kwa TB J kuna siku hatarudi kabisa kama LOWASA lazima kuna sehemu utatakiwa kukiri yote uliyoyafanya kumbuka LOWASA aliambiwa aseme yote aliyokuwa anafanya akashindwa kwa kuwa alijua DUNIA NZIMA ITASIKA akakataa na ndio mpaka leo hajarudi
acha uongo
kwa TB J kuna siku hatarudi kabisa kama LOWASA lazima kuna sehemu utatakiwa kukiri yote uliyoyafanya kumbuka LOWASA aliambiwa aseme yote aliyokuwa anafanya akashindwa kwa kuwa alijua DUNIA NZIMA ITASIKA akakataa na ndio mpaka leo hajarudi
OK huko sawa, tukisema siasa sio fani ya wengi jukwaa hili tunaonekana tunajifanya wajuaji.Hiyo ya Nyerere na Sokoine kuishi kimaskini, sioni inahusiana vip na hii topic;Mwigulu kwa mshahara wake wa sasa wa Ubunge na Unaibu Waziri bila kutumia senti ya serikali anaweza kujilipia nauli ya kwenda na kurudi na kula na kunywa huko Nigeria na hii sio anasa, ni maisha ya kawaida sana.
Kumbuka dunia inabadilika, walivyoishi mwaka 1980 sivyo tunavyoishi leo.Na KUWA MASKINI AU KUISHI KIMASKINI WAKATI UWEZO UNAO SIO SIFA.
Sahihisho tafadhali. Mungu hapatikani Nigeria pekee. kuna ukweli unaopindishwa hapa. wanaenda kufuata majini ya TB Joshua huo ndio ukweli.
Kaenda kusaka uwaziri kamili maana mara ya kwanza upako ulimpa unaibu chezea damu ya kristo atanyoooka tu!
Inasemekana TB Joshua anatumia mashetani kujipatia Pesa, watu wanakimbilia huko bila kujua watendalo. Mungu anapatikana popote si lazima uende Huko
Lowassa naye anaendaga huko kwa TB Joshua?
kwa wenye imani haba ndivyo wanavyoamini.
Hili la kwako hakuna kwenye uhakika nalo...kauaje?.Anatubu kwa mengi. Mabomu ya Arusha na Igunga na zile za escrow.
Hivi kwa nini watu waliokwisha kutenda uovu kumshinda shetani ndio wanaojiita warokole? Au wanajificha ili wauendeleze uovu wao?
Huyo nabii mnayekwenda kutubu kwake naye si kaua wale wa-south Africa na ana kesi?
Hata mtubu vipi hayototimia mnayonuia labda mtubu kwa jamii mliyoitendea maovu ndio Mungu atakusameheni baada ya kusamehewa na mliowatendea uovu.
TB Joshua huwa anatoa hayo majini kwa kutumia JINA LA YESU, kwa hiyo huo ndio uchawi. Nakumbuka hata Yesu walisema anatoa pepo kwa BELZEBUL, yaani mkuu wa mashetani, so no surprise; in other words what you are asserting now was also claimed more than 2000 years ago.
Ameenda kutabiriwa kama ataukwaa urais baada ya jk ama la,lakini aone yule mama wa Malawi sijui banda alienda mara kibao kuja uchaguzi chalii.simwoni tena yuko Scoan
OK huko sawa, tukisema siasa sio fani ya wengi jukwaa hili tunaonekana tunajifanya wajuaji.
Hivi unajua ata huyo sokoine alikuwa na misimamo hipi kwenye jamii wakati wa uongozi wake na huyo ndio mtu anaetaka kufananishwa naye. Na kama angekuwa hai angelitafsiri vipi hili swala kutokana na misimamo yake.
Me out
Hivi Mungu wa TB Joshua na Mungu wa Kakobe wako tofauti kiuwezo.?
Hao wanasiasa wanakimbilia kutubu Naija badala ya kutubu kwanza kwa wananchi!!Hata neno linasema,"Kabla hujatoa sadaka yako,patana kwanza na mwenzio..",sasa wanadhan kutubu kwa Mungu ukamwacha ulomkosea ni suluhisho!!na urahisi haupatikani ,kwa Joshua,bali kwa kura!!
urais unatafutwa. sasa Joshua atawachanganya na Lowasa.
halafu hii kasumba ya kwenda nigeria ni ujinga tu maana Mungu ni omnipotent ya nn kuamini ya Nigeria kama sio uchawi?