PRINCE CROWN
JF-Expert Member
- Feb 12, 2013
- 5,210
- 4,182
naangalia emmanuel tv hapa naona kuna bendera kama kumi hivi za tanzania akiwemo mwigulu nchemba. Ni jambo la kutia faraja kuona watu wanamkimbilia mungu!!
mwingine ni ashumpta mshama,mbunge wa jimbo la nkenge,kule bukoba,kuusu ndg.mwigulu ni kweli kwa sasa kama kampokea.bwana yesu maana hata tabia zake zimebadilika sana,amekua mtu wa hekima hata kimaongezi,kweli yesu ni mzuri sana,nampa hongera sana ndg mwigulu kwa kuamua kumrudia mungu,kwani pasipo yeye sisi hatuwezi chochote {yoh 15:5}