Mwigulu Ndani Ya SCOAN Leo 28.12.14

Mwigulu Ndani Ya SCOAN Leo 28.12.14

Inanikumbusha enzi zileeeee za shule. ukikaribia mtihani watu walikuwa wanaokoka sana..baada ya mtihani wanasahau yote.
 
Inasemekana TB Joshua anatumia mashetani kujipatia Pesa, watu wanakimbilia huko bila kujua watendalo. Mungu anapatikana popote si lazima uende Huko
 
Kwanza awaeleze watanzania ukweli kuhusu bomu la Arusha kwenye mkutano wa CDM, Ugaidi feki wa Lwakatare na maovu/mauaji mengine aliyoshiriki kusababisha ndo aokoke, vinginevyo ni kumdhiaki tu MUNGU
 
Anajifanya kumuiga lowasa. Huyu jamaa ana ndoto za ajabu kweli.. Anaita urais eti? Kha!!!
 
Naibu Waziri wa Fedha Mhe. Mwigulu Nchemba ameonekana katika Television ya Emmauel TV akiwa miongoni mwa watanzania wachache walioabudu Leo tarehe 28.12.2014 katika Kanisa la Nabii T.B Joshua (Synagogue Church of All Nations -SCOAN) Nigeria. Nchemba ameonekana akiwa amevalia mavazi aliyozoea kwenye ulingo wa siasa ya Skafu ya Bendera ya Tanzania na kifunika shingo chenye rangi za bendera hiyo.

Hakika Kama ndivyo; atakuwa Ni Miongoni mwa viongozi wachache wa Taifa hili ambao wamepata kuhudhuria ibada katika kanisa Hilo ambalo linaaminika Duniani kwa Miujiza.

http://emmanuel.tv/
 
sindo huyu migulu aliyevuruga uchaguzi wa serikali zamitaa kwa hofu ya kubwagwa na ukawa, simwamini huyyo hata aende wapi. He is always working under cover
 
Ndo kawatuma mje mumuanzishie thredi!!

Siamini leo umekaa unaangalie iyo tv afu ghafla ukamuona mwigulu.
 
Tarehe 31/12 aliyosema kuwa hela zote ziwe zimekatiwa kodi, inakaribia.
 
Naibu Waziri wa Fedha Mhe. Mwigulu Nchemba ameonekana katika Television ya Emmauel TV akiwa miongoni mwa watanzania wachache walioabudu Leo tarehe 28.12.2014 katika Kanisa la Nabii T.B Joshua (Synagogue Church of All Nations -SCOAN) Nigeria. Nchemba ameonekana akiwa amevalia mavazi aliyozoea kwenye ulingo wa siasa ya Skafu ya Bendera ya Tanzania na kifunika shingo chenye rangi za bendera hiyo.

Hakika Kama ndivyo; atakuwa Ni Miongoni mwa viongozi wachache wa Taifa hili ambao wamepata kuhudhuria ibada katika kanisa Hilo ambalo linaaminika Duniani kwa Miujiza.

Emmanuel TV - "Changing Lives, Changing Nations, Changing the World!" | Founded by T.B. Joshua

God is good all the time
 
Wanaiba ESCROW baada ya hapo wanakwenda kusali. Nilishangaa Lowasa kumuona huko na ufisadi wake wote
 
akili za kuambiwa chanyanga na za mumeo

Kwani Kagalala hana zake mpaka akakope kwa mme wake?

Inasemekana TB Joshua anatumia mashetani kujipatia Pesa, watu wanakimbilia huko bila kujua watendalo. Mungu anapatikana popote si lazima uende Huko

Mbona unajicontradict ndugu?unaposema INASEMEKANA MAANA YAKE HUNA UHAKIKA...sasa kama huna UHAKIKA utakuwaje tena na authority ya kutoa kauli ya UHAKIKA tena kama hii uliyoitoa "WATU WANAKIMBILIA HUKO BILA KUJUA WALITENDALO"

Zingatia ushauri wa Kill..."AKILI ZA KUAMBIWA CHANGANYA NA ZAKO"
 
Back
Top Bottom