Fahamu kuwa sio kila kitu ni siasa,na kama kitu hujui kaa kimya maana unazidi kujionyesha jinsi ULIVYOKARIRI NA KUIMBA KAMA KASUKU.

Nyerere aliwahi kusema "mtu mwenye akili akikwambia jambo la kipumbavu wakati anajua nawe una akili, ukikubali jambo lile atakudharau"..

Maana wanasema MTU AMBAYE HAJUI NA HAJUI KUWA HAJUI ni....

UMEISHIWA HOJA WEWE JK ALIUNDA TUME YA KIJAJI NA IKACHUNGUZA NA KULETA MAJIBU,KUMBUKA ATA TUKIO LA MWANGOSI tume ya kijaji ndio ilifanya kazi wewe ndio umekaririshwa lete hoja acha matusi, HAPA SIO CHEKECHEA KAJIPANGE TENA. kwanza unanipotezeea muda wacha nitafute wenye hoja, malipo ya leo MWIGULU AKULIPI UMESHINDWA KAZI
 
Kwa kutomfuata mungu mwenye uwezo mkubwa pale Nigeria ndiyo nimekuwa mjinga au Mimi kukosa nauli na sadaka ndiyo nimekuwa mjinga?

Asante sana kwa ujinga wangu heri wewe uliye na mungu mwenye uwezo akakuondelea ujinga ukakupa uwezo wa kwenda huko.

Mimi nasali hapahapa coz mungu wangu kanipa ujinga wa kusali hapa nilipo.
Kwangu mimi kwenye hiyo red huyo siye aliyeumba mbingu na nchi huyo ni shetani. Akianzia na herufi ndogo (mungu) huyo ni shetani asilimia 100.
 
UMEISHIWA HOJA WEWE JK ALIUNDA TUME YA KIJAJI NA IKACHUNGUZA NA KULETA MAJIBU,KUMBUKA ATA TUKIO LA MWANGOSI tume ya kijaji ndio ilifanya kazi wewe ndio umekaririshwa lete hoja acha matusi, HAPA SIO CHEKECHEA KAJIPANGE TENA. kwanza unanipotezeea muda wacha nitafute wenye hoja, malipo ya leo MWIGULU AKULIPI UMESHINDWA KAZI

Nimejitokea kukusaidia leo, maana ni hatari sana MTU MZIMA KUWA NA AKILI ZA KUSHIKIRIRIWA, maana hofu yangu kubwa ni juu ya wanao, maana Baba yabidi uwe unafikiri kwa bidii.

Ndio tatizo la akili za kushikiria, lakini najitolea leo kukusaidia.

Mfano:

Case 1: Alshabab wamelipua kwenye hotel moja pale Mombasa na pia wamelipua kwenye kanisa Katoliki pale Mombasa na kanisa lingine pale Nairobi..

SWALI: Je tunahitaji Rais aunde tume ya Kijaji kuchunguza tukio hilo na kupendekeza hatua ya kuchukua?think...

Kukusaidia nakupa na mfano wa tukio lenyewe...KENYA BOMB BLAST: https://www.youtube.com/watch?v=jA6TvVhws50
 
Ndio tatizo la akili za kushikiria, lakini najitolea leo kukusaidia.

Mfano:

Case 1: Alshabab wamelipua kwenye hotel moja pale Mombasa na pia wamelipua kwenye kanisa Katoliki pale Mombasa na kanisa lingine pale Nairobi..

SWALI: Je tunahitaji Rais aunde tume ya Kijaji kuchunguza tukio hilo na kupendekeza hatua ya kuchukua?think...

TATIZO UELEWI niliposema tume ya kijaji nilimaanisha kuwa waliotakiwa kuchunguza ni polisi , lakini kwenye tukio la SOWETO polisi nao walikuwa wanatuumiwa kuwa ndio waliohusika na tukio lile kwaiyo isingekuwa busara mtuhumiwa kujichunguza uwe unasoma taratibu nakuelewa, hata issue ya zombe JKalijua kuwa watuhumiwa ni polisi kwaiyo ndio sababu akaunda tume ya kijaji, matukio ya kenya yanatofauti na tukio la SOWETO kwani baada ya mlipuko pale SOWETO risasi zilipigwa nyingi na ndio zilizoumiza watu wengi, majeruhi wengi walikuwa ni warisasi na POISI ndio walinyooshewa kidole, kwaiyo ilikuwa si rahisi wao wajichunguze wakati ndio wanatuhumiwa.
 
ubarikiwe sana mkuu, tatizo ni mwigulu na hawa wapambe wake na utakuta mwigulu ndo kawaambia waandika tatizo la huyu bwana kubwa sana ni kupenda sifa mpaka amepitiliza mwenyezi MUNGU kupitia YESU alisema unapouomba au kutenda jambo lolote kwa ajili yake iwe kwa siri na MUNGU wako wasirini ATAKUONGEZEA sasa huyu yeye kila kitu ni sifa, atueleze kwanza wale watu wa soweto waliuawa ili apate nini au ndio uo unaibu alikuwa anautafuta
Sasa imagine ndio amekuwa raisi, jumapili akipata nafasi raisi wetu anaenda kusali Nigeria.

What is the message kwa waumini wengine na makanisa ya Tanzania.

Lowassa ingawa ana kasoro zake anajua kucheza na social role and being a role model. Akiwa kama kiongozi ni statement kubwa sana aliyoitoa kuwaunga mkono siku ya christmas waumini wa wazanzibar wakati watu wengine wapo na familia zao na yeye angeweza kuwa popote duniani. Lakini baada ya mabomu kupigwa sana ZnZ na wachungaji kupigwa risasi akaona ajumuike nao. Kitendo cha kwenda kanisani ZnZ ni cha kuwatia moyo kwamba wasikate tamaa.

Lakini wewe tayari unaposho unaona bora ukasalie nje ya nchi kila ukipata upenyo, halafu kuna watu wanaona sahihi.
 
Nimejitokea kukusaidia leo, maana ni hatari sana MTU MZIMA KUWA NA AKILI ZA KUSHIKIRIRIWA, maana hofu yangu kubwa ni juu ya wanao, maana Baba yabidi uwe unafikiri kwa bidii.

Kukusaidia nakupa na mfano wa tukio lenyewe...https://www.youtube.com/watch?v=jA6TvVhws50

hayahusiani wewe ni mchanga kwenye hoja unapoitaji mjadala lazima uwe tayari kutafakari hoja kinzani mwizi hawezi kujipeleleza mwenyewe haijawahi kutokea duniani na haitakaa itokee niibe mimi alafu nipewe kazi ya kupeleleza shauri langu, KUMBUKA TU MANENO YANGU KUWA HAPA SI CHEKECHEA
 
TATIZO UELEWI niliposema tume ya kijaji nilimaanisha kuwa waliotakiwa kuchunguza ni polisi , lakini kwenye tukio la SOWETO polisi nao walikuwa wanatuumiwa kuwa ndio waliohusika na tukio lile kwaiyo isingekuwa busara mtuhumiwa kujichunguza uwe unasoma taratibu nakuelewa, hata issue ya zombe JKalijua kuwa watuhumiwa ni polisi kwaiyo ndio sababu akaunda tume ya kijaji, matukio ya kenya yanatofauti na tukio la SOWETO kwani baada ya mlipuko pale SOWETO risasi zilipigwa nyingi na ndio zilizoumiza watu wengi, majeruhi wengi walikuwa ni warisasi na POISI ndio walinyooshewa kidole, kwaiyo ilikuwa si rahisi wao wajichunguze wakati ndio wanatuhumiwa.

UMEISHIWA HOJA WEWE JK ALIUNDA TUME YA KIJAJI NA IKACHUNGUZA NA KULETA MAJIBU,KUMBUKA ATA TUKIO LA MWANGOSI tume ya kijaji ndio ilifanya kazi wewe ndio umekaririshwa lete hoja acha matusi, HAPA SIO CHEKECHEA KAJIPANGE TENA. kwanza unanipotezeea muda wacha nitafute wenye hoja, malipo ya leo MWIGULU AKULIPI UMESHINDWA KAZI

Tutafika tu..

Moja sio kila kitu ni siasa, kwenye usalama wa nchi weka mbali mausala ya siasa na demokrasia, huwezi acha usalama rehani kwa sababu ya kila neno litakaloongelewa na mtu yeyote bali unaangalia hali na kuchukua uamuzi mahsusi wa kuondoa tishio hilo kwa haraka iwezekanavyo..

Kwenye hayo yako, Kuna vitu viwili yaliyo kwenye miktadha miwili tofauti kabisa na hayaendani kabisa.

1. Tukio la Kwanza: LA MWANGOSI:

attachment.php

Hapa Mwangosi aliuawa na Polisi, hivyo hapa wakuchunguzwa ni polisi, hivyo ilikuwa lazima tume iundwe kuwachunguza kama polisi hawakukiuka haki za Mwangosi, Mungu amrehemu.

2. Tukio la Pili-MILIPUKO YA MABOMU:: MLIPUKO KANISANI KATOLIKI ARUSHA, MILIPUKO ZANZIBAR, MLIPUKO HOTEL ARUSHA, MLIPUKO MKUTANO WA CHADEMA ARUSHA.

Na huwezi chukua tukio moja tu la Mkutano wa Chadema, kumbuka mabomu yalikuwa yanarushwa mfululizo Arusha, mabomu ya aina ileile, yamerushwa kanisa katoliki Arusha, yamerushwa hotelini, na yamerushwa huko Zanzibar.

Mfano wake nimekupa picha hapo: Angalia picha kwenye hiyo youtube vizuri:

KENYA BOMB BLAST: https://www.youtube.com/watch?v=jA6TvVhws50.

Ndio nakuuliza kwenye mfano wa Tukio la Pili: Je ni akili kweli kuunda tume ya kijaji?

Case 1: ALSHABAB wamelipua kwenye hotel moja pale Mombasa na pia wamelipua kwenye kanisa Katoliki pale Mombasa na kanisa lingine pale Nairobi..

SWALI: Je tunahitaji Rais aunde tume ya Kijaji kuchunguza tukio hilo na kupendekeza hatua ya kuchukua?think...
 
Tutafika tu..

Moja sio kila kitu ni siasa, kwenye usalama wa nchi weka mbali mausala ya siasa na demokrasia, huwezi acha usalama rehani kwa sababu ya kila neno litakaloongelewa na mtu yeyote bali unaangalia hali na kuchukua uamuzi mahsusi wa kuondoa tishio hilo kwa hara iwezekanavyo..

Kwenye hayo yako, Kuna vitu viwili yaliyo kwenye miktadha miwili tofauti kabisa na hayaendani kabisa.

1. Tukio la Kwanza: LA MWANGOSI:

attachment.php

Hapa Mwangosi aliuawa na Polisi, hivyo hapa wakuchunguzwa ni polisi, hivyo ilikuwa lazima tume iundwe kuwachunguza kama polisi hawakiuka haki za Mwangosi.

2. Tukio la Pili:: MLIPUKO KANISANI KATOLIKI ARUSHA, MILIPUKO ZANZIBAR, MLIPUKO HOTEL ARUSHA, MLIPUKO MKUTANO WA CHADEMA ARUSHA.

Mfano wake nimekupa picha hapo: Angalia picha kwenye hiyo youtube vizuri:

KENYA BOMB BLAST: https://www.youtube.com/watch?v=jA6TvVhws50.

Ndio nakuuliza kwenye mfano wa NAMBA MBILI:

Case 1: ALSHABAB wamelipua kwenye hotel moja pale Mombasa na pia wamelipua kwenye kanisa Katoliki pale Mombasa na kanisa lingine pale Nairobi..

SWALI: Je tunahitaji Rais aunde tume ya Kijaji kuchunguza tukio hilo na kupendekeza hatua ya kuchukua?think...

HUJUI UNACHOJADILI, KWANI ARUSHA POLISI ARUSHA HAWKUONEKANA WAKIFYATUA RISASI? IVI UKUMBUKI WAKATI MAKAMU WA RAIS ALIPOTEMBELEA HOSPITALI AKAWA ANAMUHOJI MTOTO MDOGO KUWA NA WEWE ULIKUWA KWENYE MKUTANO WA CHADEMA MTOTO AKASEMA HAPANA MI NILIKUWA NATOKA MADRASSA NA WENZANGU NDIPO TUKAPIGWA RISASI na huyo mtu akakimbilia kwenye gari la polisi, sasa nani amchunguze nani, ukitaka kujadliana vizuri kubali GIVE AND TAKE JIONI NJEMA
 
Naangalia Emmanuel TV hapa naona kuna bendera kama kumi hivi za Tanzania akiwemo Mwigulu Nchemba. Ni jambo la kutia faraja kuona watu wanamkimbilia Mungu!!
Nyie wapeni tu hizo mbinu mpya hao ma Mafia wa CCM genge lote litaanzisha makanisa ya geresha ya wakovu na hapo ndo mtajua Mbichi au mbivu ya ma mafia
 
HUJUI UNACHOJADILI, KWANI ARUSHA POLISI ARUSHA HAWKUONEKANA WAKIFYATUA RISASI? IVI UKUMBUKI WAKATI MAKAMU WA RAIS ALIPOTEMBELEA HOSPITALI AKAWA ANAMUHOJI MTOTO MDOGO KUWA NA WEWE ULIKUWA KWENYE MKUTANO WA CHADEMA MTOTO AKASEMA HAPANA MI NILIKUWA NATOKA MADRASSA NA WENZANGU NDIPO TUKAPIGWA RISASI na huyo mtu akakimbilia kwenye gari la polisi, sasa nani amchunguze nani, ukitaka kujadliana vizuri kubali GIVE AND TAKE JIONI NJEMA

Hujajibu nilichoandika hapa....

Kumbuka mabomu yale hayajaanza kurushwa kwenye mkutano wa Chadema, mabomu yaleyale ya aina ile ile yalirushwa pia Kanisa Katoliki hapo Arusha na kwenye hoteli hapo Arusha na Zanzibar kila leo tulikuwa tunasikia leo huku kesho kule.

Ndio maana mfano wa tukio la Alshabab Kenya ulio kwenye hiyo youtube ni mfano sahihi wa Tukio la Pili.

Tutafika tu..

2. Tukio la Pili-MILIPUKO YA MABOMU:: MLIPUKO KANISANI KATOLIKI ARUSHA, MILIPUKO ZANZIBAR, MLIPUKO HOTEL ARUSHA, MLIPUKO MKUTANO WA CHADEMA ARUSHA.

Na huwezi chukua tukio moja tu la Mkutano wa Chadema, kumbuka mabomu yalikuwa yanarushwa mfululizo Arusha, mabomu ya aina ileile, yamerushwa kanisa katoliki Arusha, yamerushwa hotelini, na yamerushwa huko Zanzibar.

Mfano wake nimekupa picha hapo: Angalia picha kwenye hiyo youtube vizuri:

KENYA BOMB BLAST: https://www.youtube.com/watch?v=jA6TvVhws50.

Ndio nakuuliza kwenye mfano wa Tukio la Pili: Je ni akili kweli kuunda tume ya kijaji?

Case 1: ALSHABAB wamelipua kwenye hotel moja pale Mombasa na pia wamelipua kwenye kanisa Katoliki pale Mombasa na kanisa lingine pale Nairobi..

SWALI: Je tunahitaji Rais aunde tume ya Kijaji kuchunguza tukio hilo na kupendekeza hatua ya kuchukua?think...

Ukitaka uende kwa mlengo wa kivyamavyama ungepaswa utudhibitishie pia kuwa ni watu wa chama kimoja tu ndio wanaosali kanisa Katoliki pale Arusha na ni watu wa chama kimoja tu ndio wanaokwenda hotelini kwenye mji wa Arusha.

Maana matokeo hayo, namna yalivyotekelezwa na mabomu yaliyotumika ni copy and paste.
 
People changes,na kwa historia yake ni wazi ameamua kubadili mwelekeo wa maisha yake kiimani na abarikiwe kwa hlo

nimefurahi kwa kweli mwigulu amebadili tabia na sasa ni mtu poa sana, na hata kupitia kauli zake mtaliona hilo,
 
Back
Top Bottom